Yanga yazidi kuwakaba kooni Viongozi wa TFF wenye Husda

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!

Ni kama vile Young Africans ni fupa la Sangara ambalo limenasa kwenye kolomeo la zee lenye husda liitwalo "TFF".

Kibaya zaidi fupa hilo limekwama na halimezeki wala halitoleki iwe kwa winchi ama kamba za chuma! Fupa hilo la Sangara linaendelea kuwaumiza viongozi wa TFF na hawana cha kufanya zaidi ya kuendelea kugugumia maumivu!

Miaka 2 ya Ubingwa wa Yanga viongozi wenye chuki na husda ya waziwazi kwa Yanga tumeshuhudia wakifanya fitina za kila namna ili Yanga aside Bingwa lakini imeshindikana.

1. Miaka 2 mfululizo wamekuwa wakimpangia Yanga ratiba ambayo si rafiki, mechi za mwisho za Yanga kwa misimu 2 mfululizo amekuwa akimalizia kule mkoani Mbeya, hii si bahati mbaya, tunajua ni uhuni na fitina ili kuihujumu Yanga lakini bahati Nzuri Yanga amekuwa akichukua Ubingwa Mapema na akifika huko ni kukalimilisha ratiba tu!

2. Mwaka huu wakaona waanzishe mfumo wa timu 4 zitakazocheza kwenye ngao ya Hisani (Ngao ya Jamii) ili kipenzi Chao Madunduka aweze kubebwa awezavyo achukue ngao hiyo, huu mfumo ni mfumo wa kihuni kwasababu ngao ya Hisani huwa inachezwa mechi moja tu!

Lengo lao lilifanikiwa kwasababu kila mmoja ni shahidi ile fainali namna refa alivyoamua waziwazi kumbeba Dunduka.

3. Haikuishia hapo, mwaka huu wameamua kabisa Yanga acheze mechi ngumu mfululizo ili adondoshe point kusudi kipenzi chao Dunduka aweze kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi nyingi.

Azam vs Yanga
Yanga vs Singida
Simba vs Yanga

Walijua kabisa hapo Yanga hachomoki na ndipo mahali ambapo Dunduka angemzidi Yanga Pointi, lakini hadi sasa hawaamini wanachokiona!

Baada ya Dunduka kukandwa ki kwelikweli wakaamua mechi ya Dunduka na Azam waisogeze mbele hadi Januari bila sababu ya Msingi ili kumbeba Dunduka.

Labda tu niaambie TFF ya Kwamba mtaionea Yanga kwenye mambo mengine lakini kwenye uwanja atawaahibisha tu, dadeeeeeeki!

The Greatest Umughaka A.K.A "River Mbaji".
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Ni kama vile Young Africans ni fupa la Sangara ambalo limenasa kwenye kolomeo la zee lenye husda liitwalo "TFF".

Kibaya Zaidi fupa hilo limekwama na halimezeki wala halitoleki iwe kwa winchi ama kamba za chuma!,fupa hilo la Sangara linaendelea kuwaumiza viongozi wa TFF na hawana cha kufanya zaidi ya kuendelea kugugumia maumivu!

Miaka 2 ya Ubingwa wa Yanga viongozi wenye chuki na husda ya waziwazi kwa Yanga tumeshuhudia wakifanya fitina za kila namna ili Yanga aside Bingwa lakini imeshindikana.

1.Miaka 2 mfululizo wamekuwa wakimpangia Yanga ratiba ambayo si rafiki,mechi za mwisho za Yanga kwa misimu 2 mfululizo amekuwa akimalizia kule mkoani Mbeya,hii si bahati mbaya,tunajua ni uhuni na fitina ili kuihujumu Yanga lakini bahati Nzuri Yanga amekuwa akichukua Ubingwa Mapema na akifika huko ni kukalimilisha ratiba tu!

2.Mwaka huu wakaona waanzishe mfumo wa timu 4 zitakazocheza kwenye ngao ya Hisani (Ngao ya Jamii) ili kipenzi Chao Madunduka aweze kubebwa awezavyo achukue ngao hiyo,huu mfumo ni mfumo wa kihuni kwasababu ngao ya Hisani huwa inachezwa mechi moja tu!,

Lengo lao lilifanikiwa kwasababu kila mmoja ni shahidi ile fainali namna refa alivyoamua waziwazi kumbeba Dunduka.

3.Haikuishia hapo,Mwaka huu wameamua kabisa Yanga acheze mechi ngumu mfululizo ili adondoshe point kusudi kipenzi Chao Dunduka aweze kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi nyingi!

Azam vs Yanga
Yanga vs Singida
Simba vs Yanga

Walijua kabisa hapo Yanga hachomoki na ndipo mahali ambapo Dunduka angemzidi Yanga Pointi,lakini hadi sasa hawaamini wanachokiona!

Baada ya Dunduka kukandwa ki kwelikweli wakaamua mechi ya Dunduka na Azam waisogeze mbele hadi Januari bila sababu ya Msingi ili kumbeba Dunduka!

Labda tu niaambie TFF ya Kwamba mtaionea Yanga kwenye mambo mengine lakini kwenye uwanja atawaahibisha tu!,dadeeeeeeki!

By the way

Niko huru,wewe uliyefanya nikapigwa ban nikwambie tu kwanza ndo kumekucha!,kaa chonjo!

The Greatest Umughaka a.k.a "River Mbaji"
Uko sahihi .....hakika hili ni fupa la Sangara

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!

Ni kama vile Young Africans ni fupa la Sangara ambalo limenasa kwenye kolomeo la zee lenye husda liitwalo "TFF".

Kibaya zaidi fupa hilo limekwama na halimezeki wala halitoleki iwe kwa winchi ama kamba za chuma! Fupa hilo la Sangara linaendelea kuwaumiza viongozi wa TFF na hawana cha kufanya zaidi ya kuendelea kugugumia maumivu!

Miaka 2 ya Ubingwa wa Yanga viongozi wenye chuki na husda ya waziwazi kwa Yanga tumeshuhudia wakifanya fitina za kila namna ili Yanga aside Bingwa lakini imeshindikana.

1. Miaka 2 mfululizo wamekuwa wakimpangia Yanga ratiba ambayo si rafiki, mechi za mwisho za Yanga kwa misimu 2 mfululizo amekuwa akimalizia kule mkoani Mbeya, hii si bahati mbaya, tunajua ni uhuni na fitina ili kuihujumu Yanga lakini bahati Nzuri Yanga amekuwa akichukua Ubingwa Mapema na akifika huko ni kukalimilisha ratiba tu!

2. Mwaka huu wakaona waanzishe mfumo wa timu 4 zitakazocheza kwenye ngao ya Hisani (Ngao ya Jamii) ili kipenzi Chao Madunduka aweze kubebwa awezavyo achukue ngao hiyo, huu mfumo ni mfumo wa kihuni kwasababu ngao ya Hisani huwa inachezwa mechi moja tu!

Lengo lao lilifanikiwa kwasababu kila mmoja ni shahidi ile fainali namna refa alivyoamua waziwazi kumbeba Dunduka.

3. Haikuishia hapo, mwaka huu wameamua kabisa Yanga acheze mechi ngumu mfululizo ili adondoshe point kusudi kipenzi chao Dunduka aweze kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi nyingi.

Azam vs Yanga
Yanga vs Singida
Simba vs Yanga

Walijua kabisa hapo Yanga hachomoki na ndipo mahali ambapo Dunduka angemzidi Yanga Pointi, lakini hadi sasa hawaamini wanachokiona!

Baada ya Dunduka kukandwa ki kwelikweli wakaamua mechi ya Dunduka na Azam waisogeze mbele hadi Januari bila sababu ya Msingi ili kumbeba Dunduka.

Labda tu niaambie TFF ya Kwamba mtaionea Yanga kwenye mambo mengine lakini kwenye uwanja atawaahibisha tu, dadeeeeeeki!

The Greatest Umughaka A.K.A "River Mbaji".
Nilivyoanza kuisoma nikajua ni zile simulizi zako mkuu
 
Yanga vs Azam ni game ngumu???

Yanga na SFG ni game ngumu????

Labda mi naziona Kwa jicho la tofauti.
 
Watu mnaongoza ligi
Mnatimu kali
Mna kiongozi kijana mwenye brain kuliko wote
mna mdhamini asiye na uchungu na mihela yake anamwaga tu minoti
Mna washabiki wanaoipenda timu yao kuliko ndoa zao
Mna mganga mkuu wa wachawi anayewalogea mechi zenu zote
Mna backup ya rais wa nchi
Mnafanya usajiri wa kueleweka ndio mana hamkujali hata kumpoteza feitoto
Mmeweka mabango dunia nzima
Mna mashabiki kindaki ndaki mpaka Kongo huko
Nyie ni mabingwa wa muda wooote utafikiri mpira wa miguu tayari umeshakufa duniani
Mna kikosi kipana kinachoweza kucheza mechi tatu za barcelona, aseno na simba na zote mkashinda
Kifupi mna kila kitu

CHA AJABU KUTWA KULIA LIA KISA MAMBO MADOGO MADOGO. NI KWAMBA HAMJIAMINI AU MMEZOEA KUDEKA. SHWAIN KABISA UTOPOLO
 
UMUGHAKA a.k.a "River Mbaji"
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!

Ni kama vile Young Africans ni fupa la Sangara ambalo limenasa kwenye kolomeo la zee lenye husda liitwalo "TFF".

Kibaya zaidi fupa hilo limekwama na halimezeki wala halitoleki iwe kwa winchi ama kamba za chuma! Fupa hilo la Sangara linaendelea kuwaumiza viongozi wa TFF na hawana cha kufanya zaidi ya kuendelea kugugumia maumivu!

Miaka 2 ya Ubingwa wa Yanga viongozi wenye chuki na husda ya waziwazi kwa Yanga tumeshuhudia wakifanya fitina za kila namna ili Yanga aside Bingwa lakini imeshindikana.

1. Miaka 2 mfululizo wamekuwa wakimpangia Yanga ratiba ambayo si rafiki, mechi za mwisho za Yanga kwa misimu 2 mfululizo amekuwa akimalizia kule mkoani Mbeya, hii si bahati mbaya, tunajua ni uhuni na fitina ili kuihujumu Yanga lakini bahati Nzuri Yanga amekuwa akichukua Ubingwa Mapema na akifika huko ni kukalimilisha ratiba tu!

2. Mwaka huu wakaona waanzishe mfumo wa timu 4 zitakazocheza kwenye ngao ya Hisani (Ngao ya Jamii) ili kipenzi Chao Madunduka aweze kubebwa awezavyo achukue ngao hiyo, huu mfumo ni mfumo wa kihuni kwasababu ngao ya Hisani huwa inachezwa mechi moja tu!

Lengo lao lilifanikiwa kwasababu kila mmoja ni shahidi ile fainali namna refa alivyoamua waziwazi kumbeba Dunduka.

3. Haikuishia hapo, mwaka huu wameamua kabisa Yanga acheze mechi ngumu mfululizo ili adondoshe point kusudi kipenzi chao Dunduka aweze kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi nyingi.

Azam vs Yanga
Yanga vs Singida
Simba vs Yanga

Walijua kabisa hapo Yanga hachomoki na ndipo mahali ambapo Dunduka angemzidi Yanga Pointi, lakini hadi sasa hawaamini wanachokiona!

Baada ya Dunduka kukandwa ki kwelikweli wakaamua mechi ya Dunduka na Azam waisogeze mbele hadi Januari bila sababu ya Msingi ili kumbeba Dunduka.

Labda tu niaambie TFF ya Kwamba mtaionea Yanga kwenye mambo mengine lakini kwenye uwanja atawaahibisha tu, dadeeeeeeki!

The Greatest Umughaka A.K.A "River Mbaji".
Umenipa raha mwanayanga mwenzako👏
 
Kwa hiyo TFF isifanye mabadiliko wanayoona yanafaa kisa kuiogopa uto? Unataka umalizie wapi ligi ili uone hujaonewa? Unataka baada ya kucheza na Azam ucheze na nani ili ratiba isiwe ngumu?

Uto imeanza ligi kwa kucheza mechi 3 mfululizo dar wakati simba baada ya mechi 1 alienda moro kucheza na mtibwa lakini bado uto mnalalamika. Hakika nyinyi ni uto.
 
The Greatest UMUGHAKA a.k.a RIVER MBAJI
 
Back
Top Bottom