yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Rorscharch

    Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  2. Smart Eagles

    Pendezesha kuta za nyumba/ofisi yako kwa taa hizi za urembo

    Bei ni 20,000/= kwa taa 1. Tunatuma nchi nzima. Utalipia baada ya kupokea mzigo. Karibuni. https://smarteaglescompany.blogspot.com/2025/01/hizi-ni-taa-za-kisasa-kwaajili-ya.html
  3. Equation x

    Swali, Youtube huwa wanalipa kutokana na nchi uliosajili chaneli yako?

    Nimeona baadhi ya chaneli za Youtube, zinazomilikiwa na watu wa huko US, Canada, UK, Nigeria, SA n.k ambazo baadhi zina maudhui ya kusaidia wahitaji mbalimbali ili kuvutia watazamaji. Kinacho nishangaza zaidi, kila video wanazozitoa ni kusaidia tu watu; sasa najiuliza, ina maana huko kwao...
  4. R

    Mke sio ndugu yako, siku ukifa, kwenda jela hata ndoa ikivunjika anaweza kupata mume mwengine lakini wanao na ndugu hawawezi kukubadili

    Hamjafika hata miaka 20 kwenye ndoa unapata wapi ujasiri huu wa kumpa mkeo hadhi ya undugu ? KWENU MLIOJISAHAU, TUNAKUMBUSHANA TU.
  5. kiss ov love

    Ni aibu gani umeshawahi kupata kwenye maisha yako??

    Mimi niliwahi kuitwa mahali na mtu nikaenda hiyo sehemu nikakutana na marafiki zake, sasa huyo mmoja niliwahi kudate nae aisee hii aibu ilikuwa kubwa sana na huyu jamaa niliekuwa nae akawa ananiintroduce mimi mtu wake nini ana furahia😁😁 After hapo yule jamaa nadhani alipewa taarifa na rafiki...
  6. Mwanadiplomasia Mahiri

    Bajeti yako ya mwisho kabisa kwenye kununua simu ni shilinga ngapi?

    Huwezi kununua simu inayozidi sh ngapi? Tushirikishe…
  7. Lord Denning

    Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

    Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha. Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji. Najua mnajua namna gani nchi hii...
  8. Cute Wife

    Wazee wa kuomba ban mnatuangusha, kweli mnataka Derby ipite hivi hivi bila kutetea timu zenu? Hakuna anayejiamini?

    Wakuu, Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?😂🤣🤣 Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes:BearLaugh::KEKLaugh: Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi...
  9. Scared

    Hivi mtu unawezaje kujenga nyumba yako kwenye ardhi ya wazazi na ukaishi na familia yako hii akili au matope

    Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu...
  10. Right Marker

    KARIAKOO DERBY: Jumamosi yako itakuwa mbaya kwasababu team yako itafungwa

    KARIAKOO DERBY Usilolijua ni kwamba, Jumamosi ya wiki hii ni lazima siku yako itakuwa mbaya (itaharibika) kwasababu Jumamosi ya terehe 08/03/2025 team yako pendwa itafungwa. Ili usiendelee kupata maumivu na kwa vile maisha ni matamu mno nakushauri baada ya Jumamosi; fanya uamuzi wa kuhama Team...
  11. M Hacker

    Soma katiba ya nchi yako ujue sheria na haki yako uwe jasiri maana tunaongozwa kwa katiba

    Maneno hayo yana ukweli mwingi. Kujua Katiba ya nchi yako ni muhimu sana kwa sababu: Inakupa Ufahamu wa Haki Zako – Unapojua haki zako, huwezi kudhulumiwa kirahisi, na utaweza kuzitetea ipasavyo. Unajua Wajibu Wako – Katiba siyo tu kuhusu haki, bali pia inabainisha majukumu yako kama raia...
  12. GENTAMYCINE

    Mwijaku kuwa makini sana na Kauli zako za kumtaka Shemeji yako Aziz K apigie mbali ili atufunge tarehe 8, kwani tutakupiga / utapigwa uje Kutulaumu

    Yaani umealikwa katika Futuru kwa Aziz K kutokana na Njaa zako, umeshiba unaanza kumwambia Aziz K atufunge J'Mosi.
  13. Dr Luu

    Nguvu ya maji ya chemchem kwa afya yako

    Habari, Fahamu nguvu iliyopo juu ya maji ya chemichemi yakunufaishe. https://youtu.be/O4fUTm3_7NQ?si=HWHHkFS5RoWGowEo
  14. greater than

    Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia. Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000 Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao. Wasio na Pensheni. Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau. Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
  15. Doyi

    Uongozi serikali ya mtaa babati mjini kwa hili vumbi mnalotulisha wapiga kura wenu ni haki?? Mkurugenzi na timu yako mjitathmini

    Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
  16. Dogoli kinyamkela

    Watu wanaweza wasielewe thamani ya matendo yako leo, lakini watatambua umuhimu wako ukishaondoka!

    Nyani na tumbili walipojua kwamba mkulima aliyewafukuza kutoka kwenye shamba la mahindi amekufa, walisherehekea kwa furaha. Lakini mwaka uliofuata hakukuwa na mahindi tena. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu kwamba mkulima waliyemdhania kuwa adui yao ndiye mkulima aliyelima mahindi. Watu...
  17. Mlaleo

    Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

    Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na Antonio Costa wanamhakikishia kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky uungwaji mkono usioyumba wa...
  18. ELI COHEN

    Ndio tunaingia mwezi wa tatu wa mwaka huu mpya, vipi unaonaje mwelekeo wa mipango (resolutions) yako ya mwaka huu? Apeche alala au Apeche alolo?

    All in All ukata ni wa moto sanaa tena ukiongezea na hili jua kali hivi unachomeka kisawa sawa hadi unaanza kunukia kama ndafu. Ila tushazoea Uafrika wetu huu, mapambano yanaendelea hadi hio 31st of december.
  19. Right Marker

    Ladha ya ndoto yako itapotea pindi utakapoiweka hadharani

    Ndoto yako ukiitangaza kwa mtu au watu ni ngumu sana kuitimiza kwasababu tayari ushaitimiza kwenye matangazo yako. Ladha ya ndoto yako itapotea pindi utakapoiweka hadharani. Hutotamani kuendelea nayo kwasababu tayari umeitangaza kwa watu na imepoteza ladha kwenye moyo wako, na mbaya zaidi...
  20. GENTAMYCINE

    Nakuomba tuliza Akili yako na niambie kwa hii Kauli ya Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto umegundua nini kilichojificha?

    "Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto. Chanzo: minotv_tz Na ndiyo maana kutwa huwa Nawadharau mno Wanaume ambao wanafanya Kosa hili la Kiufundi la kwenda Kuoa Mwanamke...
Back
Top Bottom