yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga msishangae sana, hizi hasira mmetupa nyie wenyewe

    Tunajua upande wa pili bado wamepigwa na butwaa wa hizi sajili zinazoendelea pale Msimbazi. Msimu huu ulioisha kuna mambo yaliyotokea katika ligi na hasa mashindano ya kimataifa ambayo kwa kweli yalituumiza sana wanaSimba. Sitaongelea sana ligi ya NBC maana huku tulikuwa tunawamudu ni basi tu...
  2. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Rais Samia kwa Yanga na athari ya haki kwa waamuzi

    Mwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa...
  3. HPAUL

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga yapata Centre back mpya

    Yanga jana imeingia makubaliano ya miaka mitatu, na mchezaji huru ambaye amemaliza mkataba wake na Sports Club Villa ya Uganda Gift Fred. Fred ambaye pia huchezea timu ya taifa ya Uganda huenda akachukua nafasi ya beki la CHAN Douambia. Exclusive: Gift Fred joins Tanzania's Yanga
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pigo la Pili kwa Yanga SC Mchezaji Namba 6 waliyekuwa wakimtegemea awatosa na amesaini Club Ismailia ya Misri

    Haya Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, Wachambuzi na Watangazaji wa Redio wenye Uyanga tafadhali Tangazeni upesi hii Taarifa. Na huyu Mchezaji wa Club ya Asec ndiyo alikuwa Mchezaji anayetegemewa na Yanga SC na ndiyo Yule Namba 6 aliyokuwa akiimbwa na akinadiwa Kimajigambo na Msemaji wa hovyo...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kunani Yanga yetu mbona mpo kimya sana suala la usajili?

    Misimu miwili nyuma yanga walikuwa moto sana kwenye usajili msimu huu mbona kimya sana kunani?
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga fanyeni hesabu za kiuchumi kwa Mayele

    Hakuna shaka kuwa Mayele ana malengo yake na Yanga wana malengo Yao. Pale kwenye makutano kati ya Faida kwa mayelle kucheza Yanga na Faida ya Yanga kuwa na Mayelle ndizo hesabu za kweli. Je, vyanzo vya mapato vya Yanga (viingilio vya mlangoni, matangazo, udhamini, mauzo ya gesi na zawadi za...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Jezi za Yanga za kwenye matangazo ni tofauti na zilizopo madukani

    Nazungumzia ile jezi ya 3 ambayo kwenye tangazo imevaliwa na mdada inaonekana kama blue au dark blue lakini ukienda dukani ni nyeusi. Nimehisi zimetoka rangi mbili tofauti pengine.
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Yanga wazindua jezi yao nchini Malawi

    Rais wa Malawi Lazarus Chakwera na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania wamezindua jezi mpya za Club ya Yanga usiku huu kwenye Ikulu ya Malawi ambako Yanga na Rais Samia walialikwa kusherehekea uhuru wa Nchi hiyo. Kwenye video fupi ya tukio hilo Rais wa Club ya Yanga Engineer Hersi Saidi...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kwani ukisema tu kuwa hao Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC wamekuja kwa 'Trials' utapungukiwa nini?

    Yaani kila Siku tu Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe unazidi tu Kujichoresha na Kujidhalilisha kwa Kauli zako. Wenye Akili zaidi yako tunajua kuwa kuna Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini Uganda wamekuja kufanya Majaribio (Trials) na Yanga SC na cha Kushangaza Wewe umehojiwa na...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kutuweka Roho Juu wana Yanga SC kuwa anasajiliwa Mtu wa maana kumbe ni Mchovu Kibabage ni Kututukana wana Yanga SC

    Na GENTAMIYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC hapa JamiiForums na hata nje ya JamiiForums nasema hii tabia iwe mwanzo na mwisho sawa? Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tunamtaka haraka Fabrice Ngoma wa Al Hilal FC na asipotua Yanga SC Kwetu tunakuomba Uondoke Yanga SC au Mimi GENTAMIYCINE kwa...
  11. gentleman J

    JamiiForums Tanzania Usajili wa ngoma kwa Yanga ni wakuchezeshwa.....

    Habari zenu. Fabrice ngoma ni mchezaji nzuri.. Juzi kati simba wameajiri scout wa kutafuta wachezaji je scout wa simba anapora wachezaji wa timu pinzani uwanja wa ndege,sasa kazi ya scout ni nini?? Hivi yanga wamtake mchezaji washindwe kumtumia pre contract kwa email?? Transfer market ya...
  12. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Fabrice Ngoma kutekwa na Simba

    Hizi habari si za kweli. Simba hawawezi mchukua Ngoma. Huyu anakuja cheza Yanga piga ua. Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaingia makubaliano na Klabu ya Yanga kusaidia Usajili wa Wanachama na Mashabiki

    Benki ya CRDB imeingia mkataba wa makubaliano na Yanga kutoa kadi kwa wanachama wa klabu Yanga katika kuongeza ufanisi wa usajili na masuluhisho ya kifedha. Akizungumza wakati hafla kusaini makubaliano hayo iliyofanyika Julai 1, 2023, Afisa Mkuu wa Biashara Benki ya CRDB, Boma Raballa amesema...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ukatili huu wanaoufanya GSM dhidi ya Yanga SC haukubaliki; wana-Yanga tuungane kuupinga

    Wanayanga hivi kweli sisi ni wakupewa 1300 kwa kila mauzo ya jezi moja? Kwa data nikizonazo msimu huu tumeuza jumla ya jezi 100,000/- Hembu tufanye mahesabu ya haraka hapa 35,000 kwa jezi moja zidisha 100,000 idadi ya jezi tulizouza msimu huu = 3.5 billion Haki kila mauzo ya jezi moja...
  15. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Mnaokatalia Yanga wakisema wameshinda Treble. Je, Msimu wa 2021/22 Mamelodi walishinda Treble gani?

    Niambieni walishinda CAF msimu huo? Kila Sehemu na Tamaduni zake katika Football, Afrika tuna utamaduni wetu tofauti na Ulaya Japo tunaweza endana kwenye vitu flan but vingine tukatofautiana.
  16. Area 56

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zinawataka wafanyabiashara waweke oda za jezi mpya bila kuziona, huu ni uwendawazimu

    Sasa najiuliza unawezaje uagize jezi kibao bila haya kuziona zinafananaje? Hapa ni kama DP World tu na bandari yetu
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Yanga SC nakubaliana nayo, ila ya Simba SC yangu siyaamini na ni ya Kipropaganda zaidi

    Uongozi wa Simba SC hakuna ulazima kila Yanga SC ikitoa Ripoti yake hasa ya Mapato au Mafanikio fulani basi nanyi pia haraka sana mje na yenu ya Kubumba (Kupika) na kufanya Kwenu hivi ni Kutudhalilisha wana Simba SC wengi wenye akili kubwa kuliko hata nyie mlioko uongozini. Ni Mwendawazimu tu...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwa msimu wa 2022/23 Yanga imepata hasara ya zaidi ya Tsh. Bilioni 4

    Kama mnavyojua weekend iliyopita klabu ya Yanga ilifanya mkutano mkuu wa wanachama wake na moja ya ajenda ya mkutano ilikuwa kutoa ripoti ya mapato na matumizi ya mwaka 2022-2023. Kumezuka mjadala mkubwa ambao nadhani na mimi nimechangia sana kuuleta wa kuhoji taarifa zilizokuwa zinasambaa kuwa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mkude akienda Yanga SC atakuwa ametimiza Mambo haya makubwa Mawili ambayo wengi wenu mlikuwa hamuyajui

    Siku nyingi sana na hapa JamiiForums ( walio wengi watashuhudia kwa akina Tomaso waliojazana ) GENTAMYCINE nilisema kuwa kama kuna Mchezaji ambaye si tu ninammudu bali pia namjua ndani nje kwakuwa kakua namuona ni Jonas Gerald Mkude. Na ndiyo maana baada ya Leo kusikia kuwa ana Uwezekano wa...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga yadaiwa kufungiwa kusajili

    Wakuu inadaiwa timu ya yanga imefungiwa kusajili kutokana na kukiuka hukumu iliyotolewa na vyombo vya maamuzi vya FIFA. Je taarifa hizi zina ukweli wowote?
Back
Top Bottom