Yanga SC mkithubutu tu Kumuacha huyu Mchezaji wenu 'Mchochea Migomo' Klabuni, Simba SC wanamsaini haraka sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,133
Na ndiyo Mchezaji ambaye Kisiri kabisa anawindwa na Simba SC Kusajiliwa baada ya Taarifa za ndani ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa kutokana na kuwa ni Kinara wa Kuongoza Migomo (na Nduguye anayeondoka) kwa Wachezaji Wenzake Posho na Mishahara ikichelewa na kwamba Yanga SC hawamtaki tena na hata Kocha Mkuu Gamondi kasema hamhitaji.

Labda Yanga SC waghairi Kumtema (Kumuacha) kama ambavyo wanataka na Waendelee nae ila wakimuacha tu nawahakikishia kwa jinsi Simba SC wanavyomuhitaji hazitachukua hata dakika 15 au 30 atasajiliwa Msimbazi (Simba SC)

Kwa sasa GENTAMIYCINE simtaji kwakuwa hata Mimi nampenda na namkubali mno kwa jinsi anavyokichafua Injini ya Chini na Yanga SC ikimuacha na akaja Simba SC atakutana na Nduguye Injini Mpya ya Juu hivyo kumuona Baleke, Phiri na Onana ambavyo kila Siku watakuwa wanafunga tu 'Hat Tricks' za Viwanjani.

Ninawaonya Yanga SC msimuache!!
 
Jana ulimtukana Chama mpuuzi aondoke tu hana kitu hana lolote na ukiwa na uhakika ashatemwa kumbe habari zako za uongo.
 
Na ndiyo Mchezaji ambaye Kisiri kabisa anawindwa na Simba SC Kusajiliwa baada ya Taarifa za ndani ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa kutokana na kuwa ni Kinara wa Kuongoza Migomo (na Nduguye anayeondoka) kwa Wachezaji Wenzake Posho na Mishahara ikichelewa na kwamba Yanga SC hawamtaki tena na hata Kocha Mkuu Gamondi kasema hamhitaji.

Labda Yanga SC waghairi Kumtema (Kumuacha) kama ambavyo wanataka na Waendelee nae ila wakimuacha tu nawahakikishia kwa jinsi Simba SC wanavyomuhitaji hazitachukua hata dakika 15 au 30 atasajiliwa Msimbazi (Simba SC)

Kwa sasa GENTAMIYCINE simtaji kwakuwa hata Mimi nampenda na namkubali mno kwa jinsi anavyokichafua Injini ya Chini na Yanga SC ikimuacha na akaja Simba SC atakutana na Nduguye Injini Mpya ya Juu hivyo kumuona Baleke, Phiri na Onana ambavyo kila Siku watakuwa wanafunga tu 'Hat Tricks' za Viwanjani.

Ninawaonya Yanga SC msimuache!!
Braza popoma upo sahih
 
Back
Top Bottom