Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).
Ndugu zangu leo naomba mawazo yenu maana imekuwa almost impossible kwangu kuweka simu chini hasa nipatapo free time.
Huwa na panga kitu fulani lakini unakuta nasema ngoja nichukue labda dk10 ni cheki yanayo jiri mitandaoni ila hizo dk 10 zina geuka kuwa hadi lisaa, na hiyo huwa ni baada ya...
Huwa natamani sana kubadilisha majina yangu yote matatu,najua haitobadilisha kitu kutoka kwa mzee wangu,atabaki kuwa mzee wangu hadi kiyama.
Je inawezekana au ni jina la kwanza tu..!?
Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika muache masihara kwenye mambo yenye usiriaz nadhani akili zitawakaa sana yakiwakuta personal ktk...
Mzozo kati ya majirani umeibua mjadala kuhusu haki, mipaka na namna tunavyoshughulikia migogoro katika maeneo tunayoishi.
Mwanamke mmoja amesimulia jinsi alivyokasirishwa baada ya jirani yake kudaiwa kutupa duvet yake mara kwa mara. Badala ya suala hilo kumalizika kwa mazungumzo, hali ilizidi...
#Tanzania Kozi 8 Zinazolipa kwa Dola leo hii Bongo hakuna vyeti!
1. FUNDI WA MIGODINI (Mining Technician) - Geita, North Mara, Bulyanhulu wanalipa Dola 4,000 - 12,000 Watanzania tuna madereva tu.
2. URUBANI WA BALLOON - Dola 600 KWA SAA 1 (Hii ndiyo fursa kali zaidi!).
3. TOUR OPERATOR WA...
Imani ya kale zaidi duniani kuhusu kioo inasema hivi: Taswira yako kwenye kioo si picha tu. Ni sehemu ya nafsi yako.
Katika tamaduni za kale, watu waliamini roho inaweza kujitenga na mwili na kuonekana kwenye maji yaliyotulia ama kwenye kioo. Kitu chochote kilichovuruga taswira hiyo...
Tulipanga siku, muda na hoteli ya kukutana, kama mnavyojua tena kunakuwa na hisia mchanganyiko, hamu ya kuonana, hofu na vitu kama hivyo.
Siku ya siku nikajiandaa mapema nilifika saa nzima kabla ya muda tuliopanga kukutana ili kuweza kuyasoma na kuyazoea mazingira ya hapo.
Sikujiandaa tu kwa...
Habari wakuu.
Kama unauza Gari yako itanunuliwa tu.
au unataka kubadirisha Gari yako kwa Gari nyingine nipigie simu.
Pia kama unarafiki yako anauza Gari nipigie simu tuokote pamoja.
Aina ya magari yanayohitaji ni haya.
(1) Subaru Non Turbo au Impreza.
(2) Gari yoyote aina ya Toyota.
(3)...
Mwanza ni jiji lililokuwa likivutia kwa mandhari yake ya kipekee ya miamba, vilima na uoto wa asili. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira, huku hatua za kudhibiti hali hiyo zikionekana kuwa ndogo.
Kutokana na ukuaji wa miji, maeneo ya vilima kama...
Ushawahi jiuliza inakuwaje tajiri anahonga hadi nyumba mwanamke lakini mwanae akimuomba hata ps3 anakuwa mkali sana,
Matajiri hutumia njia ya sex na mabinti wengi ili ku -extend energy ya utajiri wao wa giza.
Sasa unakuta hawa mabinti wana kuwa carriers wa roho nzito na giza ndani yao...
Na walizungumza nini kwa mfano?
Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana?
au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na...
Maisha ya kuangalia Jamii inasema nini?, Dini inasema nini? Elimu inasema nini ni maisha ya kitumwa na yaliyojaa ushindani, hofu na mashaka. Ni maisha yanayolipa suala la kushindwa kipaumbele kuliko kushinda. Ni utumwa na gereza kuu dhidi ya uhuru wa mtu halisi.
Mtu anapojirejelea yeye ndiyo...
Kosa kubwa zaidi ambalo mwanaume anaweza kufanya katika ulimwengu wa leo siyo kufeli kibiashara, bali ni kumkaribisha mwanamke anayekuja kuharibu amani yake ya ndani. Maisha ya mwanaume ni uwanja wa vita wa kila siku; anapambana na uchumi, ushindani wa mtaani, na presha za jamii. Nyumba na...
Je! Umechoka kuishi ukisubiria miujiza kutoka juu? Umekuwa ukiomba msaada kutoka kwa nguvu unayodhani ipo mbali nawe?⭕⭕⭕⭕⭕⭕
Ni wakati wa kufumbua macho yako sasa🚨
Ukweli wa ndani ni huu : Wewe si mtazamaji au muhanga wa maisha yako ila ni muumbaji.🗽
Ndani yako Kuna cheche ya uungu- Haupo...
Hiyo post ya Lema ya kuahirisha press inaonesha ni kweli anatishiaga kufanya press na hiyo post yake anamaanisha Heche kambembeleza kwa hotuba ndo mana akaahirisha na hiyo kusema ameahirisha ni KITISHO kuwa wakimzingua anaita press anamwaga uharo wa Heche sababu Lema inaonesha kabisa hampendi...
=================
(Full text from @EsirEid X-Twitter copy & paste)
KWA NINI NAUNGA MKONO MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA?
Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona tumepambana mpaka hapa?”
Kwanza, tusidanganyane kuhusu tulikotoka. Lissu aliwekwa kizuizini hata kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.