yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania ML. MJEMA omba Mungu dhidi ya Familia Yako na uzao wako Mungu Ameshuka amesema ujiuzulu

    Omba Toba Sali Omba toba mkono wako wa kiume ulitumika kumtia mkeo mimba zote Omba msamaha kwa Ajili yake Tafadhali Bado unapendwa tuliza akili hacha siqeaa baba hata ulisema unitafte unitese haitosaidia fanya nilivyosema
  2. JamiiForums Tanzania Gorofa yenye master bedrooms juu siyo ghali kihivyo so timiza ndoto yako usiogope call us +255624004650

    HAPA CHINI 3BEDROOMS JUU MASTER BEDROOMS NA KASEBULE KDGO YAAN SIMPLE NA AFFORDABLE SANA PLOT SIZE KUANZIA 20X20M AU 20X30M UNAHITAJI NN ZAIDI CALL US +255624004650 OFISI ZETU ZIKO SINZA DAR ES SALAAM PICHA ZA IDEAS ZINGINE KWA CHINI
  3. S

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kupunguza matumizi ya kifurushi Cha Intaneti kwenye PC kompyuta Yako?

    Unahitaji kupunguza matumizi ya kifurushi Cha Intaneti kwenye PC kompyuta Yako? Jipatie Data saver programu. Utaokoa matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti Eneo: Dar es salaam, Mbezi Gharama: 10,000 Tshs Mawasiliano: 0756704145
  4. JamiiForums Tanzania Leo ni Juni Mosi 2025 – Je, Malengo yako yanatimia?

    Wanabodi leo ni Juni 1, 2025. Nusu ya mwaka imekatika. 🎯 Malengo Yako Mwaka 2025 – Je, Upo Njia Sahihi? Tukumbushane wanabodi. Muda hausubiri mtu; na uzee ndiyo unasogea. Ni wakati mzuri wa kujipima, kujikagua na kujisukuma zaidi. ✅ Jiulize Maswali Haya: - Niliweka malengo gani mwezi...
  5. JamiiForums Tanzania Google play store sasa inaweza kujibu maswali yako yote kuhusu app unayotaka kudownload

    Kampuni ya Google kupitia program yao ya Google play store imefanikiwa kuzindua feature mpya inayotumia muundo wa akili bandia (AI), kwa kuweza kumruhusu mtumiaji wa play store kuweza kuuliza app wanayotaka kuipakua ikoje kama hajaamua kuwa nayo kwenye simu yake. Feature hii inatumia...
  6. JamiiForums Tanzania Sio mwana×2 Ngoma sio yako unaicheza! Unaicheza.. Huko ni kuvuka Mipaka

    Kumekuchwa! Gwajima ameambiwa Ngoma sio Yake anaicheza, ataharihu. Lakini mwimbaji wa singeli yeye anakuambia; Sio mwana! Sio mwana! Ngoma sio yako unaicheza! Unaicheza! Huko ni kuvuka Mipaka. Majibu hayo yanaonyesha wazi kuwa alichokisema Gwajima ni sahihi kabisa. Lakini ishu inakuja...
  7. JamiiForums Tanzania Ukikwepa sana ghalama za ujenzi utaharibu ubora wa nyumba yako

    Akilini kwako unatakiwa kujua kuwa Ujenzi ni gharama. Unapaswa kutumia gharama kwa busara ili kupata ubora bila kuingia kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Watu wengi hujarahisisha kazi wakidhani wanapunguza gharama, lakini mwisho wa siku, gharama huongezeka zaidi kwa sababu ya marekebisho na...
  8. JamiiForums Tanzania Tumia hizi 48 Laws of power kwenye bishara yako part 2

    13. Ask for help based on mutual gain. Huwa tunasema, ukitaka msaada toa msaada kwanza. Mfano mwenzako anauza vitamba ila ni fundi cherehani, mwambie utakuwa unanunua vitambaa kwake na yeye wakija wateja awe anawaelekeza kushona kwako. Au kwa kuingia patnership ya kugawana wateja, Nakutangaza...
  9. JamiiForums Tanzania Wanafungaje NIDA yako eti usipojiandikisha? Tokea lini haya mambo yakaingiliana? Mwenye taarifa zaidi atujuze!

    Mwe taarifa tunaomba.
  10. JamiiForums Tanzania Tumia hizi 48 Laws of power katika biashara yako

    1. Never outshine your client Mfanye mteja wako aone bidhaa au biashara yako ipo kwa ajili yake. Asione kama anakupatia pesa yake bali ajione atapata faida kubwa sana kulinganisha na huduma anayoipata. Tunafanya hivi kwa kutoa huduma katika mfumo wa packages ili mteja aone amepata vitu vingi...
  11. JamiiForums Tanzania Kafara Katika Kuvuta Wateja Katika Biashara Yako

    Katika mfumo wa maisha tunayoishi, imejengwa misingi kwamba, wengi wawe masikini na matajiri wachache. Kwa hivyo, kama upo kundi la umasikini, kutoka humo siyo kazi nyepesi, ni lazima uzijue kanuni za kiulimwengu. Kuanzisha biashara ni jambo jepesi kupata wateja ni jambo gumu. Wateja wengi ni...
  12. JamiiForums Tanzania Wewe / Jamaa yako anafanya biashara / kazi ipi inayomuwezesha kumudu maisha?

    Huenda ukawa ni wewe, ama ukawa hutaki kuwa wewe, let say jamaa yako (kwa ME) ama shosti wako (kwa KE), anafanya biashara gani inayomuwezesha kumudu familia? How such business is running? Changamoto je? Mtaji? Tusaidizane mawazo kwa kuwa sisi sote tu watoto wa Mama mmoja, Mama yetu mpendwa...
  13. JamiiForums Tanzania Unajua kama raia una wajibu kwenye ulinzi wa uhuru, mamlaka na umoja wa Taifa? Timiza nafasi yako

    Wewe kama raia una wajibu wa kuhakikisha unadumisha uhuru,amani na umoja katika nafasi mbalimbali ili kuimarisha huduma za kijamii na kiuchumi. Kama raia unatakiwa kudumisha uhuru,amani,umoja na kulinda rasilimali za nchi Ikiwa raia hatalinda hatotekeleza wajibu huo basi anaweza kushtakiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya kutunza ndugu zenu. Miaka yote ulimficha mama yako sababu amechakaa

    Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki. Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa. Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama...
  15. JamiiForums Tanzania Andaa kesho yako, leo muda si rafiki sana

    Miaka ya nyuma akili yangu iliwaza kwamba tajiri ni mtu mwenye fedha za kutosha na sikuwahi kuwaza kwamba tajiri mbali na kuwa fedha ila anaongozwa na umiliki wa asset za kutosha. Tajiri anayemiliki ardhi ya kutosha na ndani yake akaweka mazao ya muda mrefu Hadi kuvuna ni tajiri mwenye maono...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Dini ni ugonjwa wa akili, unaweza ukakufanya ujione tofauti na ndugu yako wa Damu

    Tarehe 26-May ni siku ambayo Wayahudi wanasherekea kuukomboa mji wa Yerusalem Mashariki ya kati, Wale wayahudi wenye itikadi kali hutumia siku hii kupita katika Nyumba, maduka ya Waarabu na kuwadhihaki na kuwafanyia fujo. Tazama video na Picha hapo chini...
  17. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mfanyabiashara una taasisi yako unataka iwe inaonekana kwenye Google map yaani raman ya dunia nichek

    Kama wewe ni mfanyabiashara una biashara yako unataka iwe inaonekana kwenye Google map yaaani mtu ata aki request a Afike hadi dukani kwako yaani duka linaonekana kwenye raman Ya dunia kama unataka iyo nicheki 0743 257 669 nikusaidie
  18. R

    JamiiForums Tanzania Asante Maria Sarungi kwa kutetea nchi yako hapo Oslo kuhusu kifo cha demokrasia Tanzania na utekaji

    Well presented with illustrative cartoons to drive the points home. Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo Mwanzo: Dakika ya 20:22 Mwisho: Dakika ya 37:26 https://youtu.be/F2RbjppeaKc
  19. JamiiForums Tanzania Mbinu hii itakupa viewers wengi kwenye content yako. Pesa ipo mtandaoni vijana.

    Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya kawaida kabisa ikapata viewers million 1 kwa siku mbili au moja. Nina account Instagram ila hata...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia acha kulaumu watu kwa matitizo yako!!

    Raisi Samia acha kulaumu watu na kutuingiza kwenye matatizo yako binafsi 1. Hatuongiliwi na Kenya ni unyanyasaji, utekaji na kesi zisizo na mshiko kwa wapinzani wako ndizo zimeleta matatizo. Ubinafsi wako ndiyo umetufikisha hapa . Sasa usitake kutuletea matatizo na Kenya kwasababu ya uchungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…