yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mpunga unaoingia baada ya kutinga Hatua ya Robo Fainali kati ya Yanga na Simba

    Ni vizuri pia tukawajuza umate umate utakaoingizwa na hizi timu 2 baada ya kutinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho na Klabu Bingwa Afrika, mgawanyo ndio huu; Yanga: Milioni 820 kutoka CAF + Bilioni 1.5 kutoka wadhamini wao Kampuni ya Haier + Milioni 40 zawadi ya Rais Samia, jumla...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nabi kumtumia Baka kwenye mechi kutaipunguzia gharama Yanga mwisho wa msimu

    Ile dhana ya hakuna mchezaji mkubwa kwenye timu ya Yanga inainufaisha Yanga leo na hata kesho. Kumchezesha mchezaji huyohuyo kwenye mechi zote timu inapopata matokeo mazuri na timu kupata matoke mabaya kama mchezaji huyo asipopangwa kunaingarimu timu fedha nyingi kumbakisha kikosini mchezaji...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana timu za Yanga na Simba

    Ninawapa hongera kubwa sana kwa kutufurahisha sisi Watanzania kwa ushindi mlioupata katika mzunguko wa kufuzu Robo Fainali. Juhudi zenu zisikome hapo mlipofikia, ila tunaomba safari hii mfike mpaka Fainali. Narudia tena hongereni sana Wanalunyasi na timu ya Wananchi.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikipata Matokeo ya Kufungwa kwa TP Mazembe na Real Bamako leo sitopoteza muda wangu Kutizama Mechi ya Yanga

    Naomba mwenye kujua Mechi ya Real Bamako FC na TP Mazembe FC ni Saa ngapi anitaarifu tafadhali. Nitakuwa na Mzuka wa Kuiangalia Mechi ya Yanga FC na Monastir pale tu nikisikia TP Mazembe FC ameshinda huko nchini Mali. Kwa wenye Akili tunajua kuwa endapo TP Mazembe itafungwa na Real Bamako FC...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona utani baada ya Simba kushinda 7-0, waambieni fedha bado zipo tupieni magoli wavuni

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo baada ya Simba kushinda magoli 7-0 dhidi ya Horoya katika mchezo wa Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwenye Uwanja wa Mkapa.
  6. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC atafungwa leo, rasmi najitoa Jamiiforums na mods wanifungie

    Habari zenu mashabiki wote wa mpira JF Leo Yanga sc tunaingia uwanjani na malengo ya kupata ushindi ili tuweze kuwa na uhakika wa kuvuka hatua inayofua ya robo fainali. Mechi tuliocheza kule Tunisia tuliocheza vizuri japo hatuktengeneza nafasi za magoli. Na wapinzani wetu walitumia mipira...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Saido Ntibanzokiza vs Benard Morisson, Manara alikuwa sahihi. Yanga tuna shida

    Saidoo aliachwa na Yanga kwa mazingira sawa na yale aliyoachwa Morrison Simba. Ila Saido anaonekana kuwa tegemeo kwa club yake tofauti na Morisson. Ilikuwaje Morrison kupewa tena mkataba wakati mambo yake yanajulikana maana sisi ndio tuliomleta mjini. Au ndio ule usemi wa Haji Manara kuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Monastir ni timu nzuri kiufundi na imetimia kila idara lakini wanakutana na Yanga iliyotimia zaidi na yenye njaa ya mafanikio

    Tunategemea mechi nzuri sana na yenye ushindani mkali leo hii kwakuwa zinakutana timu ambazo zote ziko vizuri kiufundi na zikiwa na wachezaji bora kwenye vikosi vyao, Monastir walimfunga yanga goli 2 kule Tunisia na aina ya magoli ambayo walifunga ni mipira ya kutengwa (set pieces), ni eneo...
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania TFF hawajamuita Feitoto ili acheze timu ya Taifa Bali kumrudisha tu dar Akutanishwe na Yanga

    Yani baada ya Yanga kushindwa kabisa kukutana na Feitoto Licha ya TFF kuwaita kwenye kesi pamoja ili iwakutanishe. Sasa mbinu ya mwisho waliyoitumia ni kumwita Feitoto timu ya Taifa. Huko pia wanampango kumwita Kocha wa Yanga Nabi akae kwenye benchi la ufundi ili wapate wasaa wa kumshawishi...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

    Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC. Saa moja jioni mbivu na mbichi kujulikana. Tupo hapa kuisubiri saa 1 jioni ili tumalizane. Mimi na wenzangu tupo hapa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Simba wameroga mpaka magoli ya Yanga leo

    Hii klabu ya Simba tangu zamani imeundwa kwa mifumo ya kishirikina shirikina, jana walitakiwa wafunge goli 3-0, nikiwa na maana ya yanga leo naye kushinda bao 4-0. Tatizo linaanza mchezo wa jana mipira miwili tu ndio ilihusika na kwa mara ya kwanza kwenye historia nimeona maajabu ya mpira...
  12. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania TFF ilileta siasa za Simba na Yanga kuchagua kikosi. Kapombe na Zimbwe wasikubali unafiki

    Tuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa. Wakaitwa watu wanachezea benchi. Nazani TFF wasilete usanii. Waachwe tu waende na Kibwana Shomari na nabi kwenye benchi tusubiri...
  13. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Yanga kesho njia nyeupe kuelekea Robo fainali

    Baada ya kuwapigia soka Safi real bamako, kesho ni usiku wa kisasi mje kushuhudia pira Safi. Simba hongereni Sana watani Ila muache kuroga😁
  14. S

    JamiiForums Tanzania Simba 6 - 0 Yanga. Bado una nguvu za kusema Horoya wabovu?

  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC yavunja rekodi ya Raja kuifunga Yanga goli 6

    Hii ni rekodi ya vipigo vikali kuwahi kutolewa katika mashindano ya klabu bingwa Afrika. Tulichofanya leo ni kuvunja rekodi ya Raja kumchapa Utopolo goli 6. 1998: 🇲🇦Raja [6-0] 🇹🇿Yanga 2001: 🇮🇪ASEC Mimosas [7-0] CR 🇩🇿Belouizdad 2019: 🇨🇩TP Mazembe [8-0] 🇹🇳Club Africain 2023: 🇹🇿Simba [7-0]...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mechi ngumu ni kesho, na Yanga akifuzu, basi hata nusu fainali anaweza kutinga

    Naamini mechi ya kesho itakuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili na Yanga asipokuwa makini, anaweza hata kupoteza hiyo mechi. Hata hivyo, Yanga akishinda kesho dhidi ya Watunisia, basi atakuwa na uwezo wa kufika hata nusu fainali. Hilli kiundi linaweza kutoa bingwa kama...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wengi hamtaamini lakini Simba na Yanga wote hawapenyi robo fainali, kwa sababu hii

    Simba anacheza na Horoya ambayo inakuja kutafuta draw kwa Mkapa, kwa forward za Simba zilivyo, Horoya ana uwezekano wa 80% ambao ni mkubwa sana wa kupata draw Mechi ya mwisho anacheza nyumbani dhidi ya Vipers ambayo hawana cha kupoteza Yanga anatakiwa kumfunga Monastir, nasisitiza sio draw...
  18. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Tunaopenda soka kwelikweli Bila Unafiki tunaziombea Simba na Yanga ushindi katika Michezo hii ya Weekend.

    Naam Habarini za Jumamosi Wanajukwaa. Leo ni siku Murua kabisa kwetu sisi wapenda soka tena lile soka zuri lisilo na Makolokolo,Soka lisilo na Mara Refa kafanya hiki Mara shirikisho limependelea fulani si hatupendi hayo. Sisi wote kwa pamoja kama Chama cha wapenda soka la kweli tunaziombea...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga watalipa kisasi kimataifa wikendi hii?

    Simba atamkaribisha Horoya Jumamosi hii pale kwa Mkapa huku Yanga atamkaribisha Monastir siku ya Jumapili! Ikumbukwe Simba alichapwa bao 1-0 na Horoya ugenini na Yanga alilazwa bao 2-0 na Monastir ugenini! Wale wazee wa mikeka ya Sokabet, Nipeni muongozo maana nataka nipige zangu pesa tu...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kocha Cedric Kaze aitwa kuongeza nguvu Taifa Stars, Yanga yampa baraka

    Kocha wa timu ya taifa Taifa Stars, Adel Mrouche amepewa nafasi ya kuchagua wataalamu 4 atakaoambatana nao kwenye timu ya taifa kama sehemu ya benchi lake la ufundi, Kocha huyo amependekeza jina la kocha msaidizi wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze kuwa chaguo lake la kwanza. Ikumbukwe Cedric Kaze...
Back
Top Bottom