yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Derby ya leo FT 1:1. Yanga ikitangulia na Baleke kusawazisha

    Yanga atatangulia kumfunga Simba Leo, baadaye Baleke ataisawazishia Simba. FT. Yanga Vs Simba 1:1. Nipo paleee
  2. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

    Mwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli siku hazigandi. Ndio ni Kariakoo Derby, ni Simba Sc Vs Yanga Sc katika dimba la Benjamin Mkapa jijini...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Siku moja kabla ya mechi, Viongozi wajuu wa Simba na Yanga wakutanishwa Ikulu na Rais Samia, Aprili 15, 2023

    Wapinzania wa jadi Simba na Yanga wakutana kwenye Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah (Try again) wa pili kutoka kulia pamoja na Mfadhili na Mdhamini wa Yanga, Ghalib Said Mohamed wa pili kutoka kushoto...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga SC kila ikikaribia tu Kucheza Mechi Kubwa na Muhimu hupatwa na Misiba?

    Na hiyo Misiba ya hapa na pale ikiwatokea / ikitokea tu Mechi yoyote Ngumu inayokuja Yanga hushinda na pia hucheza Mpira mkubwa mno na wa Kuvutia. MINOCYCLINE nimesahau naomba kama hamtojali mnikumbushe Yanga SC inacheza Mchezo wake mwingine lini na wapi ili niishuhudie ikienda Kushinda...
  5. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Yanga kuchapana bakora na kuvunja timu baada ya kupigwa 4-1 na Simba, Mwaka 1994

    Tukiwa tunaeleka derby ya kariakoo hapo kesho, sio mbaya tukakumbusha baadhi ya vituko, mikasa na visa vilivyowahi kutokea huko nyuma. Leo tuikumbuke mechi iliyowafanya Yanga (Gongowazi) kuchapa bakora na kupelekea kufukuza karibia wachezaji wake. July 2, 1994 katika dimba la Uhuru, Dar Es...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Simba na Yanga Jumapili hii hapa! Atakayefugwa kapenda mwenyewe kwa uzembe!

    Mchezo wa simba na yanga kesho hauna mwenyewe! Atayefungwa kataka mwenyewe! Yanga watakuwa bora sana kipindi cha kwanza! Hakika Simba watakimbizwa na mabeki wa simba wasifanye masihara kipindi cha kwa hususani kuanzia saa 11.00 hadi 11:15 ni hatari tupu, Njia pekee ya simba nikuondosha mipira...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kwa Kauli yake ya Kukafini Maiti Yanga SC kapimweni Akili

    Ally Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) Siku ambapo Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC Goli 3 kwa 0 ( tena akiwa Clouds FM Kipindi cha Sports Extra ) Studioni akiwepo Mtangazaji mwana Yanga SC Prisca Kishamba na Mchambuzi mwana Simba SC Master Tindwa alitudhihaki wana Simba SC kuwa Tumebikiriwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Beki kisiki Kasaini tena Yanga

    Mlinzi wa kati mwenye uwezo wa kukaba hadi upepo Dickson Job amesinya mkataba wa miaka miwili kuendelea kutwanga/kucheza Yanga,ni suala la muda kwa Yanga kutangaza taarifa zake, bwana mdogo bado ni wanjano na kijani hivyo bado atakua pale kwenye ukuta wa Yanga!!. Ikimbukwe job alikuwa na...
  9. Cute Msangi

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuwachunga siku ya dabi Simba vs Yanga

    Yanga inabidi wawe makini na chama na baleke ni wachezaji waliokuwa kwenye form nzuri hivi Sasa na ni HATARI. Simba inabidi wawe makini na wachezaji wote wa yanga na kocha Nabi. hivi Sasa ukiongelea timu yenye team work hali ya kupambana kwa wachezaji ni Yanga na kila mchezaji anatamani...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rekodi za Yanga kuruka ukuta mechi za dabi inatisha

    Katika kila mechi za dabi Yanga imekuwa ni timu ya kupigwa faini kwa tabia za kugoma kupitia geti kuu. Ni wazi hayo yamekuwa maelekezo ya waganga mbalimbali wa Yanga. Mchezo uliopita Yanga ilipigwa faini ya shilingi Milioni tano na Shirikisho la Mpira wa Soka Tanzania(TFF) kwa kosa la kuingia...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Jean Baleke atamani kuinywa Yanga mchuzi

    Jean Baleke (kulia) akifanya yake. STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi. Baleke amejiunga na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania ⚽️ SIMBA na YANGA Jumapili hii, Unatabiri nini?

    Ni Derby ya Kariakoo kwenye dimba la Mkapa Jumapili hii na kama kawaida yangu mzee wa mikeka haiwezi nipita hii😂😂Mapema kabisa naweka mkeka wangu pale Sokabet Nampa YANGA ashinde au adroo! 😂Ushabiki pembeni, Pesa Kwanza!
  13. Mributz

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Yanga Mamadou Doumbia, amefiwa na Baba yake mzazi huko Mali

    Picha: Mamadou Doumbia TANZIA: Klabu ya Yanga imepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Baba mzazi wa mchezaji wake beki, Mamadou Doumbia, kilichotokea jana, nchini Mali. Mamadou Doumbia anatarajia kusafiri asubuhi leo kuelekea Mali kwa ajili ya kushiriki taratibu za mazishi. “Kwa niaba ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Simba tunaweza kabisa kuwafunga Yanga

    Simba tufanye mambo haya; 1. Kudhibiti kambi yetu. 2. Kuhakikisha uchawi wa Yanga tunautegua. 3. Viongozi wa Simba wawe na ushirikiano. Mwisho, Simba tukifanikiwa kudhibiti katikati na pembeni tunashinda. MHM simba tuwe na discipline ya kucheza katikati pia kuhakikisha hatuachi space kubwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Yanga Kuunguruma kesho Aprili 14, 2023

    Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said kesho saa 05:00 asubuhi ataongea na Wanahabari kwenye ukumbi wa Wizara TACAIDS Posta. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kususa kuhamasisha mashabiki wenu kuja uwanjani kisa nyie sio mwenyeji ni ujinga

    Kuna hili jambo niliwahi kuambiwa ila sikulitilia maanani siku za nyuma ila wiki hii nalishuhudia tena. Pale timu mojawapo inapokuwa mwenyeji wa mechi hii ya "dabi", hiyo timu mwenyeji kwa kuwa inaenda kupata mapato yote ya mchezo ndiyo pekee inafanya hamasa. Timu ambayo ni mgeni "inauchuna"...
  17. Aziz Ki Mayele

    JamiiForums Tanzania Je, Kushinda kwa Yanga katika kila mechi unapoibuka mjadala wa Feisal kuna maana kuelekea dabi?

    Imekua kawaida kila mechi unapoibuka mjadala wa Feisal Yanga imekua ikipata ushindi wa kishindo Mechi ya Azam na mechi za CAFCC zote zilizotanguliwa na mijadala hii zimekua za neema nyingi kunako club hii ya jangwani Sasa mjadala huu umeibuka tena kuelekea mechi ya dabi baina ya Simba na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Feisal Aje Yanga Tumalizane,Yanga ni kubwa kuliko Yeye

    Tangazo la Yanga la March 6 ambalo lilikuwa very clear katika option ambazo tumetoa, tumesema kama Feisal anataka kuondoka aje Yanga aondoke kama Kuna klabu inamuhitaji aje klabuni tumpe mkono wa kwa heri. “Hizi option zote anazozitafuta hapa tunashangaa kwanini yupo hapa, sisi sio kwamba...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Al Halal Kumng’oa Mayele Yanga

    Klabu ya Al Hilal ya nchini 🇸🇩Sudan ipo tayari kutoa 💲600,000 sawa(Tsh 1.38b) kumsajili mchezaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga Haina ugomvi na Fei Toto, bali na Timu inayomtaka

    Yanga inafahamu kuwa kunguru Hana kibiongo, kama ukiona kibiongo basi ameinamatu anaokota kitu. Wazazi, Ndugu, jamaa, marafiki na wapenda mpira wote lazima wafahamu hili. Yanga ni timu kubwa sana kuweza kumuonea Faisal Salum. Yanga haitapendi kuua kipaji Cha mtoto Fei, LAKINi Yanga inafahamu...
Back
Top Bottom