yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

    Ama kwà hakika Mpirà ni mchezo wa wazi,hauna longolongo kwà watu wanaoamini Mpirà ni sayansi. Ni wiki sasa tangu ule upande wa MAJINI FC ushinde goli zao nne na kupelekea benchi zima la ufundi likiongozwa na msemaji wao Ally Komwe kuzimia na kulazwa Hospitali ya Mwananyamala 8kutokana na...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu wa robo fainali. Yanga vs Asec Mimosa, Simba vs Mamelodi, Yanga atatoboa huku Simba ataishia robo.

    Simba kitachomuuma ni kuishia robo huku Yanga ikitoboa mpaka nusu fainali. Simba italaumu sana uongozi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Droo Robo Fainali: Yanga vs Mamelodi; Simba vs Al Ahyl

    Mimi ni shabiki wa Yanga na huu ndio utabiri wangu katika droo itayochezwa hivi karibuni katika kupanga mechi za Robo Fainali. Droo ikiwa hivi, basi si Simba wala Yanga ataefuzu. Hata hivyo, ataepangiwa mpinzani tofauto na hao niliowataja, atakuwa na nafasi ya kutinga nusu fainali hasa Yanga...
  4. JamiiForums Tanzania Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono

    Sasa hivi timu zetu zinakaza timu inafungwa Moja bila full time. Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono
  5. JamiiForums Tanzania Ronaldo's wife, Georgina Rodriguez wearing a red dress same to Yanga vijora

    Georgia Rodriguez walked the vetements Paris fashion week show wearing a red dress with christiano Ronaldo's iconic number 7.
  6. JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

    𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Al Ahly FC🆚Young Africans SC 📆 01.03.2024 🏟 Cairo International 🕖 6PM🇪🇬 7PM🇹🇿 TimuYaWananchi DaimaMbeleNyumaMwiko Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii Kila la kheri Yanga SC...
  7. JamiiForums Tanzania Simba anapambana kuvunja rekodi ya miaka 45 ya Yanga kesho

    Mwaka 1969 na Mwaka 1970 Dare es salaam Young Africans iliweka REKODI ya kuwa timu ya kwanza kucheza robo fainali mara mbili mfululizo yaani convectively 69 na 70 mara zote hizo alikutana na Asante Kotoko ya Ghana. Simba katika papatu papatu zake za robo fainali ambazo nyingi ni za msimu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Haya mnaobeti Al Ahly na Yanga SC leo nawapeni Mzola huu ili mumkamue Kanjibai ( Mhindi ) baadae Usiku

    Al Ahly ( Egpyt ) 1 Yanga SC ( Tanzania ) 6 na Goli 5 atafunga Guede na 1 atafunga Pacome.
  9. JamiiForums Tanzania Ipi ni comeback ya kibabe zaidi: Simba vs Mufulira Wanderers au hii ya Yanga vs CR Belouizdad

    Mwaka 1979 kulitokea maajabu ya soka ambayo mpaka leo bado hayajaweza kurudiwa katika historia ya soka la Afrika. Simba ilicheza mchezo wa Klabu Bingwa Afrika na timu ya Mufulira Wanderers ya Zambia. Mufulira ilikuwa moja ya timu bora Afrika kipindi hicho. Katika mechi ya kwanza iliyofanyika...
  10. JamiiForums Tanzania Gamond: Yanga nayoitaka bado kidogo

    Huyu jamaa anaitakia nini kolouzidad?
  11. JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC tunajiamini na Kutamba Kutwa kwanini huko Cairo tunahaha Mechi yetu na Al Ahly Kesho Mashabiki wao Wasijaze Uwanja?

    Mwandishi wa huu Uzi Tukuka GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC lia lia hata Wenzake akina Dada Nifah, Bishoo adriz, Rafiki yangu Bila bila na Popoma Takatifu Tate Mkuu wanajua hilo hadi na wana JamiiForums wote. Ni imani yangu wana Yanga SC Wenzangu mtanijibu nwana Yanga SC Mwenzenu GENTAMYCINE...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji na Staff CR Beloizdad wakatwa 80% ya mshahara baada ya kipigo cha Yanga

    Kiufupi hii timu ya yanga inaendela kuleta madhara, na mfano ulikuwa baada ya simba kufungwa tano walifukuza kocha , na pia walitakwa kumfukuza chama. Algeria: Kufuatia kipigo kikali cha bao 4-0 kwa timu ya beloizdad kutoka kwa yanga, bodi ya wakurugenzi ya klabu hiyo imetoa adhabu kali kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini kufuzu kwa Yanga SC kumewaumiza sana SIMBA SC kiasi kwamba wanaropoka kila mara kupitia vyombo vya habari

    Ndugu zangu hivi nini kimepelekea viongozi wa SIMBA kuchanganyikiwa baada tu ya Dar Young Africans SC kuingia quarter final ya CAFCL 2024. Musemaji wao anaropoka. Page zao zinaropoka tu. Siamini kama SIMBA haina watu professional wa mpira. Au SIMBA anaogopa kwamba hata kama atafuzu basi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mayele asiruhusiwe kuonana na wachezaji wa Yanga huko Egypt

    Nimesoma sehemu kuwa Fiston Mayele atakwenda kwenye Kambi ya Yanga huko Egypt. Kwa ushauri wangu nadhani asiruhusiwe kuonana na wachezaji wa Yanga kwasababu ni dhahiri yupo tayari kuihuju timu. Natoa sababu zifuatazo 1. Mchezaji huyo kwasasa ana mgogoro na Mashabiki wa Yanga. 2. Hakuna...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Motsepe Rais wa CAF, ni boss wa Mamelod na rafiki wa Hersi, Mechi na Yanga QF haipo

    Mimi kama shabiki wa Soka na mfuatiliaji wa Ligi ya NBC, nimefurahi yanga kufuzu lakini na Simba Ina chance ya kufuzu 50/50. Kwa uwelewa wangu timu sita tayari zimeingia robo fainali, ikiwemo mamelod na Yanga na Al ahly. Ukiangalia Kwa upande wa Yanga timu ambayo inaweza kumsumbua robo fainali...
  16. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Kufuzu kwa Yanga ashukuriwe Mo Dewji

    Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema kufuzu kwa Yanga katika hatua ya robo fainali anaepaswa kushukuriwa ni Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji na wa pili Club ya Simba. “Wakati Mo anakuja kuwekeza Simba alisema vision yake ni kushinda ubingwa wa Afrika na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Yanga ipewe pongezi kwa ubunifu wao katika soka duniani

    Wanajamvi mambo ni vipi Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani. Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu. Ally Kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe Yanga ilicheza na timu ya vijana ya CR Belouzdad, mashabiki wanamjia juu kocha kwa kudharau mechi

    Nimeshangaa kuona kumbe ile timu iliyofungwa jana ni ya vijana wa kutoka academy ya Belouzdad. Kocha na uongozi unalaumiwa kwa kuwadharau yanga.
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu Yanga wamechimbiwa Kwa Mkapa huku uwanja ukiwa umefungwa kwa matengenezo, Simba isithubutu kucheza kwa Mkapa

    Timu zote za watani wa jadi zina kamati za ufundi hakuna asiejua, tofauti ni kwamba simba anafanya hata wazi wazi ila Yanga ni kwa siri kimya kimya gizani na mafichoni. Ni kweli Yanga wanaubonda ila kuna vitu extra vinawabeba. Uwanja huo umefungwa Mar mbili kwajili ya marekebisha, baada ya...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Yanga ni kikundi cha wahuni

    Hakuna mpira pale. Jana walinunua mechi. Hawana tofauti na kikundi cha Ngoma.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…