yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Kutoa msaada ni sadaka inayoweza kukufanikisha katika mambo mengi kwenye maisha yako

    Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia, Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
  2. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Television yako sebuleni kwako nyumbani kwako

    Jengo la nyumba yako ni nyumba ya ibada ,Sebule yako sitting room ni madhabahu, Bed room yako na kitanda chako ni madhabahu. Wewe mwenyewe mwili wako ni nyumba ni hekalu na nafsi yako pua ni madhabahu. MADHABAHU ndio kiti cha enzi cha kiroho kinachotoa chemi chemi za uhai, uzima ama kinyume...
  3. kabweza

    JamiiForums Tanzania Kabla Hujafunga Biashara Yako, Soma Hii Kwanza.

    Wakuu wa jukwaa, Leo nataka niongee kitu ambacho naamini kinaweza kubadilisha namna tunavyoendesha biashara zetu za kila siku hasa sisi wafanyabiashara wadogo na wa kati. Ukweli ni huu Biashara nyingi Tanzania zinaendeshwa kwa mazoea. Tunatumia daftari, kumbukumbu za kichwani, au wakati...
  4. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ndio maana mnaambiwa brand ni muhimu kwa mafanikio yako. Hebu imagine kila mtu anamjua huyu ni nani!!

    Umeshamjua huyu ni nani?😂😂
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, ni aibu kwa mwanaume kuishi kwa kuombaomba kwa watu ili uhudumie familia Yako ujue unatengeza kizazi cha laana

    Mwanaume popote ulipo ujue kuwa unatakiwa u - hustle kutafuta hela bila kuchagua Kazi ya kufanya as long as itakuingizia kipato. Acheni ubishoo! Hela za kuomba omba kwa watu hazijawahi kuwa na baraka, ujue hiyo laana inahamia kwenye ukoo wako na vizazi vyako vyote wataishi maisha ya kutembeza...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!

    Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana. Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
  7. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinauma kama kujiona unazeeka Bila maendeleo yoyote kwenye maisha yako

    Hakuna kitu kinauma kama kujiona unazeeka Bila maendeleo yoyote kwenye maisha yako 🤔
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sheikh Matimbwi hizo Tende za Msaada umezibinafsisha unakula wewe na familia yako tu. Huo ni Ukorofi

    Hili tatizo la ulafi litaisha lini? Tende zimetolewa msaada toka Uarabuni. Sisi hizi ndo zinatufanya tutembee tukisema tumefunga ili tuje zipata. Wewe unakula tende na wake zako na watoto. Unanywea chai, unalia ugali. Si sawa. Hizo tende walitakiwa wapate watu wote. Zigawiwe msikitini hapo...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kutotumia miguu yako vizuri kutakufanya uzeeke mapema na Haraka

    KUTOTUMIA MIGUU YAKO VIZURI KUTAKUFANYA UZEEKE MAPEMA NA HARAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Forever young kama ndio unataka kuonekana na kuwa hivyo basi hii mada inakuhusu Sana. Yaani unataka uonekane Siku zote kijana shupavu usiyezeeka. 2. Wakati wengine wa rika lako wakizeeka na...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Credit Card au Debit Card: Ni kadi ipi Inafanya Maisha yako Kuwa Rahisi Zaidi?

    Katika dunia ya leo ya miamala ya kidijitali, kadi za benki zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu kila siku. Iwe mi kulipia huduma ama kununua bidhaa madukani hadi kufanya manunuzi mtandaoni, watu wengi sasa hutegemea kadi badala ya kutembea na pesa taslimu. Lakini swali linabaki: kati ya Credit...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?

    Mimi siamini unachokiamini, unataka nisile ati kwakuwa wewe umefunga mara ooooh nisile hadharani, yaani nilie chumbani au kichakani kama nafanya ngono Unakuta mtu saa 9 kalegea kama msusa, mishipa usoni imemtoka, macho yamelegea na kujaaa tongo tongo, mdomo unapasuka ila ananuna tukiwa...
  12. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Jinsi mazingira uliyokulia yanachelewesha mafanikio yako

    Jinsi Mazingira uliyozaliwa yanaweza kukuchelewesha kufanikiwa. Mazingira yanamchango mkubwa wa mtu kufanikiwa, ukiwa kwenye Mazingira sahihi ni rahisi kupiga hatua.Mazingira uliyozaliwa au home town yanaweza kuwa kikwazo cha mtu kutopiga hatua kivipi. 1. Marafiki uliokuwa nao, unapokuwa...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Mtu akikusanya matrilioni alafu akajenga banda la kuku huyo ni fisadi, BAKWATA wamekusanya matrilioni yako wapi?

    Sheikh Issa Ponda ambaye ni miongoni mwa Waislamu 12 waliofungua kesi dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na BAKWATA leo Machi 12, 2026 amewavaa vikali BAKWATA juu ya matrilioni ya fedha wanayoyapata lakini...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada, Kaka siyo kila kitu cha kwenye familia yako ni cha kumueleza mwenza

    Ni kweli ni mpenzi wako, lakini siyo kila kitu cha kwenye familia yako au ukoo wako anapaswa kujua vingine vibaki siri ya ukoo wako ili kuilinda heshima yako kwa huyo mwenza wako. Punguza kusema kila kitu kuhusu Wazazi, ndugu zako kwa huyo mwenza wako maana kama hana hekima kuna siku atavitumia...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi hawajui siri hii: Nusu ya kipato chako ndio kiwango cha matumizi yako hayatakiwi kuzidi hapo

    VIJANA WENGI HAWAJUI SIRI HII: NUSU YA KIPATO CHAKO NDIO KIWANGO CHA MATUMIZI YAKO HAYATAKIWI KUZIDI HAPO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Usijesema ooh! Mtibeli bahili. Ooh! Upare umekuharibu Mtibeli. Nope! 2. Hiyo ni siri za pesa ambayo hutaambiwa na watu wengi waliofanikiwa hasa...
  16. Red black

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wengi wameoa/kuolewa kwa kufata mkumbo na imewagharimu sana

    Jipange vizuri kiuchumu, tafuta mwenza sahihi, usisikilize maneno ya watu au fulani kaoa ngoja na mimi nioe try at you own risk. Jipange kwanza usifate mkumbo
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mama yako ndiye nabii nambari 1 kwako

    Mama yako ndiye anajua hatma yako tangu ukiwa tumboni au ukiwa mtoto mchanga. Kuna jambo anaweza kuongea kama masihara vile, wewe haupaswi kulipokea kama masihara. Mama yako akimwona mchumba wako tu anajua kuwa umepigwa au penyewe sema tu wamama huwa na tabia ya kupuuzia. Msikilize mama yako kijana
  18. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutalii peke yako for 3 days kwenye mbuga za taifa ni Tsh ngapi?

    Kwa mtu (raia wa Tanzania) ambaye anataka kwenda kutalii mbuga za wanyama kama Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha, Katavi, nk akiwa peke yake anapaswa kuandaa jumla Tsh ngapi for a 2-3 day trip Naona wanasema kiingilio kina vary kuanzia Tsh 10,000/= hadi 35000/= lakini swali langu...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania International Women's Day: Mtaje that special Woman ambaye amechangia pakubwa kwa life yako

    As we celebrate International Women’s Day, today tunataka kusikia story yako. Ni nani yule special woman katika life yako? Mama, sister, friend, teacher ama mentor… how has she impacted your life? Maybe alikusupport wakati mambo ilikuwa ngumu, alikuinspire kufuata dreams zako, ama...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa Internet: Kukosa access ya internet huwa kunaathiri vipi siku yako ?

    Leo hii watu wengi hutumia muda mwingi kwenye Internet iwe kwa smartphone, TV, games, Laptop, n.k. hasa kwa ajili ya burudani kama kuangalia videos za muziki, highlights za mpira, kucheza games, au kuperuzi mitandao ya kijamii. Je unapokosa internet, siku yako inaendelea kawaida au unahisi...
Back
Top Bottom