yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga huwa wanafanya kazi gani wenzetu?

    Kila mechi wapo, si ya nyumbani wala ugenini. Kwasasa hata mechi za kimataifa nje na Tanzania wapo. Huwa wanafanya kazi zao muda gani? Na huwa wanafanya kazi gani? Au ndio wana vibanda vya urithi Makumbusho?
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tupia utabiri wako kuelekea weekend ya Kimataifa kwa Simba & Yanga zilizopo ugenini

    Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika. Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan. Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
  3. gango2

    JamiiForums Tanzania Hongera Yanga: Msafara wa Rwanda, Simba mna la kujifunza

    Igweee! Naomba niende directly kwenye Point: Mpira wetu hasa kwa ngazi za Vilabu umekuwa sana, na hii kwa kiasi kikubwa pia inachangiwa na hamasa kutoka kwa wadau mbalimbali wakiwemo wasemaji wa vilabu vyetu. Lazima tukubali hili, uwekezaji unaweza ukawa mkubwa lakini kama hakuna hamasa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania hii propaganda ( PR)🙌 CAF anaipa Yanga, kama rushwa.

  5. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Al-Merrikh vs Yanga kupigwa Ijumaa 15/09/2023

    Kuna mashabiki watakuwa bado wapo njiani kwenda https://www.sofascore.com/young-africans-sport-club-al-merrikh/vLCsvLdb#11589251
  6. Tango73

    JamiiForums Tanzania Kigali ni uwanja wa nyumbani kwa Yanga kama ulivyo uwanja wa Majimaji

    Kama timu ya yanga isipoifunga El Mereikh pale Kigali basi wanayanga tusitegemee makubwa hapa nyumbani. Yanga na Simba zina mashabiki na wapenzi wengi wa soka pale Kigali kwa sababu ya uhusiano mzuri uliooneshwa kuwasajili Nionzima na Kagere. Halafu mbali na usajili huo kiswahili...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wachezaji maarufu waliocheza timu zote mbili za Simba na Yanga

    Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga. Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi akiwa Yanga. Pia yupo Kelvin Yondan alicheza Simba na baadae Yanga na alijipatia umaarufu zaidi...
  8. Franky Samuel

    JamiiForums Tanzania Utofauti kwenye ushabiki kati ya Yanga na Simba ni mkubwa sana

    Safari ya kwenda Rwanda kushangilia timu yao yanga wameshajaza mabus 6 , huku upande wa pili wamejaza mabus mawili , nataka nishuhudie huu mpambano mpk mwisho
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa pisi hizi kali, naenda Rwanda kuishabikia Yanga

    Nimejikuta tu nashawishika kwenda Rwanda kuishabikia Yanga itakapocheza na Al Merreikh katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kinachonivutia si mpira wa akina Maxi Nzengeli, hapana. Ni kwenda kuziona 'live' hizi pisi kali za PAUL KAGAME. Wangapi wanataka kuungana nami? Tujuane mapemaaa!
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Upesi sana Yanga SC hasa idara yake ya mawasiliano chini ya Msemaji Kamwe ituombe Radhi wadau kwa kutudanganya kusikovumilika

    Tokea Alhamisi iliyopita (ila najua baada ya Kuumbuka kwa leo wamefanya Editing) Kurasa halisi (Official Page) ya Yanga SC na zile za Mashabiki wake Wapuuzi Wapuuzi walitutangazia kuwa Mchezaji wa Yanga SC Beki Gift Fred ameitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) Taarifa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania FUFA yawakana Yanga SC na Uwongo wao kuwa Beki Gift Fred kaitwa Timu ya Taifa ya The Cranes

    "Mchezaji Gift Fred hajaitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) na Wachezaji Wote walioitwa tumewataja na wanajulikana" amesema Afisa wa Shirikisho la Soka nchini Uganda (FUFA) Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM Usiku huu. Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza kuona Mapungufu...
  12. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Mwana FA aiombea Yanga nafasi kucheza Super League, Yanga yalalamika kutoalikwa mkutano wa CAF Arusha

  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga shukuruni maana ratiba ya African Football League msingeiweza

    Yanga wamekuwa na tabia ya kuomba mechi zao ziahirishwe pale wanapokuwa na mfululizo wa mechi . Ni juzi juzi tu hapa tulikuwa tunajadili ni kwa nini mechi ya Yanga vs KMC iliahirishwa ilhali Yanga walikuwa wacheze na katimu kadogo ka ASAS Djibouti kwa mechi zote zilitakiwa kuchezwa Dar es Salaam...
  14. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Yanga tayari mechi na El Merreck comfirmed itachezwa, Kigali Rwanda, uongozi utowe utaratibu wa safari sasa, Simba pia mnahusika

    Ni aibu kwa Watanzania mechi kama Simba na Power Dyanamos na Yanga na El Merreck zote zinapigwa kwenye nchi Jirani border to border kama viongozi wanashindwa kuwaandaa mashabiki wa timu hizi kuhudhuria kwa wengi mechi hizo kwa kuwawekea utaratibu rafiki badala ya kuwageuza fursa ili kuwapiga...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuifunga Yanga ya Gamondi

    Nimeshuhudia ASAS Djibouti, KMC na hata JKT wote wakicheza mpira unaofanana walipocheza na Yanga ambao umesababisha wakaadhibiwa vibaya. Leo nitatoa maoni yangu kwa timu zingine zitakazokuja kucheza na Yanga siku, wiki na miezi inayokuja nini wanatakiwa wafanye ili wapate matokeo. Kwanza...
  16. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Mechi ya pili tangu kuanza kwa ligi, lakini Mashabiki wa Yanga wanadhani zimebaki mechi mbili kumaliza

    Kwa kiwango na mfumo wanaoenda nao Yanga tangu mechi za Majaribio msimu huu, hadi mechi za ushindani, ni ukweli ulio dhahiri kwamba Yanga ipo kwenye form nzuri sana. Hali ikiendelea hivi kwa mechi tatu zijazo, basi walio chini itabidi wakaze buti tu na wamfuate hukohuko juu, kumsubiri chini...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Yanga wamlinde Yao na Max wasihujumiwe kama Feisal

    Kutokana na ubora wa Max, Yao, Aziz Kii na Pacome ni dhahiri kunawakera sana SIMBA NA AZAM. Rai yangu ni Yanga ifanye kila iwezavyo kuwalinda hawa wachezaji ili kuepusha KUHUJUMIWA kama walivyofanya kwa Feisal Salum na Bernard Morrison miaka ile. Ingawa walichokitegemea katika mpango wa Feisal...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kwa hili pira Gamondi, hakuna shaka kwa Yanga kubeba ndoo ya CAF CL msimu huu

    Kwa pira hili la yanga ya Gamondi ya msimu huu, niwasihi CAF wawape tu yanga kombe lao la bingwa wa CAFCl mapeeeema. Siioni timu yoyote Africa ya kuweza kuuzuia huu upepo wa kisuli suli nje au ndani. Na kwa anayenunua magoli, mwambieni mwaka huu ajipange. Maana kuna uwezekano hazina yeke ya...
  19. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Unazionaje Simba na Yanga huu msimu huu wa 2023/ 2024?

    Mienendo ya Simba na Yanga, kwa Upande wako unadhani nanii anatabiriwa makubwa kwa huu msimu 2023/2024?
  20. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa kabisa jinsi Arajiga alivyotoa faulo iliyozaa goli la kwanza Yanga leo

    Nachotaka kusema. Ata bila ya mapungufu ya Arajiga Yanga walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda leo. Lkn Kama mtu wa mpira nilijua mechi itakuwa nzuri nilitaka kuona jinsi Yanga wanavyofungua password leo. Lakini Arajiga akaaamua kuzifungua. Alifungiwa mechi ya Yanga vs Azam Leo Tena anafanya...
Back
Top Bottom