Je, kuna kweli wowote?

Je, kuna kweli wowote?

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
529
Reaction score
905
Haha hii kitu ni real Mzee alikuja kututembelea, akakaa siku kadhaa akaondoka akapita kwa sister alale then kesho yake asafiri. Sasa siku anaondoka mwanangu alilia sana hadi usiku nguvu zinamuisha analia tu haumwi hana shida yoyote, wakasema muwahini babu yake kabla hajasafiri.

Kweli tukamuwahi mzee tulipo mpata akambeba akamwambia. MDOGOWANGU UNALILIA JINA LANGU, HAYA KUANZIA LEO WEWE NI AMANDUS yani jina lake mzee. Kuanzia pale mwanangu alinyamaza kimya akaacha kusumbua hadi sasa ni mkubwa tusha sahau. Nahisi kuna uhusiano wa imani za kale hapa.

1000128519.jpg
 
Itakua mkuu, mambo ya mila na desturi ayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom