yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania FAINALI: Yanga Vs Mamelod Sundowns, nani kulibeba kombe?

    Kwa pira la mtani jana, basi kuna uwezekano wakatinga fainali na ikawa Yanga vs Mamelod. Je, unatupa karata kwa nani? Asee watani jana mlijua kutukomesha. Soka safi lenye matokeo chanya. Lile liPacome, sijui Aziz K asee so nice. Kipa safi kabisa na defence ya maana. Pale kati mliupiga mwingi...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga hii hata Al Ahly ingemfunga nyumbani kwake

    Wengine mara kwa mara tumekuwa tunajitahidi kusema ukweli na kuwapa maua yao hawa Yanga toka msimu huu unaanza. Ni ukweli ulio wazi kuwa Yanga inacheza mpira wa kueleweka, ni timu yenye kasi na inaweza kulazimisha ushindi pale mambo yanapokuwa magumu. Pamoja na kwamba kuna mara kadhaa katika...
  3. JamiiForums Tanzania Battle: Pacome Zouzoua vs Aziz Ki nani ni engine ya Yanga?

    Japokuwa wote ni wachezaji wa Yanga na wote wanafanya kazi nzuri katika klabu yao ila wewe kama shabiki wa Yanga unaona nani asipokuwa uwanjani timu ina struggle sana kupata matokeo. Karibuni kwa mawazo wana JF.
  4. JamiiForums Tanzania Yanga robo fainali klabu bingwa: Pacome Zouzoua mtambo wa kuzalisha mabao, hana baya

    Ushindi wa magoli 4-0 wa Yanga dhidi ya CR Belouizdad umechangiwa kwa ukubwa na Pacome Zouzoua aliyeonyesha performance nzuri sana yenye spirit ya hali ya juu sana katika siku yake ya "Pacome Day" ilikuwa ni shoo ya Pacome Zouzoua aliyeonyesha kiwango kikubwa kwenye mchezo huo akiwapa raha...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia awapongeza Yanga Sc baada ya kuifunga CR Belouizdad bao 4

    Rais was Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vizuri katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) baada ya kuifunga CR Belouizdad bao nne kwa sifuri na kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali, akisema mafanikio hayo yameandika...
  6. JamiiForums Tanzania Anachokifanya Yanga, anafanya mashindano ya CAF yaonekane ni marahisi, tungemuomba asifanye hivi tena

    Hivi hamjamuona mtangulizi wenu Simba mara nyingi kupita kwake hadi game za mwisho ndo majibu hupatikana Iweje wewe uliebezwa mwaka jana upo katika mashindano rahisi uje uwabamize hao wakubwa kwa vichapo vya aibu na udhalilishaji (Hadi kusababisha mtafaruku kati ya kocha na wachezaji) na...
  7. JamiiForums Tanzania Simba tusibabaishwe Team tunayo na uongozi tunao JWANENG GALAXY anakufa 4G Road To Semi Final.

    πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ila nyie kumtetea Mtu asiejielewa na ana makosa ya kujirudia ni kazi. Nimeshindwa kutetea uzi wenu wanasimba Njooni Mjitetee wenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ waiten wana simba wote waje naanza na hawa πŸ˜‚πŸ˜‚ Kalpana Scars OKW BOBAN SUNZU
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Simba kabla ya jana kuhusu Yanga

    1. Hamuwezi mechi za kimataifa 2. Medali ya kombe la looser 3. Huku ni ligi ya Mabingwa bhana 4. Sio Shirikisho huku. NB Nasubiri update ya misemo mipya baada ya hii
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga na Belouizdad imeweka rekodi hizi

    Yanga imekua timu ya kwanza kufunga idadi ya goli 4 na Belouizdad kuwa timu ya kwanza kufungwa goli 4 katika hatua ya makundi kwa msimu huu katika CAF Champions league. Hongera Yanga kwa rekodi hii. Kwa kifupi, hakuna timu iliyowahi kufunga goli nne katika mechi moja katika hatua ya makundi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwetu Yanga 'head to head' ni akiba tu, tunaenda robo fainali tukiwa vinara wa kundi

    Naam, hakuchi, hakuchi kumekucha.. Siku nyingine tena tumeamka tukiwa na furaha, baada ya mbugi kali baina yetu sisi mabingwa wa kutandaza soka la kisasa na la viwango hapa TZ na waarabu wa Aljeria kisha kuibuka na ushindi mnono uliotuhakikishia kuingia robo fainali ya kombe la klabu bingwa...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga japokuwa wameshinda na kufuzu robo fainali, lakini kiwango bado kipo chini

    Yanga wamefanikiwa kuweka historia mpya katika klabu yao kwa kutinga robo fainali ya klabu bingwa ya afrika, lakini kiuhalisia kiufundi kiwango bado kipo chini kidogo ikiwa wanataka kusonga mbele zaidi na hapa nitaonyesha dosari kadhaa kwa kutumia mechi ya jana. 1. Kuchelewa kuimaliza mechi...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga SC ina kitu nasema ukweli kama mwana football bila kujali Mimi mwana Simba SC

    Ukiwa mtu wa Mpira na umecheza mpira na unaelewa mpira na unaenjoy mpira ni raha sana, leo nimefurahi, nimeshangilia, nimechambua, na raha nimeipata. Hongera Yanga SC hongera wana Yanga SC football ni raha sana. Mungu ibariki Tanzania Ni hayo tu πŸ™πŸ™πŸ™ Wadiz
  13. C

    JamiiForums Tanzania Taja Members wa JamiiForums ambao unadhani kwa ushindi mnono wa yanga fc wameumia na wanaweza wasionekane kwa muda hapa

    Naanza na SAGAI GALGANO na mwingine ni maarufu ila nimemsahau jina na leo kabla ya mechi alitutia mno joto wana Yanga SC hapa jamiiforums kwa threads zake za mikwara mbuzi. Hii ndiyo Yanga SC bwana na bado.
  14. JamiiForums Tanzania Mpira ni uwekezaji na sio propaganda, Yanga endeleeni kuwaziba midomo wanafiki, mnawajibu kwa vitendo hongereni!

    Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano...
  15. JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye official page ya CAF: Yanga to the quarter final

    Hii ni kutoka kwenye official page ya CAF wameeleza Yanga imeshaingi robo fainali regardless na matokeo ya mechi ya Mwisho. Picha inajieleza.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kwa msimamo wa sasa wa kundi la Yanga, kuna matumaini kiasi gani watafuzu robo fainali ?

    EDIT: Asanteni kwa ufafanuzi, Nimepitwa na sheria za mpira, sikuhizi hawaangalii GD mkifanana point, wanaangalia nani kamfunga mwenzake nyingi 1. AL AHLY - point 9 (goli +4) 2. YANGA - point 8 (goli +4) 3. CR BELOUZDAD point 5 - (goli -2) 4. MEDEAMA point 5 - (goli -4) Mechi za kumalizia Al...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga katika ubora wao wa sasa na Simba ya Kipindi kile, Bado Yanga hii ya Moto Imepiga Team kubwa kuzidi Simba Ile.

    Kiukweli yanga imeiva sana..huwez ilinganisha na Simba ya Kipindi kile katika ubora wao. Yanga hii inapiga Vigogo kwelikweli. Ila we Simba ya Kipindi kile inafunga Team kama NKANA serious!!! Hii Yanga imebakiza Team Mbili tu kuzipasua nazo ni Mamelodi na Al Ahly ambazo naamin Next round yanga...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Niseme ukweli, yanga sc mmeniudhi sana leo..!!!

    Hello Mashabiki wa Yanga, popote pale mulipo, kunjeni ngumi, pigeni kifuani kisha hewani huku mkitamka 'Wananchiiiiii...!!!' Ahsante sana, mmeliheshimisha Taifa. Yap.. kwa kila mwanayanga leo ni siku kubwa mno, siku ya kufurahi.. Aliyekutenda, na wewe mtende! Yanga kamtenda zaidi CR...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kwa moyo wa dhati kabisa naomba radhi kwa kuikejeli na kuidharau Yanga

    Yanga hongereni kwa kuvuka hatua ya makundi na kufikia robo fainali ya klabu bingwa Mmethibitisha kweli hakuna kisichowezekana kwenye mpira Nikiri Yanga niliwakejeli sana walipofungwa goli tatu na CRB kisha kuambulia sare na kuwa wamwisho kwenye kundi, nilikuwa nimewapa asilimia 20% tu za...
  20. JamiiForums Tanzania Kila nikiona Yanga inacheza Match ya kimataifa hua inanikumbusha Fainali ya UEFA Msimu wa 2007/2008

    Ile Fainali ilikua Kati ya Manchester United vs Chelsea. Nakumbuka Fergie aliwaambia Wachezaji wake kua Nenden mkijua kua katika Fainali hii nyie ndio Mnachukiwa zaidi. Katika Fainali hiii nyie ndio mnaombewa kufungwa na watu wengi Dunian kote,Maana mmetawala sana kuanzia kwenye Ligi hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…