yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Majok majok

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi mipango yenu ya kuipangia Yanga ratiba ngumu ili idondoshe point imezikwa rasmi, Mungu sio Athumani

    Kwakweli Hawa watu ni makatili sijawai Kuona, walikuwa wametega mtego mbaya sana dhidi ya yanga lakini wameferi na wameshindwa vibaya sana. Hii ratiba aikupangwa kwa bahati mbaya bali walikuwa wamedhamilia na walikuwa na Nia mbaya kabisa, yanga kacheza na Azam baada ya siku tatu kacheza na...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

    Kuna tetesi kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora, Wengine wanafika mbali kudai kwamba Yanga ikikosa ubingwa basi husalia namba 2 tu, si nje ya hapo. Ni kweli?
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba waliiogopa mno Yanga kabla ya mechi na wakati wa mechi.

    Hakukuwa na ulazima wa Simba kumfukuza kocha peke yake kwa kosa la kufungwa magoli 5 na Yanga. Kufungwa kwa Simba kulisababishwa na sababu na wadau wengi wakiwemo viongozi na wachezaji wenyewe. Simba iliingia kwenye mechi ile wadau wote wa simba (kocha, wachezaji, uongozi na mashabiki) wakiwa...
  4. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

    Naam leo ndo leo ndani ya Mkwakwani Tanga baada ya wananchi kutoka kumpiga mtani wao goli 5 leo wanakutana na Coastal union je, watoto wa Tanga watakubali kupigwa 5? Kikosi cha Yanga Mchezo umeanza
  5. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Haki za Binadamu watoe tamko la Kulaani Unyanyasaji wa Yanga kwa kumfunga Simba chuma Tano 😂

    Menejimenti imechanganyikiwa Rais wa heshima kachanganyikiwa Benchi la ufundi limechanganyikiwa Wachezaji wamechanganyikiwa Wanachama wamechanganyikiwa Mashabiki wamechanganyikiwa Wachambuzi wamechanganyikiwa Mpaka majirani wamechanganyikiwa
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji watano wa Simba wasimamishwa kupisha uchunguzi kwa kichapo kikali cha goli 5 kutoka kwa Yanga

    Wachezaji watano wa Simba Sc akiwemo Enock Inonga na Clatous Chota Chama wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yao baada ya kufungwa na Yanga SC mabao 5-1 siku ya Jumapili. Wachezaji hao wanatuhumiwa kuihujumu timu kitendo kilichopelekea kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao. Maamuzi hayo...
  7. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mzungu Mkoloni alianzisha Simba na Yanga!

    Hivi wamisheni mnaowaita Wakoloni wasingeanzisha Simba na Yanga leo hii mngeshangilia nini? Timu zenu mlizoanzisha kama lipuli, maji maji & Co. hazijulikani hata zilipo, halafu kuna watu wanabeza Ukristu na mchango wa Kanisa tanzania. kabla ya Kanisa kuingia tanzania kulikuwa hakuna timu ya mpira …
  8. ankol

    JamiiForums Tanzania Mambo ya siasa kwenye michezo yasipuuzwe

    Wasalaam wandugu, Kuna kitu naona kina puuzwa siku kadiri zinavyokwenda. Ila huenda ikaja kuwa hatari zaidi mbeleni endapo zitaendelea kupuuzwa. Ni kweli tuna mahaba na vyama vya siasa na wanasaiasa zetu, ila hakuna sehemu nyingine tunayoweza ku express mahaba yetu zaidi ya kwenye kumbi za...
  9. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

    Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho). Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana. Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru...
  10. Daydream

    JamiiForums Tanzania Wiki hii jezi ya Yanga kama vazi la taifa

    Tangu tuwafunge Makolo naona mitaani jezi ya Yanga imetawala huku ni nadra sana kukutana na mtu kavaa jezi ya Simba. Kila ninapopishana na watu kumi basi wawili au mmoja kavaa jezi ya Yanga Hakika kuwafunga Makolo kuna raha yake tena uzuri zaidi tumewashindilia za kutosha Sijui kama Makolo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yanga SC players pocket R3.6 million windfall after derby demolition of Simba

    Tanzanian giants Yanga SC players will receive a massive R3.6 million bonus for their emphatic victory in Sunday’s Kariakoo derby against their arch-rivals, Simba SC. Yanga SC pummelled a hapless Simba 5-1 at the Benjamin Mkapa Stadium, the biggest derby defeat in 11 years. The defending...
  12. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa picha: Yanga ilifunga goli moja la halali kwenye mchezo dhidi ya Simba jana

    Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini. Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa. Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu akikata mauno baada ya Yanga kushinda 5

  14. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji hawa baada ya kuondoka Yanga maneno ya watu yakawa hivi

    1. Feisal Maneno ya watu: Yanga kwisha habari yake, hawapati kiungo kama Fei toto. 2. Mayele. Maneno ya watu: Huu sasa ndio mwisho wa utopolo, aliyekuwa anawabeba kaamua kusepa. This time utopolo hata nafasi ya 3 hafiki, tena mashindano ya Caf haingii makundi. 3. Djuma Shabani na Yanick...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Feisal, Djuma Shabani na Bangala wanatufundisha nini kupitia mafanikio ya Yanga baada ya kuondoka kwao?

    Wanatufundisha: 1. To let it go/ To let them go. 2. Tusishikilie au kun'gan'gania kitu kinacho taka kuondoka kwenye maisha yetu. Kama kuna kitu au mtu anataka kuondoka kwenye maisha yako basi usimlazimishe abaki muache ende zake. 3. To move on. 4. To never look back. 5. Kila kitu kina...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Simba tunakuja: Mzunguko wa pili tarehe 13/04/2024, Yanga jiandaeni kwa maumivu!

    Utakuwa unafanya makosa yatakayokugharimu sana ukimwona Simba amenyeshewa mvua, ukadhani kuwa amegeuka na kuwa paka! Form is temporary but CLASS is permanent!! Mechi ya mzunguko wa pili tarehe 13/04/2023 itakuwa kiyama kwenu! Simba nguvu moja! Hayo ya jana tumeyapokea na kuyatupa nyuma na...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Jezi za Yanga leo zimevaliwa hatari

    Salamu ya mjini sasa ni HAMSA Aisee katika watanzania 10 ninaokutana nao 8 wamevaa jezi,za msimu uliopita au msimu huu,katika watu 100 ninaokutana nao mtu mmoja tu kavaa jezi ya simba,na akikutana na watu wa yanga kama anakimbia vile na kuhinamisha kichwa chini. GSM wamepiga pesa sana kwenye...
  18. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Adui wa maendeleo ya simba sio yanga wala TFF, adui ni kuamini ktk mambo ya kale kilimo cha pdf kipo simba

    Tupo zama za kidijitali, Hakuna uongozi wa hovyo kama huu wa sasa pale msimbazi, kuanzia uongozi wote mpaka mashabiki wana mzimu wa kimasikini( umasikini wa fikra). Mfano mchezaji flani alikua simba akaondoka akaenda aly ahly akatoswa kutokana na kushuka kiwango mnamrudisha wa nini...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaumia nini Kufungwa Goli 5 na Yanga SC leo, wakati GENTAMYCINE kila nikiwasema Viongozi na Wachezaji wa Simba SC mnanuna na kunitusi?

    Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa Viongozi Murtaza Mangungu ni Kirusi na Salim Abdallah Mhene 'Try Again' ni Mtu wa Kuuza na Kupenda mni 10%? Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa ndani ya Simba SC ( hata Kamati ya Utendaji ) kuna Virusi ( Watu wa Yanga SC ) ambao...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Simba; Yanga ni Mamelodi

    Rekodi imeandikwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es salaam leo tarehe 5 Nov 2023,timu Bora barani Afrika, Yanga imeifunga timu bora ya Simba magoli 5-1, katika mchezo ulioonyesha ubora wa timu ya Yanga ukifanana na ubora wa Mabingwa wa Afrika mwaka 2016 timu ya Mamelodi Sundowns...
Back
Top Bottom