Job: Ni Yanga pekee inayoweza kumkanda Mamelodi Kwa Tanzania hapa

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,777
24,211
YANGA NDIO TIMU PEKEE YA TANZANIA AMBAYO INAWEZA KUCHEZA NA MAMELOD SUNDOWNS​

"Daraja la ubora wa Mamelodi liko juu zaidi kuliko Yanga, lakini ukitazama mara ya Mwisho Mamelod kubwa bingwa ni 2016 toka hapo Amefika Nusu fainali mara mbili tu, mara zote amekuwa akiishia hatua ya robo fainali.

"Kumtoa Mamelod inawezekana lakini inapaswa kuwa na mpango mkakati zaidi, Ukweli ubora wa Mamelod kuheshimika Kwa kufanya ulinganisho wa vikosi vyote viwili.

"Ubora wa Yanga inaweza kuitoa Mamelod Sundowns na Yanga hii ndio timu pekee kutoka Tanzania ambayo inaweza kuwatoa Mamelod kutokana na ubora wao".

George Job (Wasafi FM) akizungumza kuelekea mchezo wa Yanga dhidi ya Mamelod kwenye robo fainali ligi ya Mabingwa Barani Africa.

1710315874878.jpg
 
Yanga wakijitoa na kucheza attacking football yenye akili nawaona wakipata kitu.
Mamelodi ni wazuri lakini CB wao wakilazimishwa sana na kufanyishwa makosa wana poteana na hapa ndio panapo wakosti sana sundowns.
Pamoja na hayo, Sundowns ni guarantee kupata goli ukicheza nae kama utakua haukai sana nyuma na unakaba ipasavyo.
Hii haihalalishi kusema Sundowns ni wabovu hapana, ni team kamili na ipo vizuri.
 
Sahihi kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom