kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 11,749
- 11,985
Mashabiki wa Simba wamempiga shabiki wa Yanga uwanjani lakini TFF haikutoa adhabu kwa Simba badala yake imewatafuta waliompiga TU na kuwapa adhabu hao tu. Kwa timu nyingine TFF haitafuti mashibiki wao waliokosea uwanjani badala yake wanatoa adhabu kwa timu nzima kwa makosa ya mashabiki wao wawili waliorudha chupa za maji uwanjani, double standard. Je, itaendelea na zoezi la kuwatafuta na kuwaadhibu mashabiki wa timu wanaokosea badala ya kuziadhibu timu kwa makosa ya mashabiki wao?
Angalia adhabu iliyopewa Simba kwa wachezaji kuchelewesha kuanza kwa mechi na matangazo ya mdhammi kwa kuchelewa kufika uwanjani kwa wakati ni sh. 1m TU, lakini Yanga kupitia mlango mwingine ni 5mil. Nani kafanya kosa kubwa kati ya Simba aliyechelewesha mchezo kuanza na matangazo ya mdhammi na Yanga aliyepitia mlango mwingine kuingia na kufika uwanjani kwa wakati?. Nani kasababisha hasara na usumbufu mkubwa kati ya hawa wawili? Nani alistahili adhabu kubwa kuliko mwingine?
Adhabu ya Halid Aucho ya kumfungia mechi 3 bila kumuadhibu Ajib kama vile hawakuona alichomfanyia Aucho ni dalili ya TFF kuikataa Yanga uwanjani. Kumfungia mechi tatu!!!!
Mungu Yuko pamoja na kila anaeonewa na kudhulumiwa, wanaipaka mafuta Yanga izidi kupaa kimataifa, inakomazwa na TFF kwaajili ya mashindano ya ndani na nje ya nchi. Hata mama anaemnyanyasa house girl na kumpendelea mwanawe ajue anampaka mafuta yule house girl na kumpaka mavi usoni mwanawe. TFF inawapaka mavi usoni Simba, coastal Union na Ibrahim Ajib badala ya kuwasaidia kukua.
Oneni aibu.