yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Historia yawekwa: Mashabiki wa Yanga wakesha usiku mzima wakiangalia mechi ya kirafiki ya Simba

    Mechi ya marudiano ya Simba vs Raja AC iliyochezwa jana mjini Casablanca ilitegemewa kuwa ni mechi yenye ushindani mkubwa pamoja na kwamba ilikuwa ni mechi ya kirafiki ya kukamilisha ratiba. Pamoja na kwamba timu zote mbili zilicheza kwa tahadhari na kujaribu kutafuta ushindi lakini ile hali ya...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tawi la Yanga Afrika kufunguliwa Lubumbashi

    INAANDIKWA HISTORIA: YANGA SC KUZINDUA MATAWI YAO MAPYA DR CONGO 🇨🇩 Historia Inaandikwa Kwa Wananchi: Klabu ya Yanga inaenda kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufungua matawi ya klabu hiyo Nchini Dr Congo, Wanachama wapya wa klabu hiyo Nchini DR. Congo wameiomba klabu hiyo ikazindue matawi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kiungo fundi (Mudathir Yahya) asaini miaka 2 Yanga SC

    Klabu ya Yanga imethibitisha kumuongezea Mkataba wa miaka mow ili 2)kiungo Mudathir Yahya wenye kipengele cha kuongeza. Mudathir alitua Yanga katika dirisha dogo la Januari mwaka huu na ameonyesha kiwango kikubwa kwenye mechi za mashindano alizocheza mpaka sasa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yanga Sc Watimua kocha Wao wa timu ya wanawake

    Uongozi wa Klabu ya Yanga umethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya Wanawake @yangascprincess, Sebastian Nkoma kwa makubaliano ya pande zote mbili . Uongozi wa Yanga unamshukuru Kocha Nkoma kwa kazi yake kipindi chote alichokuwa akiifundisha timu yetu ya...
  5. Tango73

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba wapenzi wenu wamejifunza nini kuhusu makocha walionao sasa vilabuni?

    Makocha wa yanga na simba wamegeuka kuwa lulu sasa vilabuni mwao baada ya kupitia misukosuko ya kutakiwa kufukuzwa. Ukweli kabisaa nabi aliponea chupuchupu pale yanga iliotoka sare nyumbani dhidi ya africa club ya tunisia na ilingojewa timu ishindwe tuu mechi ya marudiani kabla ya kocha...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Yanga haya magoli 14 mnayozidiwa na Simba kayafunga Mayele?

    Kila siku mnapiga kelele humu kwamba Fowadi ya simba ni mbovu. Simba imewazidi Yanga Magoli 14 mpaka sasa, hayo magoli yote mliozidiwa yalifungwa na Mayele? Mchezaji wenu wa kawaida sana mnayemsifia kama vile ni malaika toka mbingu ya Soka aliyeachiwa upako na Pele. Hebu acheni mambo yenu!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya rekodi CAF: Yanga kufungwa magoli mengi zaidi kwenye hatua ya makundi champions league!

    Hii ni rekodi inayoshikiliwa na Yanga hadi sasa. Ni timu iliyowahi kufungwa magoli mengi zaidi kuliko timu yoyote kwenye hatua ya makundi kwenye ligi nya mabingwa CAF. Ilifungwa magoli 19 kwenye mechi 6 na ikaburuza mkia!! Hii ilikuwa mwaka 1998. Most goals conceded in group stage (single...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Eng. Hersi 2021: Yanga inajiendesha kwa Hasara

    Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM Eng. Hersi Said amewashukia baadhi ya wadau wa soka nchini Tanzania walioibua hoja inayogusa udhamini wa kampuni hiyo kwenye klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara. Hoja hiyo imeibuka kufuatia Kampuni ya GSM kuwa mdhamini ya Young Africans, Namungo FC na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Mo ingekuwa ni kwa wana Yanga asingekaa

    Hii kauli ya kanjibai kwa wanasimba ingekuwa kwa wana yanga kusinekucha kuachia ngazi. Sema wanasimba hawajali sana wapo wapo tu. Ifike wakati wanasimba tuamke bora timu iwe kama PRISON kuliko kusimangwaaaa
  10. aka2030

    JamiiForums Tanzania Itoshe kusema Simba na Yanga ni wadini hasa?

    Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema Huu ni ubaguzi Hata kama hizi club asili yake...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga iongeze bidii kujifunza kwa Simba Sc

    KUNA wakati huwa hatupendi ukweli. Tunapenda kudanganyana kwa sababu tu ya ushabiki. Ni kama hili la Simba na Yanga kimataifa. Nimeona tambo za Yanga katika michuano ya Kombe la Shirikisho. Wanatamba kuwa watafanya vizuri na kufika mbali. Wanatamba kuwa wao ni bora kuliko timu yoyote nchini...
  12. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

    Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Clement Mzize amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize. Ramadhan Kareem
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hawa Ndio Walio Nyuma ya Mafanikio ya Yanga na Simba

    Ukweli ni kwamba, kampuni za METL inayoongozwa na Mohamed Dewji na ile ya GSM inayoo na Ghalib Said Mohd ndio kampuni zinazoipa jeuri Yanga akia Utopolo na Simba, aka Madunduka FC; Makofi tafadhali kwa kampuni hizi mbili! Hata hivyo, kampuni hizi mbili zisingeweza kufanya wayafanyayo kama sio...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Niyonzima wa Yanga Vs Niyonzima wa Simba Yupi alikiwasha sana?

    Haruna Niyonzima “Fabrigas” moja ya mchezaji aliyekuwa ananivutia kwa aina ya uchezaji wake. Je akiwa Simba au Yanga Niyonzima yupi alikiwasha haswa? 1. Yanga 2. Simba Twende kazi______!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Timu bora hutoa wachezaji bora, Yanga yaongoza kwa kutoa wachezaji bora timu za Taifa

    Takribani wachezaji 12 wa yanga wameitwa timu za taifa ktk nchi zao, icho ni kielelezo cha kuwa na wachezaji bora na usajili bora, wachezaji 12 ni sawa na first eleven ya timu nzima na mchezaji mmoja wa akiba, list ifatayo ni wachezaji walioitwa timu za taifa; Tanzania; Bakari Nondo Mwamnyeto...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hoja kuwa Yanga hawawezi mechi za kimataifa imekufa kifo che mende, wamebaki na kauli ya Yanga kucheza kombe la loser!

    Kabla ya Yanga kutinga hatua ya makundi na sasa kutinga robo fainali, hoja kuu ya makolo ilikuwa ni Yanga hawawezi kimataifa isipokuwa wao tu. Sasa baada ya Yanga kutinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Shirikisho, hoja yao kubwa imekuwa hilo ni kombe la loser kanakwamba hiyo sio...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ni kujidanganya kwa mashabiki wa Yanga na Simba kuwaza kuchukua kombe la Club Bingwa badala ya kombe la Shirikisho

    Sisemi mengi: Kwa uwekezaji tunaofanya kwa vilabu vyetu vya Yanga na Simba kulinganisha na miamba ya soka Afrika kwa upande wa vilabu, ni kujidanganga kuwaza kuchukua kombe la club bingwa barani Afrika badala ya kuwaza kwanza kuchukua kombe la shirikisho. Hata kuvuka hatua ya robo fainali kwa...
  18. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Lini Simba itafikia ubora wa Yanga Ligi Kuu? Kocha aondoke/abaki?

    Nikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw. Nadhani ifike wakati kocha apewe malengo kwamba asipoweza kuchukua ubingwa wa ligi au walau kuifunga Yanga...
  19. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba kuingia Robo Fainali katika mashindano yao wanayoshiriki siyo mafanikio

    Mimi nikiwa ni mdau wa soka, Nashangazwa na sifa ,majigambo na majivuno wanayojipatia mashabiki , wapenzi , viongozi na waandishi wa habari za michezo kuwa HATUA YA ROBO FAINALI YA MASHINDANO YA AFRIKA yaliyofikiwa na vilabu hivi eti tunaita MAFANIKIO. Huo ni UONGO, UZEMBE NA UDWANZI, mafanikio...
  20. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Sijawahi kumtukana MO

    "Huko nyuma nilipojiunga na Champions, hawa wafanya interview za kujitafutia Rizki ya kula,waliandika hilo ndio anguko la Haji, haikuwa kwa Uwezo wa Allah. Nilipofungiwa waliandaa hadi Party Kwamba nimekwisha, Mungu yule yule akakataa. Brand iliyoojengwa kisawa sawa haifi kwa maneno ya...
Back
Top Bottom