yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga Haina ugomvi na Fei Toto, bali na Timu inayomtaka

    Yanga inafahamu kuwa kunguru Hana kibiongo, kama ukiona kibiongo basi ameinamatu anaokota kitu. Wazazi, Ndugu, jamaa, marafiki na wapenda mpira wote lazima wafahamu hili. Yanga ni timu kubwa sana kuweza kumuonea Faisal Salum. Yanga haitapendi kuua kipaji Cha mtoto Fei, LAKINi Yanga inafahamu...
  2. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Yanga kuifunga Simba siyo habari (news) ila kinyume chake ndiyo habari (news)

    Wananchi tumezoea ushindi, tunafunga Simba, Paka, Chui, Sungura na yeyote ajaye mbele yetu. Yanga kuifunga Simba haijawahi kuwa ni habari, na pengine vyombo vya habari visiandike au kutangaza, ndiyo kawaida, yaani mfumo wa maisha kimichezo kwa sasa. Ni kama binadamu kula samaki, ni jambo la...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ahmedy Ally: Yanga huwa wanatufunga kwa kubahatisha hawajawahi kuwa 'level' zetu

    " Sisi Simba tunaamini mara zote ambazo Yanga ameshinda dhidi yetu huwa wanabahatisha bahatisha tu. Hii ni kwasababu Yanga hajawahi kuwa na ubora kama wa Simba, Yanga hawajawahi kufika Level na Standard yetu Simba. Safari hii hatutakubali wapate ushindi wa dusko dusko ". "Tunao watu wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yanga: Fujo na vitisho ni nini?

    FUJO NA VITISHO NI NINI? Ni mara atoke Mayele aingie Starboy Mzize, mara atoke Farid aingie Morrison, mara atoke Nondo aingie Doumbia, mara atoke Mauya aingie Mudathir, mara atoke Kisinda aingie Musonda😀 YANGA NI NINI? Ni timu iliyojaa yenye Sub kila eneo mpaka Makocha! 🔰
  5. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Ndoto inayotisha dhidi ya ndoto inayosikitisha Simba, Yanga

    NI ndoto inayotisha. Pambano la Simba dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco ni ndoto inayotisha. Simba wametoka kufungwa jumla ya mabao 6-1 katika mechi mbili walizocheza na Raja, timu nyingine kutoka jiji hilo lenye wakazi milioni tatu na zaidi nchini Morocco. Lakini kuna ndoto nyingine...
  6. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Songwe: Mchezaji afariki dunia Kwenye Derby ya Mashabiki wa Simba vs Yanga

    Chama cha mpira wa miguu wilaya ya songwe (Sorefa) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira. Tukio hilo limetokea katika mchezo wa kirafiki kati ya mashabiki wa Yanga na Simba wakichuana katika kusheherekea...
  7. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa TFF: Mechi ya Yanga vs Simba isogezwe mbele kwa maslahi ya Taifa

    Tff fikiri, timu zetu zinaenda kimataifa, ambapo zikishinda Tanzania imeshinda na pia rank za vilabu kimataifa zinapanda. Hivyo ili kuepusha majeruhi na uchovu tunaomba TFF mlifikirie hili, Yaani mmekaa mnanenepeana hamwangalii ratiba inavyovibana vilabu vyenu ila vikishinda mnakuwa wa kwanza...
  8. Thailand

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi makubwa ya nchi mechi ya Simba na yanga ipelekwe mbele kupisha mashindano ya kimataifa

    Simba na Yanga zinacheza tarehe 16/04/2023. Mechi ya Simba na Yanga au Derby ya kariakoo ni mechi inayoitaji akili, nguvu na utimamu wa mwili kuikabili mechi hii kwa timu zote mbili. Wapizani wa Simba na Yanga pia wapo kwenye tension kubwa namna gani kuzicheza mechi zao na hizi timu ambazo kila...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kichekesho: Yanga ndio timu kubwa Afrika Mashariki

    Champion League ndio kilele cha mafanikio ya mpira. Asante mzee wa jambia kwa kuweka kumbukumbu klia. Tuendelee na pasaka
  10. S

    JamiiForums Tanzania Edo: Yanga ni tegemeo pekee kwa Watanzania

    "Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko kwenye mpira wa kizamani,” Edo. Dauda “Kufika Robo Fainal ni Progress sio achievement.”
  11. S

    JamiiForums Tanzania Baleke kwa Nabi ni benchi

    Baleke yupo kwenye kiwango bora sana, lakini kwa mifumo ya Nabi pale Yanga hachezi! Chama mwenyewe chini ya Nabi ananzia benchi. Ni inonga tu, anaweza kuingia kwenye kikosi cha Nabi moja kwa moja, kwa nature ya uchezaji wake.
  12. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Yanga wanapambana kumtumia Feitoto kulipa hasara walivyotumia kumnunua Aziz Ki

    Inasemekana Yanga wanataka kumuuza feitoto thamani ya pesa walizotumia kumnunua Aziz ki. Yani dola 200,000+ ambayo Ni karibu m 500. Sasa Cha kujiuliza Sasa 1. Je Kama thamani ya feitoto na Aziz ki Ni moja kwanini Aziz ki alipwe m10+ uku fei akipewa robo ya mshahara wake Je watafanikiwaa
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Nilisema humu kabla feitoto hakuitwa stars ili acheze Bali kukutanishwa na Yanga. Fact 10 hizi hapa

    Kwa uzito. 1. Tayari kocha mkuu wa stars na Msaidizi Moroko wamekiri kumshauri arudi Yanga ili acheze stars. 2. Alipofika tu airport akapigwa picha akiwa na wachezaji wa Yanga. 3. Tff iliwaacha Kapombe na mohamedi huseni. Ili feitoto aone kuwa mchezaji mkubwa Basi ucheze Yanga. 4. Kwa uhalisia...
  14. technically

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba wawakimbia Yanga tarehe 16

    Kuna tetesi mjini kwamba simba wametuma barua TFF ili game yao na Yanga isogezwe mbele zaidi. Haijajulikana sababu za kutaka game isogezwe mbele ni nini ila wajuvi wa mambo mjini wanasema ni kukwepa vichapo mfululizo . My take Yanga msikubali kusogeza mechi mbele nyie ndio mna game Nigeria...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga SC kimya kimya Kumuomba Waziri Mwana FA akawaombee CAF nao Washiriki CAF Super Cup haya ndiyo majibu waliyopewa

    "Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga yajaribu kutumia njia za uani kuingia CAF Super League

    Wakati timu zitakazoshiriki duru la kwanza la mashindano mapya ya CAF linajulikana, na zimechaguliwa kutokana na ubora wake wa miaka ya hivi karibuni, katika hali ya kushangaza, timu ya Yanga kupitia kwa serikali imewapigia magoti CAF kuomba ipewe nafasi pia ya kushiriki mashindano hayo...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yanga wanayo nafasi nzuri ya kutinga nusu fainali. Wasishangilie kabla wajipange

    Baada ya draw ya Kombe la Shirikisho Afrika na Yanga kupangwa na Rivers United ya Nigeria, mashabiki wa Yanga wameonekana wenye matumaini makubwa ya kufuzu Nusu Fainali kwa kuona Rivers pengine ni timu ya kawaida na wanauwezo wa kuitoa. Yanga ilivyopangwa na Rivers United, viongozi na baadhi ya...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

    Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku. Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi • ES Tunis 🇹🇳 • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • Wydad Club Athletic 🇲🇦 Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya • A = USM Alger...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Futari na Futuru na Balozi Ramadhani Dau na Wenzake wa Yanga Kids 1970s

    FUTARI NA FUTURU NA BALOZI DR. RAMADHANI DAU NA YANGA KIDS WATOTO WADOGO WALIONG’ARISHA SOKA LA TANZANIA MIAKA YA 1970 Kuna mshairi alikuwa anatunga shairi na mwanzo wa ubeti akajiuliza, ‘’Wapi ninaanza kueleza historia hii?’’ Akaendelea kuandika, ‘’Wapi ninaanza kueleza historia hii, historia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kisasi ni haki, Yanga dhidi ya Rivers moto utawaka

    Nakumbuka yanga waliondoshwa kwenye mashindano ya klabu bingwa na Rivers baada ya kuchapwa goli moja bila kwa mkapa na kisha kufungwa tena moja bila kule Nigeria, Yanga walipoteza mechi zote mbili ktk mazingira tofauti. Rivers walikutana na yanga iliyokuwa bado inajitafuta, ilikuwa ndio...
Back
Top Bottom