yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kinachonipa hofu mechi ya Yanga, ni wachezaji kutokuwa pamoja kambini hivi karibuni wakitumikia timu zao za Taifa kufukuza Fainali za Kombe la Dunia

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, hii ndio hofu yangu kwa mechi ya leo kwani baadhi ya wachezaji wetu wa humu ndani na wale wa kimataifa, walikuwa wanatumikia timu zao za Taifa katika kusaka nafasi ya kushiriki kombe la Dunia mwaka 2026. Sasa sijui wamekaa kambini kwa siku ngapi ingawa bado...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Slogans za Simba SC na Yanga SC. Simba "Kwa Mkapa Hatoki Mtu", Yanga " Ugenini Tunaua Mwenyejì"

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya Simba na Yanga, kuanzia kwenye slogans, fighting spirit, scouting, management na kila kitu. Kwetu sisi Azam tuna mengi ya kujufunza kutoka kwenye timu hizi kubwa.
  3. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

    Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC. Kikosi cha Yanga YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF, YAPIGWA 3-0 UGENINI Ikicheza kwenye Uwanja wa Stade du 5 Juillet Nchini Algeria, Yanga imeshindwa...
  4. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu hii ya SKUDU tuishi nayo Wana-YANGA, Hii ni moja ya Kauli Mbiu nyingine nzuri sana

    Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela. Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha. #The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe! #Hii Imeenda
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Yanga inakuwa timu ya kwanza duniani kucheza mpira angani

    Mie ni Simba lkn yanga ni kiboko dunia hii https://www.facebook.com/reel/724883866181121/?mibextid=ZKlF025XJ6KyrSs8
  6. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Yanga yazindua jezi zake kuelekea Ligi ya Mabingwa Africa, ni kali sana

    Dakika chache zilizopita Yanga wamezindua jezi zake kwa ajili ya klabu bingwa africa. Ni jezi nzuri mwananchi usipange kuzikosa. Nashindwa kupandisha picha hapa ila jezi ni kali, Sheria Ngowi apewe maua yake
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga acheni kuingiza porojo za siasa michezoni, somo la jana mmeliona

    Hakuna haja ya kuleta ujinga kama huu uwanjani, jana Taifa Stars imedundwa na wananchi wameshangilia.
  8. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Wana yanga sc tuna jambo letu ikifika saa 7 kamili usiku tunatambulisha uzi wa kimataifa

    𝐔𝐙𝐈 bora kwa Mashindano Makubwa Afrika ni Saa 7 Usiku! Mwananchi Kaa Tayari….. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
  9. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  10. mtetezi wa MAGU

    JamiiForums Tanzania Ally Dangote auawa jijini Arusha

    Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote amekuwa akitafutwa kwa kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali katika maeneo ya Longdong, Ungalimited na Sinoni Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi, majira ya Leo mchana wananchi wenye hasira kali wamemtia nguvuni na kumpokonya uhai...
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nguzo ya Taifa Stars inashikiliwa na safu ya ulinzi ya Yanga

    Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei...
  12. adriz

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mashabiki wa Simba waweka bango la ushindi wao dhidi ya Yanga

    Hii picha niliipiga mtaa fulani katika kata ya Yombo vituka Dar es salaam miaka kama miwili nyuma hivi ,leo katika kupekua simu nimeiona..
  13. G

    JamiiForums Tanzania Namna IFFHS inavyotoa takwimu za timu bora afrika na Yanga kwa ujumla

    Baada ya IFFHS kutoa list ya vilabu bora Africa baadhi ya watu wamehoji kwa nini Yanga wamekaa juu ya Mamelodi Sundowns na USM Alger bingwa wa (CAF-CC) ?! Kabla ya kubisha unatakiwa kujua ni vigezo gani vinatumika kupanga list ya vilabu bora Duniani kwa mujibu wa IFFHS.. 𝗩𝗶𝗴𝗲𝘇𝗼 𝘃𝗶𝗻𝗮𝘃𝘆𝗼𝘁𝘂𝗺𝗶𝗸𝗮...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Refa mwingine tena atiwa hatiani na kamati ya Ligi kwa kuipendelea Yanga, afungiwa kuchezesha soka

    Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu, Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
  15. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga na Salamu za Dini moja

    Yanga ni timu ya Wananchi wa dini zote, hii si mara yakwanza kwa kiongozi wa Yanga kutumia salamu inayotumiwa zaidi na watu wa imani moja na kuacha ku balance. https://youtu.be/Lr62C4kTXW8?si=oL3v9IoGM2dFGwDl Hii ni kero iliyowahi kuripotiwa hapa jf ila mods wakafuta uzi as if wanatupangia...
  16. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Yanga yazidi kuwakaba kooni Viongozi wa TFF wenye Husda

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Ni kama vile Young Africans ni fupa la Sangara ambalo limenasa kwenye kolomeo la zee lenye husda liitwalo "TFF". Kibaya zaidi fupa hilo limekwama na halimezeki wala halitoleki iwe kwa winchi ama kamba za chuma! Fupa hilo la Sangara linaendelea...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF hii inaiimarisha Yanga kwa uonevu

    Mashabiki wa Simba wamempiga shabiki wa Yanga uwanjani lakini TFF haikutoa adhabu kwa Simba badala yake imewatafuta waliompiga TU na kuwapa adhabu hao tu. Kwa timu nyingine TFF haitafuti mashibiki wao waliokosea uwanjani badala yake wanatoa adhabu kwa timu nzima kwa makosa ya mashabiki wao...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Yanga yagongwa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuingiza Timu kwa mlango wa nyuma

    Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya Ligi Kuu Soka Tanzania imevitoza faini Vilabu vya Simba na Yanga kwa kufanya makosa kadhaa katika mchezo dhidi yao uliyochezwa Novemba 5 2023 na Yanga kushinda 5-1. Kamati hiyo imeipiga Yanga faini ya Tsh. milioni 5 kwa kosa la kuingia uwanjani kwa...
  19. Smt016

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha uamasishaji Yanga imefeli sana

    Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.. Cha kwanza ni kipa bora wa msimuNa ya pili ni klabu bora ya msimu. Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi ya mtani wake wao wamekomaa na ishu hiyo hiyo moja na wakati mechi imeisha na hata ukisema...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga yashika nafasi ya 3 Afrika, yazipiku Mamelod na Bigwa US Algers

    Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31 2023. Upande wa AFRIKA unaonyesha klabu ya YANGA ya Tanzania inashika nafasi ya 3 nyuma ya vilabu vya...
Back
Top Bottom