yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Privaldinho na Ally Kamwe wameshindwa kuitangaza Yanga Day

    Nimechukizwa sana. Yaani mtaani hakuna amsha amsha hakuna lolote kwenye mitandano ni Simba na Kibegi. Huu ni ujinga sana. Sisi Yanga tumejikuta tunacheza ngoma ya Simba. Mwananchi Day haijulikani itakuwa lini. Kote wanajadili jersey za Simba tu. Huu ni ukanjanja wa waandishi wa habari...
  2. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania ONYO: Simba mpumzishe Yanga akiwa kwenye siku yake

    Leo ni Mwananchi Day kila mtu anatambua hilo "Happy Mwananchi Day, Young Africans🎊 Pamoja na kutambulika kama ni Mwananchi Day, ila "haioneshi" kama ni siku yake mwananchi. Kuna sababu nyingi zinazofanya hili tamasha kudoda siku ya leo, ikiwemo mikakati na mipango yao katika ngazi za uongozi...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mapokeo ya jezi mpya ya Simba tayari ni makubwa sana kuzidi yale ya jezi ya Yanga

    Mpaka sasa ndani ya masaa 3 tu toka picha ya kwanza kupostiwa Instagram ya jezi za Simba, imepata likes 111,077 na comments 10,401. Video ya jezi ya Yanga wakiwa Ikulu ya Malawi iliyopostiwa toka July 5, zaidi ya wiki mbili zilizopita mpaka dakika hii imepata likes 60,085 na comments 1,918 tu...
  4. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Tumalize utata: Simba Vs Yanga nani ana uzi mkali?

    Piga kura yako kwa kuandika jina la timu yenye jezi kali kati ya Simba Vs Yanga.
  5. Area 56

    JamiiForums Tanzania Skudu: Sikuchagua jezi namba 6

    “Rais wa Yanga [Eng. Hersi] alinipigia akaniuliza kama nimewahi kuvaa jezi namba 6, nikamwambia hapana kwa sababu nimekuwa nikipendelea kuvaa jezi namba 11. Alinambia angependa kunipa jezi namba 6 na mimi nikakubali kwa kuwa ni heshima kwangu na nisingeweza kukataa.” – Skudu Makudubela...
  6. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi Simba mnaona kinachoendelea Yanga? Sasa mumuogope sana Aziz Ki, zile combination zake za ASEC zipo Avic town

    Hivi Simba mnajuwa kinachoendelea Yanga? Picha inaweza kuongea zaidi, kipande cha cream ya Asec mimosa Kipo Yanga. Wanaojuwa mpira kuna kitu mtakigunduwa hapa maana halisi ya kusajili na kukurupuka. Set ya Wacongo ililipa, je set ya Asec Mimosa tutalajie nini? Tukutane kesho kwa Mkapa Lupaso...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Mazungumzo ayafanyayo sasa Msemaji wa Yanga SC Clouds FM kumbe 'Skudu' kasajiliwa kwa Burudani na siyo kusaidia timu

    "Tumewaletea wana Yanga SC Mchezaji ambaye hatakama hatofunga Goli ila atahakikisha Mashabiki Wote Uwanjani wanaburudika kwa Maufundi yake ya Kuchezea Mpira" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe aliye Studioni sasa Spoti Extra ya Clouds FM. Haji Manara (Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC) hakukosea...
  8. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Ndege ndogo yapitiliza na kuingia ziwa Victoria

    Kwa mujibu wa vyanzo vya mtaani kuna uwepo wa ndege ndogo imepitiliza na kuingia ziwa Victoria --- Ndege yenye namba za usajili 9127 mali ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) imepata ajali na kuanguka maeneo ya uwanja wa ndege manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera. Akizungumzia juu ya kutokea kwa...
  9. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Yanga imetikiswa na inasimama mwishoni

    Habari wakuu. Nimeona nizungumzie kidogo usajili wa Yanga unaoendelea. Nimekuwa nikifuatilia mpira kwa kiasi chake. Nimekuwa nikimsikia Jose Mourinho anaposisitiza usajili Bora ndani ya Klub ni kuhakikisha kubaki na wachezaji wako Bora zaidi kikosini. Mfano miaka ya Karibuni Simba...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mashabiki, wanachama wa Yanga wajitokeza kuchangia damu katika Hospitali ya Mloganzila

    Rais wa Klabu ya Soka ya Yanga Mhandisi Hersi Said amesema klabu hiyo katika kuelekea wiki ya wiki ya mwananchi imeamua kuwahamasisha mashabiki na wanachama wake kujitokeza kuchangia damu katika vituo vilivyoanishwa nchi nzima ikiwa ni sehemu ya mchango wa klabu hiyo kwa jamii. Mhandisi Hersi...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunapohoji kwanini Wachezaji wa Simba SC wanasafiri Kimafungu na Kocha hayuko, tuhoji na huku Yanga SC Kunakofukuta pia

    Kambi imeshaanza Avic Town Kigamboni ila Kipa Diara, Kiungo Mshambuliaji Aziz K, Kiungo tegemezi Aucho, Kiungo Fundi aliyewahi kuwa MVP Bangala na Beki mahiri wa Kulia Djuma Shabaan hadi sasa Wote hawa hawako Kambini, hakuna Taarifa yoyote na wana Yanga SC kila Wakihoji wanachoishia Kujibiwa ni...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tarehe kama ya leo Mwaka 1977, Simba iliifunga Yanga magoli 6-0

    Tarehe kama ya leo Julai 19, 1977 miaka 46 iliyopita Timu ya Simba ilitoa kipigo kikubwa cha kihistoria kwa wapinzani wao wa jadi, Yanga, mshambuliaji Abdallah ‘King’ Kibaden alifunga magoli matatu ‘hat trick’ na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee kuwahi kufunga hat-trick katika mchezo baina...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Unpopular Opinion: Kibegi cha jezi za Simba kimefunika kelele zote za Yanga kuanzia Wiki ya Mwananchi hadi Usajili wao

    Simba Sports mwaka huu wamekuja tofauti. Jezi zao zinazinduliwa kileleni kwenye Mlima Kilimanjaro ijumaa wiki hii. Sasa jezi hizo zimewekwa kwenye kibegi na amepewa Ahmed Ally kusafiri nacho kwa ndege kutoka Dar kwenda Kilimanjaro. Kila anapopita vibe ni kubwa na watu wanaomba wapige nae picha...
  14. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Yanga jiandaeni kulalamikia TFF na Karia

    Kwa Usajili mnao ufanya ni wazi Sasa ile tabia yenu ya Kulalamika inaendelea. Mwakalebela na malalamiko yake ya kutaka kujitoa Ligi ya bongo ajiandae. Misimu yote iliyopita hatujasikia malalamiko toka kwa Simba. Mambo ya kusema TFF inapendelea, mara ratiba inaibeba Yanga hayo hayakuwepo. Sasa...
  15. Scars

    JamiiForums Tanzania Yanga yamtambulisha winga wake wa kushoto Skudu kutoka Marumo Gallants

    Hatimaye Club ya Yanga imefanikisha kunasa saini ya mchezaji kinda kutoka Afrika Kusini anayeitwa Mahlatsi Makudubela (33) almaarufu kama Skudu. Mchezaji huyo kinda (33) alikuwa anakipiga kwenye timu ya Marumo Gallants ya Afrika kusini iliyofika nusu fainali kombe la shirikisho Africa. Kwa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mayele akiuzwa Yanga SC itaambulia 30% tu ya Pesa na 70% atachukua anayemmiliki huko Congo DR

    Mtangazaji wa Michezo wa Redio Kubwa na inayokubalika nchini Congo DR ya ( iitwayo ) Top Congo FM Mwanadada Sylivia Meya kasema Mayele akiuzwa Kokote kule Yanga SC waliopewa kwa Mkopo wataambulia 30% tu na Tajiri anayemmiliki Mayele na Wachezaji wengine 24 wa Congo DR atachukua 70% yake. Chanzo...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Namba Sita wa Yanga SC atakayetambulishwa Leo anatokea katika Moja ya hizi nchi Nne tajwa

    1. Congo DR 2. Afrika Kusini. 3. Ivory Coast 4. Burundi Ila Wenye 99% ya Kusajiliwa ni wa kutoka Congo DR au Afrika Kusini na Ivory Coast na sababu Kuu ya huyu wa Burundi kutohitajika sana ni kwamba si mzuri kivile kama tulivyokuwa tunadanganywa na Chawa wa Yanga SC Redioni, Runingani...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC mkithubutu tu Kumuacha huyu Mchezaji wenu 'Mchochea Migomo' Klabuni, Simba SC wanamsaini haraka sana

    Na ndiyo Mchezaji ambaye Kisiri kabisa anawindwa na Simba SC Kusajiliwa baada ya Taarifa za ndani ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa kutokana na kuwa ni Kinara wa Kuongoza Migomo (na Nduguye anayeondoka) kwa Wachezaji Wenzake Posho na Mishahara ikichelewa na kwamba Yanga SC hawamtaki tena...
  19. HPAUL

    JamiiForums Tanzania Yanga imebomoka

    Benchi la ufundi lote out. Mayele huyo Pyramid, Djuma TP Mazembe, Bangala - Singida, Feisal - Azam, Kisinda karudi Berkane, Morrison - Thank you. Na bado Kuna tetesi za Diarra kumfuata Nabi -;Rabat FA Eng. Hersi ana kazi ya kuijenga upya Yanga. Je Yanga itapata mafanikio au kuzidi ya 2022/2023
  20. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Golikipa mahiri Diara mbioni kuikacha Yanga SC

    Diara, golikipa mahiri raia wa Mali, mbioni kuikacha Yanga SC, inaelezwa kuwa, golikipa huyo amepata donge nono la mishahara kwenye moja ya vilabu vikubwa barani Africa.
Back
Top Bottom