yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania USM ALGER almanisura ishuke Daraja kama Malumo Giant. Kweli yanga ilicheza na timu mbovu ndio maana ilifungwa na Simba 2 -0

    Kombe la shirikisho limetawaliwa na Timu mbovu. Almanusura BINGWA wa Looser Ashuke Daraja kwenye League KUU hoko Algeria.
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nitawashangaa sana Yanga kama watamlipa Mayele milioni 50

    Mayele alipwe milioni 50 kwa sababu gani? Kwa ajili ya kugombania shilingi ngapi? kwa kitu gani anacho kwenda kuifanyia Yanga? Huyu huyu Mayele aliye shindwa kuipeleka Yanga kwenye makundi Club bingwa Afrika? Yanga acheni utoto, chukueni hiyo bilioni moja na nusu ya hao mafala waachieni mtu wao...
  3. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Ile amapiano inayopigwa kwenye hili Tangazo la jezi za Yanga inaitwaje!?

  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba faida ya Kauli za Majigambo za Wasemaji wa Simba na Yanga katika Maendeleo ya Soka Tanzania

    Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC) Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata kutamani Bora Wafe tu.kuliko Kumshuhudia huyo Mchezaji akicheza Yanga SC. Ahmed Ally (Msemaji Simba...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni wajinga tu wanaomuhusisha Chama na Yanga, tabia yake kipindi cha usajili inajulikana

    Hizi porojo tulishazizoea, mchezaji ana mkataba na timu yake wa mwaka mmoja alafu wajinga wajinga wanatembea na upepo kuihusisha yanga na mchezaji husika. Ni lini vilabu hivi vikauziana wachezaji wenye mikataba? Uyo chama keshazoea kufanya icho anachokifanya uwa anapenda kucheza na fursa pindi...
  6. Unasemeje

    JamiiForums Tanzania Fiston Mayele, Aziz Ki, Clatous Chama: Samahani Yanga Chukueni Makombe Yote

    Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥 Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
  7. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Mkude anaenda kumuweka nani benchi katika kikosi cha yanga?

    Mkude ni kiungo namba 6. Amesajiliwa yanga baada ya kumaliza mkataba wake na Simba. Yanga ni timu yenye utajiri wa viungo. Hivyo kuna ushindani mkubwa wa namba. Mkude anaenda kuchukua namba ya nani kikosini yanga?
  8. Scars

    JamiiForums Tanzania Yanga yamtambulisha Mkude namba 6 aliyekuwa gumzo mtandaoni

    Hatimae ukweli umejulikana baada ya wapinzani kujaribu kuiba mchezaji airport now imefahamika rasmi kuwa wapinzani walimuiba mchezaji asiye sahihi.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC yakubali Kumuuza Mayele

    Wenye Akili na tunaojua mengi na Kufukunyua yaliyojificha akina GENTAMIYCINE tuliposema habaki na anaondoka si mlitutukana hapa JamiiForums? Haya litukaneni sasa na Gazeti la Nipashe ambalo Mhariri wake Mkuu na yule wa Michezo wote ni wana Yanga SC lia lia. Safari Njema huko uendako Mayele.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji nakupasulia huu Ukweli ambao GSM wa Yanga SC nae naomba auchukue juu ya Uwekezaji Simba na Yanga

    GENTAMIYCINE nilidhani ukiwa Tajiri basi hata na Uwezo wako wa Kufikiri nao unakuwa ni wa Kitajiri ( nikimaanisha ni mkubwa ) kumbe hali ni tofauti kabisa. Matajiri Mohammed Ghullum Dewji wa Simba SC na Gharib Said Mohammed wa Yanga SC kwa Historia Kubwa ya Simba na Yanga hasa katika Siasa za...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Ofa zifuatazo kwa Mayele mnapoteza muda Kumlamba Miguu yake ili abakie Yanga SC

    Klabu ya Misri iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 2 na Kumpa Mshahara wa Tsh Milioni 85 za Kitanzania kwa Mwezi. Klabu nyingine huko Saudi Arabia iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 1.5 na Mshahara wa Tsh Milioni 70 kwa Mwezi. Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo ataziacha hizi Ofa ili abakie...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tusifiche 99% ya wana Yanga SC walijua atakayetambulishwa Saa 12 hii ni Mayele kumbe ni Mchovu Gift Fred

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hivi unajua kuwa umewakwaza mno 99% ya wana Yanga SC ambao hadi sasa wako roho juu kujua kama Mayele anabakia au anaondoka? Hapo kwa Gift Fred hakuna Mchezaji.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tuliosema Kitambo kuwa Yanga SC ilifungiwa na FIFA Kusajili na Tukatukanwa hapa tunaomba tuombwe Radhi upesi

    "Sasa ni rasmi Yanga SC yetu tumeruhusiwa Kusajili baada ya Kuzuiwa kwa muda kufanya hivyo kutokana na Kushtakiwa na aliyekuwa Kocha Wetu Luc Eymael kwa Deni lake alilokuwa akitudai kwa muda mrefu" amesema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC. Chanzo: Sports Headquarters ya EFM muda si mrefu.ll...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Yanga yakubali yaishe, kumlipa Mayele Milioni 40 ili abaki. Tutegemee hujuma kutoka kwa wachezaji wenzake

    Siwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge. Kocha Nabi alikuwa analipwa milioni 35, mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali Afrika Mashariki nzima. Ila kwa starehe za Dar es Salaam msimu ujao akifilisha goli 12 mniite fala. More money poor performance.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC bwana yaani Beki huyu Mbovu Gift Fred wa Uganda ni wa Kumsajili kwa Tsh Milioni 115 Kweli?

    Yaani ni Free Agent baada ya Mkataba wake Kuisha huko SC Villa na aliyekuwa Kocha Wenu Micho Kawadanganyeni mumchukue mmeingia Mkenge kweli na Kumsajili. Uganda ni my Second Home na nina Rafiki zangu wengi sana huko na kila ninayemuulizia kuhusu Uwezo wa huyu Mchezaji jibu la haraka ninalopewa...
  16. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Ukata na Uswahili: CEO Andre Mtine aondoka Yanga

    Baada ya kumtambulisha kwa mbwembe, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga Andre Mtine abwaga manyanga. Sababu za kuondoka kwake ni uswahili uliopitiliza wa Rais wa klabu hiyo Hersi. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, Rais anaingilia mipaka mpaka majukumu yanayopaswa kufanywa na Mkurugenzi. Mtine ni...
  17. gentleman J

    JamiiForums Tanzania Yanga msimu huu mmewaweza wanafiki

    Wachambuzi wa uchwara wa hapa JamiiForums na wengine wa mitandao wanaweweseka kila kukicha hawapati taarifa kutoka kwa Yanga. Wanajaribu kutunga habari za kizushi ili waende mjini lakini hawafanikiwi. Yanga ndio club kubwa Tanzania, wewe jiulize Azam na Simba wametambulisha wachezaji wao lakini...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC hatutaki Kudanganywa na Pesa za Bonasi za SportPesa tunataka 'Vyuma' Kusajiliwa kama vya Simba SC

    GENTAMIYCINE nikiwa kama Mshabiki na Mwanachama wa Yanga SC natoa ONYO KALI kwa Uongozi wa Yanga SC kuacha Kutuzuga kupokea Fedha za Bonus ili Mashabiki tusiongelee Usajili na Ukata mkubwa ulioko sasa Klabuni ambao Unafichwa ili tusichekwe na Simba SC wenye Hela na wanaosajili Vyuma hasa kweli...
  19. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Yanga yalamba bonus ya Tsh. Milioni 480 kutoka SportPesa

    Yanga yalamba bonasi ya milioni 405, kutoka Sportpesa, kwa kumaliza Mabingwa wa Ngao ya jamii, Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho bara na kufikia hatua ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho la Shirikisho la soka barani Afrika CAF.
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga msishangae sana, hizi hasira mmetupa nyie wenyewe

    Tunajua upande wa pili bado wamepigwa na butwaa wa hizi sajili zinazoendelea pale Msimbazi. Msimu huu ulioisha kuna mambo yaliyotokea katika ligi na hasa mashindano ya kimataifa ambayo kwa kweli yalituumiza sana wanaSimba. Sitaongelea sana ligi ya NBC maana huku tulikuwa tunawamudu ni basi tu...
Back
Top Bottom