" Majeraha kwa kalengo ni kama kifo na binadamu na hili viongozi tuli wapa ushauri mapema kuhusu usajili wake.Una msajili vipi mchezaji alie umia mara 21 ndani ya mwaka mmoja tena una enda kumpa mkataba wa miaka miwili mchezaji alie cheza mechi 4 tu msimu mzima bila kumpima afya kwa kisingizio...
Tukiwa tunawaambieni kuwa mna njaa halafu hamna 'wataalam' wa mpira katika klabu yenu ya Yanga muwe mnatuelewa kwani ni aina yenu ya 'ubishi' ndiyo ambayo imekuwa 'ikiwagharimu' na hatimaye mnajikuta mnafanya vibaya katika mechi zenu mbalimbali kisha mnadai Simba SC inabebwa wakati si kweli...
Nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Dar Young Africans. Jana nimeshuhudia timu ya Yanga ikicheza dhidi ya timu ya Mbao.
Niishauri Timu ya Yanga kuwa mchezo waliouonyesha jana bado kabisa. Tafuteni wachezaji wenye uwezo kimpira kuliko vijana mlio nao sasa hivi. Majirani zenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.