yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Naweka kumbukumbu sawa Yanga hii aikwenda uturuki wala Misri, ilikuwa paleee Avic Town!

    Ni vizuri pia kuweka kumbukumbu sawa kwa kutunza risiti, ni kwamba mabingwa wa kihistoria Yanga awakwenda kuweka kambi uturuki wala Misri bali waliweka kambi yao pale Avic town kigamboni Dar es salaam! Nimeamua kusema maana imenibidi nitoe ufafanuzi baada ya kuulizwa na jirani yangu kwamba hii...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Yanga yafungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana

    Klabu ya Young Africans iliyo Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mira wa Miguu (FIFA) baada ya mchezaji huyo kushinda kesi ya madai dhidi ya klabu hiyo. Birigimana alifungua kesi FIFA kuhusiana na...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania AZAM na Baraka Mpenja punguzeni mahaba kwa Yanga, kuweni professionals

    Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili. Jana alikuwa anatoa kauli kama "upande wa pili nao watakuwa wakienda chooni wanasema Yanga kweli anapiga mpira mwingi"...
  4. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mpaka sasa hawajaelewa falsafa ya kocha wa Yanga Gamond njooni hapa mpate somo

    Kocha hana mpango na mfungaji bora, kocha anataka magoli, kocha an at a mchezaji yeyote ambaye yupo ndani ya box anatakiwa kufunga goli, kocha hataki ufalme wa mchezaji, kocha anataka ufalme wa Yanga. Wale wachezaji aina ya Inonga kumkamia mchezaji Fulani ndio mfungaji muwape ujumbe, gari...
  5. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Ijue siri kubwa ya mafanikio ya Yanga

    Tunamkumbuka Stephen King kwa maneno yake yenye busara hasa pale aliposema: "Talent is cheaper than table salt. What separates the talented individual from the successful one is a lot of hard work." Ila bwana Kevin Durant yeye akasema "” Hard work beats talent when talent fails to work hard”...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Al Merrikh keshatoboa huko, Yanga itaitoa kuingia makundi?

    Timu ya Al Merikh ya Sudan imefanikiwa kusonga mbele hatua ya mtoano ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa faida ya bao la ugenini dhidi ya Otoho d'Oyo ya Jamhuri ya Congo baada ya kutoka nayo suluhu ya bila bao katika mechi ya marudiano leo. Katika mechi ya kwanza kuzikutanisha timu hizo...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Siku ya Zengeli wana Yanga SC wameambiwa Wachomekee, Je, Siku za Pacome na Lomalisa watawaiga Walivyo?

    Sina shida na Identify ya Max Mpia Zengeli ya Kuchomekea Jezi yake na kwa wana Yanga SC kuambiwa na Msemaji wao Ali Kamwe kuwa Wote Kesho Jumamosi ni Zengeli Day hivyo watalazimika Kuchomekea kama Yeye. Mashaka yangu makubwa GENTAMYCINE ni pale tu kukiwa na Siku za Lomalisa na Pakome na Msemaji...
  8. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba ni imani ambazo zina nguvu kuliko imani za Kidini

    Kwa sasa Tanzania ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga unazidi kustawi. Makundi yanayokuja kwa Kasi ni wanawake na watoto wadogo tofauti na miaka ya nyuma. Imekuwa Imani kamili tunarithishana kizazi hadi kizazi na mtu akishaamini kamwe hatohama mpaka kifo kimtenganishe. Mtu atachelewa au...
  9. K11

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

    Mabingwa watetezi Yanga SC wanaanza mbio za kulitetea taji la NBC kwa kumenyana na KMC. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 katika Dimba la Azam Complex Katika mechi 10 walizokutana kwenye ligi kuu tangu wapande daraja msimu wa 2018/19, KMC wameshinda mara moja pekee dhidi ya Yanga, huku sare...
  10. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zina uhakika wa kushinda mechi 20+ kati ya 30, je kuna mbinu ya kuweza kupiga pesa kwenye beting?

    Ni timu ambazo zina probability kubwa za kushinda, katika mechi 30 kuna mechi 20+ wanaweza kushinda Tena hapo ukiondoa mechi 2 za derby na 2, probability inazidi Je, pana uwezekano wa kupiga pesa? Mapato utayopata wakishinda mechi 20 kati ya 26 (ukiondoa 4 za debi na azam) yatazidi pesa...
  11. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Azam FC, Simba FC na Yanga SC mnunueni beki wa Mashujaa "Shedrack"

    Huyu beki wa Mashujaa ni balaa - hamutajutia kumsajili katika vilabu vyenu. Ni ushauri tu
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga inasumbuliwa na timu iliyoshika nafasi ya pili ligi ya Djibouti

    Hili ni jambo la kusikitisha sana na najua wanayanga wengi limewafedhehesha. ASAS Djibouti au kwa jina lingine "AS Ali Sabieh" ni timu ambayo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya pili katika ligi ndogo na dhaifu ya Djibouti lakini jana imeisumbua sana Yanga. Ingekuwa na mshambuliaji mmoja wa...
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Azam sio huzikamia Simba na Yanga no. Ni timu ambayo wachezaji wake wanaweza kufichwa na kupewa hamasa ili wasihongwe na Timu kubwa

    Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!! Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu. Kama kila...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya ya Nahodha wa Asas FC kuna haja ya kupoteza muda Kesho kutizama wakicheza na Yanga SC?

    "Tunafurahi Kesho kucheza na Yanga SC ambayo baadhi ya Wachezaji wetu Wanaishabikia na Wengine Wanaishabikia Simba SC. Na kuhusu Matokeo anayejua ni Mwenyezi Mungu pekee kama tutashinda au tutafungwa" amesema Nahodha wa Asas FC kutoka nchini Djibouti inayocheza na Yanga SC Kesho ( Jumapili )...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Makocha wa Yanga wameanza vibaya mashindano, ni kwanini?

    Gamondi ameikosa ngao Kaze kafungwa na JKT Tanzania Mwinyi Zahera amefungwa na Coastal Union Haya ni matata matatani. Ni uwezo wao mdogo, timu mbovu au ni mwanzo tu>
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga angemsikiliza Captain Wanayanga tungekuwa tunacheka muda huu. Hili ni fundisho kwake

    Ndugu wapendwa mabibi na mabwana haswa wana Yanga wenzangu poleni sana, sana kwa yaliyotokea huko Tanga, kila jambo lina mapenzi mema siku zote. Nieleze kifupi tu, kuna baadhi ya maombo hawa Makocha wapya A.K.A Wazungu wanahitaji kukubali ushirikiano na hasa kwa ma captain ama wazoefu...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hivi Yanga mnakumbuka ilikuwaje mkaanza kujiita wananchi?

    Ashukuriwe Mwinyi Zahera. Mnakumbuka zama analipa mishahara ya wachezaji wenu? Dokumentari nzima hayumo hata kwa sekunde tu.
  18. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Kwanini Injinia alivaa nguo nyeupe kinyume na utamaduni wetu wa Yanga?

  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hii haikubaliki Mkude kachangia pakubwa sana Yanga sc kupoteza kwa penalty jana

    Maelekezo aliyowapa wenzie yameigharimu timu, alafu kibaya zaidi baada ya Yanga kupoteza amekutwa chooni akicheka kwa furaha.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanga ikiwa kwenye top form imefungwa ni Simba iliyokuwa kwenye low form: Simba ikirudi kwenye top form, Yanga wahesabu maumivu zidi!

    Yanga haina uwezo wa kucheza vizuri zaidi kuliko ilivyocheza jana. Hapo ndipo ilipoishia!. Lakini Simba bado itaongeza makali, bado haijafika kwenye top form yake. Kwa maana hiyo itakapofikia top form yake haitakamatika kabisa!
Back
Top Bottom