Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Mwezi huu peke yake mpaka kufikia Leo nimebadili taarifa za Kampuni 3 Tatu, hizi ni steps nilizotumia kubadili taarifa za Kampuni hizi ambazo ukizifuata utabadiki taarifa za Kampuni Yako ndani ya dakika 15 Tuu.
1. Log in kwenye website ya Brela ORS
2. Chagua new services hapa zitakuja list ya services tano
3. Chagua change particulars of the company
4. Jaza taarifa za Kampuni (Incorporation number) na subiri taarifa za Kampuni ziweze ku load.
5. Jaza taarifa husika unazotaka kubadili
6. Upload forms mbili (Brela form no.111) na (Company special resolution)
7. Lipia Fee Tsh. 44,000
Mpaka hapa utakua umemaliza process zote kwa upande wako.
Utasuburi Brela waweze ku process Ombi lako ndani ya 3 business days.
I hope this helps.
Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara na Kampuni, kama unahitaji msaada zaidi juu ya kusajili Kampuni au kubadili taarifa za Kampuni Yako unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi 0678131068
Consultation ni BURE
Your Favorite Lawyer.