yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Ally Dangote auawa jijini Arusha

    Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote amekuwa akitafutwa kwa kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali katika maeneo ya Longdong, Ungalimited na Sinoni Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi, majira ya Leo mchana wananchi wenye hasira kali wamemtia nguvuni na kumpokonya uhai...
  2. JamiiForums Tanzania Nguzo ya Taifa Stars inashikiliwa na safu ya ulinzi ya Yanga

    Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mashabiki wa Simba waweka bango la ushindi wao dhidi ya Yanga

    Hii picha niliipiga mtaa fulani katika kata ya Yombo vituka Dar es salaam miaka kama miwili nyuma hivi ,leo katika kupekua simu nimeiona..
  4. JamiiForums Tanzania Namna IFFHS inavyotoa takwimu za timu bora afrika na Yanga kwa ujumla

    Baada ya IFFHS kutoa list ya vilabu bora Africa baadhi ya watu wamehoji kwa nini Yanga wamekaa juu ya Mamelodi Sundowns na USM Alger bingwa wa (CAF-CC) ?! Kabla ya kubisha unatakiwa kujua ni vigezo gani vinatumika kupanga list ya vilabu bora Duniani kwa mujibu wa IFFHS.. ๐—ฉ๐—ถ๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Refa mwingine tena atiwa hatiani na kamati ya Ligi kwa kuipendelea Yanga, afungiwa kuchezesha soka

    Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu, Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga na Salamu za Dini moja

    Yanga ni timu ya Wananchi wa dini zote, hii si mara yakwanza kwa kiongozi wa Yanga kutumia salamu inayotumiwa zaidi na watu wa imani moja na kuacha ku balance. https://youtu.be/Lr62C4kTXW8?si=oL3v9IoGM2dFGwDl Hii ni kero iliyowahi kuripotiwa hapa jf ila mods wakafuta uzi as if wanatupangia...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga yazidi kuwakaba kooni Viongozi wa TFF wenye Husda

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Ni kama vile Young Africans ni fupa la Sangara ambalo limenasa kwenye kolomeo la zee lenye husda liitwalo "TFF". Kibaya zaidi fupa hilo limekwama na halimezeki wala halitoleki iwe kwa winchi ama kamba za chuma! Fupa hilo la Sangara linaendelea...
  8. JamiiForums Tanzania TFF hii inaiimarisha Yanga kwa uonevu

    Mashabiki wa Simba wamempiga shabiki wa Yanga uwanjani lakini TFF haikutoa adhabu kwa Simba badala yake imewatafuta waliompiga TU na kuwapa adhabu hao tu. Kwa timu nyingine TFF haitafuti mashibiki wao waliokosea uwanjani badala yake wanatoa adhabu kwa timu nzima kwa makosa ya mashabiki wao...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga yagongwa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuingiza Timu kwa mlango wa nyuma

    Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya Ligi Kuu Soka Tanzania imevitoza faini Vilabu vya Simba na Yanga kwa kufanya makosa kadhaa katika mchezo dhidi yao uliyochezwa Novemba 5 2023 na Yanga kushinda 5-1. Kamati hiyo imeipiga Yanga faini ya Tsh. milioni 5 kwa kosa la kuingia uwanjani kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kitengo cha uamasishaji Yanga imefeli sana

    Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.. Cha kwanza ni kipa bora wa msimuNa ya pili ni klabu bora ya msimu. Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi ya mtani wake wao wamekomaa na ishu hiyo hiyo moja na wakati mechi imeisha na hata ukisema...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga yashika nafasi ya 3 Afrika, yazipiku Mamelod na Bigwa US Algers

    Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31 2023. Upande wa AFRIKA unaonyesha klabu ya YANGA ya Tanzania inashika nafasi ya 3 nyuma ya vilabu vya...
  12. JamiiForums Tanzania Kama sio kutukimbia uwanjani siku ile, Yanga ingeambulia kipigo cha fedheha mno

    Hawa watu naona MUNGU aliwanusuru na kichapo kikali sana, kikosi changu kilikua sawasawa haswa. Nakumbuka siku iyo nilishiba wali maharage, satisa nanusu alasiri nikawahi siti ya mbele kucheki mechi hii Ya SIMBA vs YANGA pale kwenye banda umiza la diwani. Michuano ilikua ya kagame na klabu za...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga Yapaa Ubora wa Viwango, Yashika Namba 4 Afrika, Yawabwaga Simba, Mamelodi

    Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika...
  14. JamiiForums Tanzania Maoni yangu ya kisomi kuhusu mabango ya Yanga

    Nitaelezea kwa ufupi sana maoni yangu ya kisomi kuhusiana na ishu ya mabango ya Yanga yanayoonyesha matokeo ya mechi yake na Simba yaliyopachikwa maeneo mabalimbali Dar es Salaam. Upande mmoja wamekuja na hoja kuwa walichofanya Yanga ni kuchukua maudhui kutoka Azam TV na walichofanya ni...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Aden Rage kumshauri Try Again na Mangungu kudai Tsh. Milioni 100 za bango la Yanga kuifunga Simba 5

    Mwenyekiti wa zamani wa Simba na FAT Adan Rage, amesema wataidai na kuipeleka mahakamani kampuni ya outdoor, Saifi store waliohusika na Kutundika bango lilitumia nembo ya Simba, kwani muendo huo ni wa kibiashara na wamejitangaza kupitia logo ya Simba bila ridhaa ya Simba wenyewe. Mbobevu huyo...
  16. JamiiForums Tanzania Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

  17. JamiiForums Tanzania Simba ilishawahi kupigwa 9 na Yanga

    ๐—ฉ๐—œ๐—ฃ๐—œ๐—š๐—ข ๐—ฉ๐—œ๐—ž๐—จ๐—•๐—ช๐—” ๐—ญ๐—”๐—œ๐——๐—œ Matukio na vipigo vikubwa zaidi kuanzia (5+) kwenye derby ya Kariakoo: FT: Yanga SC 9-0 Simba SC (1938) FT : Yanga SC 5-0 Simba SC (1968) โšฝโšฝ Maulid Dilunga 18' Pen, 43' โšฝโšฝ Salehe Zimbwe 54', 89' โšฝ Kitwana Manara 86' ๐— p๐—ถ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ถ: Tarehe 3 Machi 1969: Simba SC...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga inajitengenezea mashabiki wangali bado wadogo kabisa

    Mtu kama huyu hawezi kuja kuiacha Yanga. Biblia inasema. ".......angali bado mdogo naye hataiacha hata siku za uzee wake."
  19. JamiiForums Tanzania Mvua kubwa DSM, klabu ya Yanga yazingirwa na maji muda huu

    Mvua kubwa inaypendekea muda huu imesababisha mafuriko kunako club ya yanga jangwani
  20. JamiiForums Tanzania Nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ya Simba vs Yanga

    Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia. Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ