Coach Pedo Valdemour Soares, ambaye ni raia wa Ureno tayari yupo nchi ili kukinoa kikosi cha mabingwa wa kihistoria nchini na club kubwa nchi na ukanda huu wa CECAFA Young Africans
Coach Pedro Valdemour Soares amewahi kufanya kazi Sporting sp, De Augosto, na Angola national team
Coach Pedro...
Kwa namna nilivyotazama zile Damu sioni kama Balozi anaweza kuwa hai, nawaza tu baada ya zile damu kumtoka alipelekwa wapi? kama hajapelekwa hospitali anawezaje kuwa hai napata mashaka sana balozi inawezekana kabisa hatupo naye.
Ni mawazo tu.
Habari,
Binafsi naupenda sana mji wa Goba kutokana na Geographia yake, ukiwa upande wowote unaweza kuufikia mji wa goba bila changamoto yoyote
Mbezi shule kupitia masana unafika goba
Mbezi luis kupitia goba road unafika goba
Kimara mwisho kupitia matosa road unafika Goba
Mlimani city...
Hawa wahuni na Genge lao , Suala la Maandamano limewatikisa sana .
Wamekaa kikao na kukubaliana kua, Wawakamate Top Officials wote wa CHADEMA wawekwe Ndani ,wake nao mpaka Huu Uchaguzi wao waloupanga Oktoba 29 upite, Kisha wawaachie .
Hofu ya Wapuuzi Hawa ni kudhani kwamba Viongozi Hawa wa...
Ugonjwa Wowote? Hii Mchanganyiko Asilia Inaweza Kukusaidia
Asali na mdalasini ni zawadi kutoka kwa Mungu ambazo zimekuwa zikitumika kwa maelfu ya miaka kutibu maradhi mbalimbali. Mchanganyiko huu wa asili una uwezo wa kupambana na bakteria, kuimarisha kinga ya mwili, na hata kuzuia magonjwa...
Kama ni kweli hawa watakuwa binadamu wa namna gani?!!! Inakuaje watu saba wamuingilie mtu, tena kinyume na maumbile halafu anakenua tu?!! Hiyo double anal penetration (dap) nayo sielewi tu.......mpaka mtu afanye hivyo (uume mbili kuingia kwa pamoja njia ya haja kubwa) binadamu huyu alikuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana.
Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au...
Wakuu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa CPA Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa.
Ajenda bado haijajulikana ila pengine anatangaza majina ya walioteuliwa rasmi kwenye mchakato wa wagombea wa CCM
Kaa karibu na uzi huu kujua nini kitajiri
Kwenye mahusiano mengi wapenzi hua wanatamani kujua body count zao, sasa nilikua naulza je ni sawa ??
Kwa sababu mimi sioni umuhimu wa mpenzi wangu kujua body count yangu kwasababu haina msaada kwake na spendelei kabsa maswali ya mtindo huu
Makamu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Taiwan asema kuwa China iko karibu kuivamia, hii inatokana na mitikasi ya China kuizunguka Taiwan hivi karibuni.
Je Taiwan itaweza mzuia China asifanye jambo lake?
China atakubali aibishwa na Taiwan?
Je washirika wa Taiwan watamsaidia?
Pengine baada ya mkeka huu wa leo, utafungua mengi sana tuliyokuwa hatuyajui katika ulingo wa siasa za chama kikongwe,
Tuwe na staha katika kuwasema waliokatwa, kwenye siasa chochote kinaweza kubadilika kwa muda wowote! na wakati usiotarajiwa!
Tuwape muda...pengine ukarasa mpya wa mabadiliko...
Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri.
Yani wakishaseti Server, Database na Network kinachobaki huwa ni kutazama kila kitu kinaenda...
1. Mwalimu wa kiume anayefundisha shule za wasichana
-Huyu muda wowote kinaumana
2. Mwanajeshi anayefundisha au kusimamia kuruti wa kike
-huyu pia mambo yanaweza kwenda kombo muda wowote kama hatakua makini
3. Askari anayeingia ulinzi akiwa na silaha
4. Daktari anayehusika na wajawazito
5...
https://youtu.be/pbWyJh60zWk?si=arsKsXtmfdkBEJf-
Huyu mzee amewahi kuwa kiongozi Mwandamizi wa serikali ktk awamu za u Rais wa Nyerere, Mzee Mwinyi na mpaka awamu ya Mkapa na anachokisema hapa ni wazi anakijua, habahatishi
Anashangaa kuwa, kuna watu (viongozi) ukiwaona wamevaa suti au kanzu...
Kwanza niweke record sawa mimi sitetei Feminism......na sio feminist at all.
Jana nimetizama mechi kali sana ya wanawake kati ya Nigeria vs Tunisie wao wanaita Wafcon... (3-0)
Niseme ukweli wale wanawake ni wachezaji wepesi, wazuri sana na wana kasi pengine kuzidi baadhi ya wanaume.....
Yaani...
Nabii Dominiki Kiboko ya Wachawi aliyekuwa akiongoza kanisa lake kule Temeke Buza kwa Lulenge ameonekana akijipost video huku akicheka na kutoa maneno ya kejeli.
Mwenyewe anadai eti anashangaa sana na kusema dunia haiko fair.
Anasema haelewi wala haiingui akilini kuona Kichwa kama Tundu(...
Katika kupitia historia ya mpira bongo kuna mtu alinisanua kuhusu timu inaitwa Pan African, kwa maelezo yake anasema ilishawahi kufika robo fainali CAF champions league, katika kupitia mtandaoni kwel naona kuna taarifa za CAF Champions league ila sio za robo fainali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.