yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. F

    JamiiForums Tanzania Yanga kutokea kambini hotelini mechi za Dar ni matumizi mabovu ya hela

    Habari wadau, Jana Yanga tumecheza na Singida. Nimeshangaa kuona wachezaji wametokea kambini kwenda uwanjani, badala ya kutokea nyumbani kwao ama makao makuu ya club. Hata mechi na simba nayo hivyo hivyo wachezaji wanatokea hotelini. Huu mfumo wa kukaa hotelini kila siku unaongeza gharama kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Huenda ' Mikosi ' ya Yanga SC kufanya vibaya huwa inaanzia kutoka kwa hawa Wasemaji wake wa ' hovyo hovyo ' Bumbuli na Nugaz

    Leo asubuhi akihojiwa na Wasafi FM kupitia Mtangazaji Yussuf Mkule Msemaji wa Yanga ya Mshindo Msolla aitwae Hassan Bumbuli kwa ' Majigambo ' kabisa alisema kuwa Yanga imepanga Kufanya ' Mauwaji ya Shalubela ' kuliko yale yaliyofanywa na Simba SC na Azam FC ya Kuifunga Singida United Goli 8...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga yafanya mauaji - Yatuma ujumbe wa kutisha kwa Simba

    Yanga Sc ya dar leo imeitandika Singida United kipigo cha kikatili na hasira kali cha bao 3-1 Katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa/Mkapa Dsm. Mchezo huo uliokuwa wa piga nikupige,mkali na wenye kuonesha soka la kitabuni soka la kuvutia...mchezaji wa yanga mahiri kwa jina la ykpe leo...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali: Mechi ya Simba na Yanga imeonesha elimu zaidi bado inahitajika kuhusu CoronaVirus

    SERIKALI imesema changamoto ya kupeana nafasi kwa mashabiki walioingia uwanjani katika mchezo wa Simba na Yanga inaashiria elimu zaidi inahitaji ili kuchukua tahadhari ya janga la maambukizi ya virusi vya corona viwanjani. Katika mchezo huo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam...
  5. JamiiForums Tanzania Mvua ya ajabu iliyonyesha Jumatano na Alhamisi ilikuwa ndiyo angamizo la wana yanga

    Maana hata mamlaka za hali ya hewa hazikuiona mvua hile ya ghafla kiasi kile ( jokes)
  6. F

    JamiiForums Tanzania Je, Morrison angeweza mfanyia Zahera uhuni anaomfanyia mzungu na viongozi wa Yanga na bado akapata namba?

    Habari wadau Swali la kizushi.. je Morisson angeweza kumfanyia Mwinyi Zahera mambo anayowafanyia viongozi msimu huu. Hapo ndipo nawaelewa watu wakali kama Zahera au Magufuli.. Ukali unasaidia sana kuleta nidhamu.. Yanga ya Zahera hata hela ilikuwa haina za mishahara ila bado kocha alikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kumchezesha muhuni Morrison, benchi la Yanga lilaaniwiwe kabisa

    Hakuna shaka lawama hizi ziwaendee benchi la ufundi kwa ushenzi waliofanya kumchezesha huyu mhuni Morrison. Wale wanaomwelewa alichokifanya hata mwezi hana sidhan alistahili kuvaa jezi za yanga tena. Ushauri Hilo liwe funzo
  8. JamiiForums Tanzania Hii inapatikana kwenye matokeo ya CAF

    Hii inapatikana kwenye matokeo ya CAF champions league 2019 na bado code namba ni hiyo hiyo 255
  9. JamiiForums Tanzania Uchumi wa kati matukio mawili, kipigo cha Yanga na Kipigo cha Shilole

    Wana Jf, katika matukio hatari na ya kutia hasira, tangia tupate uchumi was kati, tumepata vipigo vya mbwa mwizi viwili chakwanza cha Shilole cha pili cha yanga. Kipigo cha yanga ndicho kinatisha kwani kilitendeka kwa uwazi, wakati cha Shilole kilikuwa kwa kificho sana mpaka alivyojitoa na...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Yanga imemfukuza Mwinyi Zahera, imekuwa mbovu kuliko ya Zahera

    Papaa Zahera aliendesha timu bila mishahara Timu iliyojaa wachezaji wa kiwango cha chini kuliko hii ya leo ila timu ilikuwa na morali na matokeo ilikuwa inapata Na hata timu tajiri kama azam na simba zilipata shida sana kucheza na yanga ya Zahera Mkwassa na Msolla wakampiga majungu...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga baada hiki kipigo tulichopigwa na Simba leo Msolwa kuna haja abaki klabuni

    Hivi kweli Yanga shida nini uongozi au kuna jambo lingine manake kama pesa kwasasa ipo shida nini. Hivi viongozi wanajua shida tunayopata mashabiki, hebu Msolwa na wenzake watupishe kidogo. Hivi Msolwa atakuja kutuambia nini klabuni na kumuelewa. Nimeumia sana leo.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nimependa spirit ya Molinga game na simba, nashangaa kwanini uongozi wa yanga haumpendi

    Habari wadau Nina majonzi ya kufungwa na watani japo nilijua kwamba watani wana timu nzuri kuliko yetu. Wachezaji wa yanga wamezingua sana leo hasa safu ya ulinzi.. Tukiacha yote nimependa amsha amsha za papaa Molinga.. nashangaa why wanayanga hatumpendi Spirit yake kali sana na leo ni...
  13. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa level seat usitishwe kama Simba na Yanga watajaza uwanja wa taifa

    Nimepita uwanja wa taifa na kuona magari ya serikali yakiuza tiketi za pambano la watani wa Kariakoo. Kwa kiashira hiki ni dhahiri uwanja wa taifa utatapika leo. Hili likifanyika basi marufuku ya level seat ISITISHWE. Marufuku hiyo iliyochukuliwa kama tahadhari ya Corona itakuwa haina maana...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa ' Kufuru ' tuliyoifanya Usiku wa Kuamkia leo kama Kesho Yanga SC akishinda Taifa nitamwagilia Bustani za Dar Mwaka mzima

    Kwa tulichokifanya ' Kamati ya Roho Mbaya na Ufundi wa Kimila ' usiku wa Kuamkia leo ili Kulipiza Kisasi kwa Yanga SC tutakapocheza nao Kesho Jumapili tarehe 12 July, 2020 kama Yanga SC akishinda ( akitufunga ) tena basi GENTAMYCINE najitolea kuwa namwagilia Bustani zote za Manispaa ya Mji wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mwamuzi Elly Sasii afungiwa baada ya kushirikiana na Yanga kuihujumu Azam

    My Take Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha. Msipofanya hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Morrison aishtaki Yanga TFF akidai kusainishwa mkataba ambao haufahamu

    Kiungo mshambuliaji wa Young Africans, Bernard Morrison ameishtaki klabu hiyo TFF, akidai kutotambua mkataba mpya wa miaka 2 unaodaiwa alisaini kwa makubaliano maalum. Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya mwenyekiti wake, Elias Mwanjala imeanza...
  17. JamiiForums Tanzania Simba itajuta kuifahamu Yanga, itajuta kuifunga Azam leo

    Sasa ni rasmi Simba itakumbana na Yanga katika nusu fainali ya Azam Cup. Ni baada ya Simba kuishinda Azam mabao 2-0 hivi punde. Nawatahadharisha watani zetu wa Simba, mtajuta kuifahamu Yanga na kushinda leo. Tutawatandika tena bila huruma. Mtafute sare! Kila mara huwa nawaambia watani zangu...
  18. JamiiForums Tanzania Mkwasa na Yanga yako mtamkumbuka Molinga.Tushachelewa

    Wakatii KIJANA wawatu akibaki dar wakati WA covid akijua anasubiria kuongezewa MKATABA LA hasha Hali ikawa TOFAUTI kabisa kabisa KIJANA akaonekana hafai haitajiki kabisa yanga Wapoo waliotamani avunje hata MKATABA aondoke Si mwingjne n KIJANA Molinga WA ndanda AMBAE alionekana hafai ujio WA...
  19. JamiiForums Tanzania ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

    Final Score: Yanga 2 - 1 Kagera Sugar 80" Yanga 2 - 1 Kagera Sugar 72" Goal Yanga 2 -1 Kagera Sugar{Awesu, Molinga, Kaseke} 60" Yanga 1 - 1 Kagera Sugar 52" Goal: Yanga 1 - 1 Kagera Sugar {Awesu, Molinga} 50" Yanga 0 - 1 Kagera Sugar HT : Yanga 0 - 1 Kagera Sugar 40" Yanga 0 - 1 Kagera Sugar...
  20. JamiiForums Tanzania Simba Sports, Yanga Afirica FC hakuna mwenye hekima hata mmoja?

    Simba na Yang Africa ni virabu vya kihistoria ambavyo havitakufa kuna wakati Yang Africa ilichungulia kaburi miaka ya themanini lakini tokea wakati huo haijafanya makosa hayo. Nchi imehamia Dodoma mbona hamuwazi kuanzisha makazi ya Krabu Dodoma. Pale mlipo kwanza hapafai. Mmebaki na majengo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…