yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Mapambano ya matajiri wawili yakwamisha safari ya Yanga kurejea nyumbani

    Klabu ya Yanga ilikuwa jijini Lubumbashi kwa mechi yao ya mwisho na TP Mazembe na walitarajiwa kurejea nchini Tanzania juzi usiku. Hata hivyo, kulikuwa na vita ya kifamilia kati ya matajiri wawili jijini hapo. Tajiri namba moja wa Yanga, Ghalib Said Mohamed, alikuwa na faili zito la usajili...
  2. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Andre Mtine Atua Cairo

    Habari za kufurahisha moyo kwa mashabiki wa Yanga! Klabu hiyo imemtuma tena Ofisa Mtendaji wao Mkuu, Andre Mtine, kwenda kufuatilia droo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa Afrika. Hafla hiyo itafanyika kesho jijini Cairo na Yanga ni moja kati ya timu 8...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kuelekea robo fainal champions leage na shirikisho Simba dhidi ya mamelodi Yanga dhidi ya pyramid

    Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu. Simba sc vs mamelodi Pyramid vs young Africans.
  4. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wakati manara anatutukana mashabiki wa Yanga akujua vice president wakati huo ni shabiki wa yanga

    Haji manara wakati yupo Simba aliwahi kusema pale Yanga mashabiki wenye akiri ni baba yake na mzee kikwete. Wakati anasema hayo nadhani hakufikiria ya mbele au ndo mropokaji,raisi wa Tanzania mama yetu ni shabiki wa yanga je na yeye Ile kauli inamuhusu. Haji manara inabidi utuombee samahani...
  5. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Kulinganisha Simba na Yanga ni sawa na kulinganisha mwanafunzi wa chuo kikuu na alifeli form two

    Yanga ni mwanafunzi aliefeli form two baada ya kushindwa kufikisha "D" mbili katika masomo yake,na ikabidi arudie darasa Tena kwa Mara ya pili, hii inajidhihirisha baada ya kufeli vibaya kweny lig ya mabingwa Africa. Simba yeye ni mwanafunzi aliepass vizuri masomo yake na Yuko chuo kikuu...
  6. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Yanga mnapata wapi kiburi cha kujisifu Shirikisho? Kuna timu inashuka daraja kwao lakini imeongoza kundi Shirikisho

    Kelele za Yanga jamani. Mwaka huu shirikisho ni vituko tu. Marumo Gallants South Afrika wanashika mkia lakini wameongoza kundi lao shirikisho. Tukisema shirikisho hakuna Timu Bora mwaka huu mtuelewe jamani. Kati ya mechi 23 alizocheza kwenye ligi kashinda mechi 3tu. Na bado mechi 7. Wakati...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mnaupiga mwingi, mafanikio ya msimu mmoja tu ndani ya michuano ya CAF ni kielelezo cha ubora wa timu yenu

    Hakuna asiejua msoto aliopitia yanga miaka ya nyuma kwenye michuano ya kimataifa, mafanikio pekee aliyokuwa nayo ilikuwa ni kuingia hatua ya makundi kombe la shirikisho na akavuta mkia kwenye kundi lake, kipindi icho ilikuwa ni yanga ya kuungaunga sana. Lakini baada ya uwekezaji mkubwa kwa...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Tatizo tunaishi kwa mazoea! "Yanga ana mafanikio zaidi kimataifa kuliko simba mwaka huu

    Tatizo tunaishi kwa mazoea na usimba na uyanga Yanga wakati inaanza mwaka huu wa mashindano ilikuwa ya 75 Leo hii yanga ipo ndani ya top 20 best club in Africa. Wakishika nafasi ya 20 wakati simba kapanda nafasi 5 tu mwezie kapanda nafasi 55 tuendelee kuwepo lakini ukweli Yanga ya Sasa ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mngependa kukutana na timu gani kati ya hizi tatu kwenye robo fainali ya kombe la losers? Rivers United, USM Alger au Pyramids

    Chei chei! Timu ya Yanga inakwenda kuumaliza mwendo katika kombe la waliofeli kwani wanakwenda kukutana na miamba mitatu ambayo isingependa kukutana nayo. Yanga amemaliza kama kinara wa kundi Dada....ila anakwenda kukumbana na hatari kubwa mbele yake kwani alitegemea labda atapata vibonde ambao...
  10. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Yanga 4-5 Villa Squad: Rekodi ya 2008/2009 isiyoimbwa na inayoweza kupotea

    Leo nimeamua niweke katika kumbukumbu matokeo ya hii mechi ambayo hayanukuliwi mara nyingi kwa kuwa labda ilikuwa ni mechi ya mwisho katika msimu wa 2008/2009 tarehe 27/04/2009 kati ya timu ndogo ya Villa Squad iliyokuwa imeshashuka daraja dhidi ya Yanga iliyokuwa imeshanyakua ubingwa, na...
  11. Zee la Kazi

    JamiiForums Tanzania Kwenye chaki leo (Bitter Truth)

    Habarini Wananchi wote wa JF..! Bila kupoteza muda naomba nisiwachoshe tusichoshane..Ukweli huwa ni mchungu sana..hii imewafanya watanzania wengi wanapenda uongo wenye kufariji kuliko ukweli unaoumiza.. Awali nilikuwa nikitizama hizi timu za Bongo niliona zinachechemea sana hakuna Lolote Jipya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Yanga watafika fainali CAFCC

    Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA. I am a SImba Fan lakini SIMBA mwaka Jana kulikuwa na timu kama BERKANE ORLANDO. This Time CAFCC kuna timu nyingi lakini za kawaida sana mfano future pyramid FAR RABAT na Rivers zote za kawaida sana.
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga huwa wanakabidhi akili zao kwa nani?!

    Nawaambieni kweli, hawa wanaoropoka humu Juwaani sio watu wadogo. Baadhi ni viongozi kule Utopolo
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naomba tofauti ya mashindano wanayocheza Yanga na Simba (nini maana ya looser na kwanini)

    Hivi hii michuano ya kimataifa inayochezwa na yanga na Simba ni Ile Ile au ni mashindano tofauti? Naomba ufafanuzi na hii dhana ya looser inakaaje? Nini tofauti ya shirikisho na club bingwa? Na je huko mbele Kuna mahali watakutana?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Yanga ni bora kwa sasa CECAFA

    Take it🔥 Ipo hivi, Yanga sc imevuna alama zote 6 kwa Tp Mazembe. Imekomba alama 4 kati ya 6 kwa Real Bamako. Imechukua alama 3 kati ya 6 kwa Us monastir Kifupi Yanga sc kwa sasa ndio timu bora katika ukanda wetu huu wa Cecafa. Tujivunie
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yanga itaendelea kuzifanya timu nyingi zionekane mbovu

    Kuna katabia fulani hivi kameanzishwa na mashabiki wale wafuasi wa Mangungu na Mhindi wa bombay kuwa kila yanga inaposhinda mechi wao wanasema timu ni mbovu iliyokutana na yanga, Ni lugha fulani hivi ya kujihami lakini vichwani mwao wanalo fundo kubwa la wivu, Unaposema yanga kakutana na mbovu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Yanga Yalipa kisasi cha 2016 Kwa Mazembe

    Take it! Yanga @yangasc1935 imelipa kisasi cha 2016 kwa TP Mazembe. Mazembe ilishinda bao 1-0 Ugenini (Dar) ikashibda 3-1 nyumbani (DRC). Yanga imeshinda 3-1 nyumbani (Dar) na 1-0 ugenini (DRC). Hatua ni hii hii ya makundi kombe ni hili hili.
  18. vibertz

    JamiiForums Tanzania Jezi ya nyumbani ya Yanga inakitu, Yanga itafika mbali

    Kama mashindano ya CAF yanaruhusu kuvaa jezi ya nyumbani hata ukiwa ugenini, basi ni vyema Yanga wakawa wanaitumia jezi za nyumbani hata wakiwa away kama tu jezi hazifanani na aliyeko kwake. Yanga wakivaa zile jezi, wanakuwa na morali na hali ya juu, wanakuwa na kiwango kikubwa cha kufanya...
  19. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Nabi kuukosa mchezo Kongo

    Nabi rasimi kathibitisha kuwa hatakuwa pamoja na kilabu ya Yanga kwenye mechi yao dhidi ya TP-Mazembe nchini Kongo katika mchezo wa marudiano wa shirikisho la Afrika. Kumekuwa na sintofahamu na mashabiki wengi wa soka wakijiuliza juu ya kumkosa kocha mkuu wa yanga katika mchezo huo...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Historia yawekwa: Mashabiki wa Yanga wakesha usiku mzima wakiangalia mechi ya kirafiki ya Simba

    Mechi ya marudiano ya Simba vs Raja AC iliyochezwa jana mjini Casablanca ilitegemewa kuwa ni mechi yenye ushindani mkubwa pamoja na kwamba ilikuwa ni mechi ya kirafiki ya kukamilisha ratiba. Pamoja na kwamba timu zote mbili zilicheza kwa tahadhari na kujaribu kutafuta ushindi lakini ile hali ya...
Back
Top Bottom