Tunapohoji kwanini Wachezaji wa Simba SC wanasafiri Kimafungu na Kocha hayuko, tuhoji na huku Yanga SC Kunakofukuta pia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,117
Kambi imeshaanza Avic Town Kigamboni ila Kipa Diara, Kiungo Mshambuliaji Aziz K, Kiungo tegemezi Aucho, Kiungo Fundi aliyewahi kuwa MVP Bangala na Beki mahiri wa Kulia Djuma Shabaan hadi sasa Wote hawa hawako Kambini, hakuna Taarifa yoyote na wana Yanga SC kila Wakihoji wanachoishia Kujibiwa ni Ujio wa Namba Sita.

Ficheni tu ila tunaoujua Mpira wa Bongo ( wa Kitanzania ) na Wafuatiliaji wa Masuala magumu na ya ndani tunajua wamegoma kurejea mpaka muwalipe Kwanza Fedha zao wanazodai na mlikuwa mnasubiri hadi Muuze Jezi ( ambazo zimedoda Kuuzika kutokana na Ubaya wake ) ili mpate Fedha mchanganye na zile Shilingi Milioni 450 za SpotiPesa ( Bonus ) ndiyo muwalipe na waje katika Pre Season yenu ya Kimasikini huko Kigamboni.

Huwezi kutumia Fedha nyingi kwa Kuhonga Waamuzi, Wachezaji na Timu katika Michuano yako yote ya Kiushindani ( ya Kitaifa na baadhi ya Kimataifa ) halafu unategemea ukawa Imara Kiuchumi ( Kipesa ) kwa Msimu Mpya.

Na sasa Simba SC ndiyo kuna Fedha.
 
Ila hilo la hao wachezaji uongozi unajitahidi sana kulificha. Djigi analazimisha (kwa ushawishi wa Nabi) avunje mkata aende kukipiga Far Rabat. Utopoloni hali ni tete kwa sasa propaganda ya kumsajiri chama na namba sita imeisha sijui wataawaambia nn washabiki wa utopolo hiyo tar 22.
 
Kambi imeshaanza Avic Town Kigamboni ila Kipa Diara, Kiungo Mshambuliaji Aziz K, Kiungo tegemezi Aucho, Kiungo Fundi aliyewahi kuwa MVP Bangala na Beki mahiri wa Kulia Djuma Shabaan hadi sasa Wote hawa hawako Kambini, hakuna Taarifa yoyote na wana Yanga SC kila Wakihoji wanachoishia Kujibiwa ni Ujio wa Namba Sita.

Ficheni tu ila tunaoujua Mpira wa Bongo ( wa Kitanzania ) na Wafuatiliaji wa Masuala magumu na ya ndani tunajua wamegoma kurejea mpaka muwalipe Kwanza Fedha zao wanazodai na mlikuwa mnasubiri hadi Muuze Jezi ( ambazo zimedoda Kuuzika kutokana na Ubaya wake ) ili mpate Fedha mchanganye na zile Shilingi Milioni 450 za SpotiPesa ( Bonus ) ndiyo muwalipe na waje katika Pre Season yenu ya Kimasikini huko Kigamboni.

Huwezi kutumia Fedha nyingi kwa Kuhonga Waamuzi, Wachezaji na Timu katika Michuano yako yote ya Kiushindani ( ya Kitaifa na baadhi ya Kimataifa ) halafu unategemea ukawa Imara Kiuchumi ( Kipesa ) kwa Msimu Mpya.

Na sasa Simba SC ndiyo kuna Fedha.
Usipotoshe watu wewe na taarifa za uongo uongo, Wachezaji wote wa yanga waliokuwa timu za taifa waliongezewa muda wa mapumziko mpaka jana jumanne kwakuwa walikuwa wanaendelea na majukumu ya kitaifa, na leo Kharid aucho na wenzake washaripoti kambini, mchezaji ambae akutumikia timu ya taifa licha ya kuitwa ni musonda ambae aliingia kambini mapema, kwa maana iyo taarifa yako ni ya uchonganishi na propaganda uchwara!
 
Walikuwa wepesi kushadidia la Chama, sasa Simba wamemaliza ila wao kuna lundo la matatizo lakini kimya.
 
Kambi imeshaanza Avic Town Kigamboni ila Kipa Diara, Kiungo Mshambuliaji Aziz K, Kiungo tegemezi Aucho, Kiungo Fundi aliyewahi kuwa MVP Bangala na Beki mahiri wa Kulia Djuma Shabaan hadi sasa Wote hawa hawako Kambini, hakuna Taarifa yoyote na wana Yanga SC kila Wakihoji wanachoishia Kujibiwa ni Ujio wa Namba Sita.

Ficheni tu ila tunaoujua Mpira wa Bongo ( wa Kitanzania ) na Wafuatiliaji wa Masuala magumu na ya ndani tunajua wamegoma kurejea mpaka muwalipe Kwanza Fedha zao wanazodai na mlikuwa mnasubiri hadi Muuze Jezi ( ambazo zimedoda Kuuzika kutokana na Ubaya wake ) ili mpate Fedha mchanganye na zile Shilingi Milioni 450 za SpotiPesa ( Bonus ) ndiyo muwalipe na waje katika Pre Season yenu ya Kimasikini huko Kigamboni.

Huwezi kutumia Fedha nyingi kwa Kuhonga Waamuzi, Wachezaji na Timu katika Michuano yako yote ya Kiushindani ( ya Kitaifa na baadhi ya Kimataifa ) halafu unategemea ukawa Imara Kiuchumi ( Kipesa ) kwa Msimu Mpya.

Na sasa Simba SC ndiyo kuna Fedha.
Aucho na ki wapo avic,bangala na djuma bye bye waendelee kutumika na try again
 
Wanatumika na Try Again tena..! Mbona mmeanza mapema kulalamika kabla ligi kuu kuanza.
Wanatafuta mchawi. Hawaamini jinsi lile kombora la masafa marefu la Denis Kibu lilivyoangamiza vizazi vyao. Puyanga wamepoteza wachezaji wao wote waliowafungia magoli katika fainali ya shirikisho
 
Usipotoshe watu wewe na taarifa za uongo uongo, Wachezaji wote wa yanga waliokuwa timu za taifa waliongezewa muda wa mapumziko mpaka jana jumanne kwakuwa walikuwa wanaendelea na majukumu ya kitaifa, na leo Kharid aucho na wenzake washaripoti kambini, mchezaji ambae akutumikia timu ya taifa licha ya kuitwa ni musonda ambae aliingia kambini mapema, kwa maana iyo taarifa yako ni ya uchonganishi na propaganda uchwara!
Kharid aucho kama Ulivyoandika hapa ndiyo nani? Sisi tunayemjua anaitwa Khalid Aucho.
 
Usipotoshe watu wewe na taarifa za uongo uongo, Wachezaji wote wa yanga waliokuwa timu za taifa waliongezewa muda wa mapumziko mpaka jana jumanne kwakuwa walikuwa wanaendelea na majukumu ya kitaifa, na leo Kharid aucho na wenzake washaripoti kambini, mchezaji ambae akutumikia timu ya taifa licha ya kuitwa ni musonda ambae aliingia kambini mapema, kwa maana iyo taarifa yako ni ya uchonganishi na propaganda uchwara!
Bangala na djuma nao walikuwa timu ya taifa????
 
Back
Top Bottom