Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).
=================
(Full text from @EsirEid X-Twitter copy & paste)
KWA NINI NAUNGA MKONO MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA?
Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona tumepambana mpaka hapa?”
Kwanza, tusidanganyane kuhusu tulikotoka. Lissu aliwekwa kizuizini hata kabla ya...
Akizungumza katika mahojiano na M & S Podcast yaliyorushwa Septemba 9, 2026, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa Chama cha ACT-Wazalendo, Janeth Rithe, ameeleza kuwa mazingira ya sasa ya kisiasa nchini yanahitaji viongozi wenye kujitolea kama "sadaka" kuwa tayari kufa ikiwa una dhamira ya kuwa...
Unaweza ukaona kama una akili nyingi ukadhani huhitaji msaada wa Yesu.
Unaweza ukaona una pesa nyingi sana hivyo ukadhani humhitaji Yesu.
Maswali je unayo furaha ya kutosha, unayo amani ya kutosha? Unao upendo wa kutosha? Je unao uvumilivu na ustahimilivu wa kutosha?
Unamhitaji Yesu ndugu...
UZI ….
Wakati naanza kazi ya kuuza simu mwaka 2021 , kuna kitu kilinishangaza kidogo …
Wabongo wengi wakija dukani walikuwa wanaulizia sana Samsung , Iphones , Pixel , Tecno , Infinix lakini hali hii ilikuwa tofauti kwa wageni ….
Kivipi ?….
Idadi kubwa ya Wachina n Wahindi sana sana na...
I would like to raise a matter that I believe deserves serious reflection within the Commission’s responsibility for ensuring and maintaining quality in Tanzania’s universities.
Professor, as TCU continues to emphasize quality assurance in higher education, have you ever asked yourself whether...
IPO SIKU KIU YAKO YA ANASA ITAISHA, ILA UTAKUWA UMECHELEWA
Andiko kuu: Luka 15:11–24
Andiko la kutafakari: Mhubiri 12:1
Kuna wakati mwanadamu anaweza kuona maisha kama hayana mwisho. Ana nguvu, ana muda, ana marafiki, ana fedha au ana matumaini ya kupata fedha. Anaweza kutamani starehe, sifa...
Members.
KILA MTU ana maisha Fulani ivi ameyaishi. Katika ukuaji wake. Tukiwa bado wadogo tuna jishepu kutokana na maisha HALISI ya kwenu na wazazi wetu.
Mimi binafsi nimeisha maisha ambayo ata ukiniambia niyarudie sito kubali. Nimeisha katika MAZINGIRA magumu mno, KIASI Cha kujitegemea nikiwa...
Kwa upande wangu mimi kipande cha wimbo kinachoelezea mahusiano yangu hiki: May be this love not for me........ I'm single....I'm Single again by Konde boy
Wewe Je?
Wanabodi,
Lugha ya Kiswahili japo ni lugha rahisi na Kiswahili fahasa ni kigumu, na moja ya masomo magumu kupata alama ya A enzi zetu, lilikuwa ni somo la Kiswahili. Matokeo yangu ya form 4, nimepata A 2, ya somo la Siasa na somo la Kiswahili, hivyo mara moja moja, ikitokea kuna makosa madogo...
Wakati mwingine tunashindwa kupata amani katika maisha ya sasa kwa sababu akili zetu bado zinaishi kwenye yaliyopita.
Kuendelea kurudia yaliyotokea, au kujuta hakubadilishi matokeo; kunachukua tu muda na nguvu ambazo ungeweza kuzitumia kujenga maisha yako ya leo na kesho.
Kuachilia yaliyopita...
OFFA YA LEO TU.
Sasa unaweza kuiipatia email ya kampuni yako au biashara tako rasmi kwa Tsh.50,000 tu.
achana na gmail.com
bali utapata domain kama
biasharayako.co.tz na email tako rasmi yaani info@biasharayako.co.tz.
wahi sasa offa hii ni kwa wateja 5 tu.
Email yako utaipata ndani ya masaa...
"Usifanye kosa la kuruhusu shida ziungane dhidi yako, hakikisha shida haziwi na umoja, zifitinishe, zigonganishe na zichanganye kiasi kwamba badala ya kuhangaika na wewe zihangaishane zenyewe kwa zenyewe ili wewe upate muda wa kufurahia maisha katikati ya shida moja na ingine."
Habari Wakuu,
Umechosha na foleni? Umechoka na mfumo unakwama? Umejaribu kujaza maombi lakini umekwama katikati?
Usijali tena.
Nipo hapa kukupa suluhisho la haraka, la uhakika na la kitaalamu kwa huduma zote za serikali na kitaaluma mtandaoni. Kazi yangu ni kuhakikisha unapata huduma yako kwa...
Wakuu salama,
Kuna hili suala limekuwa likinitofautisha sana mawazo na marafiki zangu, nikaona si vibaya tukaleta hapa jukwaani ili tupate uzoefu wa pamoja na kubadilishana mawazo.
Wote tunajua kuwa urafiki wa dhati ndio msingi mkuu wa mahusiano yoyote imara ya kimapenzi yanayodumu. Lakini...
Wakuu, kama tunavyofahamu, hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa katika uongozi wa juu wa nchi yetu baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, na Bunge kumthibitisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati, kuwa Makamu mpya wa Rais.
Ndejembi...
Kama Usipojifunza kuchunga attention yako au nini cha kuzingatia na nini cha kukipuuza , watu wengine wataitumia attention yako kutengenezea utajiri wao .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.