Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).
Sukari tunayoihitaji mwilini tunaipata katika vyakula tunavyokula. Chapati, majimbi, viazi, mkate vyote hivi vinatupa sukari. Unaweza kabisa kunywa chai bila sukari.
Wana historia wanasema kabla ya kugundulika kwa sukari, ingawa afya ya meno haikuwa bora kama ilivyo sasa lakini matatizo ya...
Heri ya mwaka mpya wakuu!
Kwa wale wanaofanyia kazi nyumbani unaweza kutushirikisha ni internet ipi unayotumia na gharama zake zipoje pia. Na kama hutojali unaweza kushare desk setup yako tuweze kuona inamuonekano gani.
habari ndugu zangu
chukua dakika chache kumshukuru Mungu kwa wema na Fadhila zake juu yetu.katika maisha ya mwanadamu kuna vipindi fulani ambavyo kama wanadamu tunapitia, kuna vipindi vingine vinakuwa vigumu sana kiasi ambacho tunatamani hata kujiondoa hapa duniania hii haimaanishi kuwa Mungu...
Mfano umepanga Kukutana na mtu ambaye humjui sura kwa jambo la msingi Stend ya Mabus ya Magufuli,Mbezi.
Baada ya kupanga kuwa mtakutana pale, ghafla ukapoteza simu na namba yake huijui.
Kwakua tayari mlikuwa mmepanga kuonana unaamua kwenda tu.
Baada ya kufika, unakuta kuna watu wengi...
UKIWA KIONGOZI WA UMMA CHUNGA NDIMI YAKO USIJE KUWA KITUKO KWA MANENO YAKO
Na Unoko ni Uzalendo
Ukiona mtu anaweweseka kwa sauti serikali kukopa muulize je yeye hana mkopo na kama anao Bondi ya huo mkopo ameiweka serikali au mali zake binafsi?
Kuna wakati tusijifanye tuna uzalendo wa hii...
Hivi dada yako ukimfumania ugoni na jamaa mwingine tofauti na mume wake unaweza kumkamata ugoni?
Naomba mnisaidie ushauri wa haraka ili nijue cha kufanya.
Silaha ya mwanadamu ni fikra na katika historia ya maendeleo ni fikra mpya ndio zilizofikisha wanadamu tulipo leo katika kuelezea maendeleo yetu.
Majuzi tumepeleka ‘James Webb’ telescope zaidi ya mile million 100 na sayari yetu ilipo na scientific reasoning ya hali ya juu ilitumika ili kuweza...
Ulivyoagiza gari yako ufunguo wa akiba..uliukuta sehemu gani?
Njooni tupeane maujanja. Kuna gari moja niliiagiza ufunguo wa spare niliukuta ndani ya Manual book ya gari. Kwenye gari nyingine baada ya kutafuta sana.. nilikuja kuukuta kwenye hivi vidroo vidogo dogo ambavyo vipi kwenye dashboard...
Wazee wenzangu wakulugwa tumepigwa saana.... Wasalaam?!
Nikiri nilikua na ndoa swafiii, ila sasa imeota mbaya kwakua mwenzangu alinogewa na show ya nje nkaona sio shida nkamwambia ahamie kabisa japo niliumia.
Sasa naishi kisela kijana wa watu mwanzo niliwahi majuku kabla miaka hata 30 nshaoa...
Niaje wadau wa JF
Niko na mdau mmoja hapa anadai binadamu tuna sura za aina mbili, sura ya mbwa au sura ya paka. Sura ya mbwa anamanisha ni kwa wale wenye sura ndefu hivi. Sura ya paka anamaanisha ni kwa wale wenye sura za duara. Nikamuhoji mbona kuna jamaa falani ana kimdomo kama cha samaki...
Sijajua watu wanafukua wapi hela, Kila siku huku Dar Nakutana Na land cruiser v8 zenye condition nzuri tena Gari binafsi zenye Plate number D, najiuliza na hii mishahara midogo ya taasisi za kibongo ya laki 8 kwa mwezi, watu wanawezaje miliki Na ku-maintain gari ya Tshs million 80 - million 200...
Mwaka ndio unaelekea mwisho, na ni wakati wa kufanya majumuisho. Kuna mengi ya kuangalia, lakini kwa leo tuangalie mifumo.
KWA WATUMIAJI WA MIFUMO
1. Umetumia mfumo gani 2021?
2. Experience yako imekuwaje mwaka huu 2021?
3. Unadhani mfumo husika umekidhi mahitaji yako na unataka kuendelea nao...
Imenishangaza kidogo kuona clip hii ambayo inazungumzia kiumbe aliyemlazimisha adamu kumwasi Mungu.
Ina maana huyu joka, ndiye anayeendelea kudanganya watu wauane, wachinje wenzao na kuendeleza vurugu duniani hadi sasa?
Naomba uwafikishie hii clip watu wote wanaomwabudu nyoka ili yamkini...
Habari wana JF!
Hizo ni baadhi ya picha nilizopiga mimi mwenyewe katika mikoa mbali mbali hapa Tanzania na ninazozipenda wakati wote na zinafaa kwa wallpepar nasuburi uzi wenu wana JF
Thank you🙏
photography17
UZITO ULIOPITILIZA
Mgawanyo wa uzito kwa BMI hapa chini
Uzito ulio mdogo
<18.5
Uzito wa kawaida
18.5-24.9
Uzito uliozidi
25-29.9
Uzito uliopitiliza(obesity)
30-39.9
Uzito uliopitiliza na hatari zaidi
BMI
Huu ni mfumo wa ukokotoaji wa uzito wa mtu(KG) chini au ugawe kwa urefu wake(urefu...
KATIKA MAISHA YAKO YA SIASA EPUKA MAMBO HAYA;
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Endapo utapenda uongozi na utawala, mpaka ikakubidi kujiingiza kwenye mapito ya kisiasa, basi nakusihi Epuka mambo haya ili uwe na Amani hata siku ujapoondoka duniani.
1. Epuka kumwaga Damu isiyo na hatia.
Fanya...
Nimesoma Dar, nimeishi Dar kabla sijahamia Mkoani Ruvuma, kusema kweli Dar imekuwa na sifa kuu 3
1. Uchafu
2. Mipango miji mibovu iliyopelekea ujenzi holela wa Makazi hadi maeneo ya biashara( vibanda vya machinga)
3. Joto na foleni za Barabarani
Namba tatu ni sababu zilizo nje ya uwezo wa...
Wanajamvi mnanielewa vema kwenye masuala ya msingi siyumbagi na kuangalia Kama ama Nina rafiki ataonaje msimamo wangu!
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.