wote

  1. JamiiForums Tanzania Mama Samia, piga chini wale wote walioshiriki kuhujumu uchumi, uwekezaji na biashara!

    Msimamo wa Rais Samia Suluhu sasa unaanza kueleweka vizuri. Yale tuliykuwa tukilalamika mitandaoni kutwa kuchwa ameanza kuyashghulikia bila kupepesa macho wala kupoteza muda. Tlilia kuwa kuna juhudi za makhsusu za kwafilisi wazalendo walipa kodi, laki wengine walikejeli na hata Waziri Mwigulu...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

    #HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari. NB: Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...
  3. JamiiForums Tanzania Nawaomba Radhi wana Simba wote. Nimekosa mimi, nimekosa sana

    Mara nyingi nimekuwa nikijihusisha na kuiombea mabaya club ya Simba. lakini imekuwa kinyume sasa. Naacha hizo habari kwa matches za Kimataifa. Nmegundua nitapata ugonjwa wa moyo bure na kufa kwa kihoro. Tubaki kutaniana matches za ndani. Za nje nakubali Simba ni Team kubwa kwa Afrika zama Hizi...
  4. JamiiForums Tanzania Walaka kwa waumini wote wa bwana yule

  5. JamiiForums Tanzania Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

    Dar es Salaam. Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye. Uamuzi huo unaweza kuwa habari njema kwa watumiaji wa mitandao ya simu ambao, tangu kutangazwa kwa bei hizo mpya mapema leo Ijumaa...
  6. JamiiForums Tanzania Tuliwaambiaga mkatupinga na mkatukatalia. Sasa wote tunaona jinsi Rais Samia anavyorekebisha

    Ni mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia. Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza kuondoa Mambo Yale yaliyokua yanaumiza wananchi lakini watu waliiogopa kusema.Mama kwa mda mfupi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Chadema wako sahihi kutoshiriki uchaguzi kwa sababu wabunge wao wote 20 ni kama wako CCM

    Katika hili la kutoshiri uchaguzi mimi nakubaliana kabisa na Chadema kwamba wamefanya maamuzi sahihi. Kwani wale wabunge 20 wa Chadema mule bungeni wanafanya kazi gani yenye maslahi kwa upinzani. Wao muda wote wanarandaranda na viongozi wa CCM akina babu Tale. CHADEMA komaeni hivyo hivyo hadi...
  8. JamiiForums Tanzania Mzungu na mwafrika wote tuna exchange hakuna mshamba kama sio wote ni washamba

    Mzungu ananunua vinyago na tamaduni kadhaa za asili kutoka Afrika kwa mwafrika. Mwafrika ananunua teknolojia ya mzungu kisha anatumia wala hawezi kununua tamaduni zake kwa kuwa anazo. Kila mtu anataka kipya Angalia waafrika wangapi wana vinyago ama michoro ya asili majumbani mwao. 😀😀😀 Sijui...
  9. JamiiForums Tanzania Tukusanye ule utabiri wote wa Samia kuwa Rais wa Tanzania

    Aisee ama hakika nlikuwa naperuzi peruzi page ya Instagram ya Madam President, aisee nimeshitushwa na mambo mawili. 1. Mara zote tangu awe makamu wa Rais 2015, amekuwa akiji promote kwa hadhi ya juu sana. Na hapa ndipo nimegundua ule msemo wa Bosi wangu Mkaburu 'Always promote your self'...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Mtu ukapendwa au ukakubalika na watu wote?

    Baada ya huu msiba nimejikuta najiuliza maswali mengi na hili ni moja wapo na bado sipati jibu sahihi. Kwamba pale unapozungukwa na kundi la Watu na upo mbele yao ukilazimika kuwapendeza miongoni mwao na huku ukijua kabisa wapo utakawaudhi nini ufanye kwa mtihani kama huu?
  11. JamiiForums Tanzania Kuna haja Marais wote wajao wa Tanzania wawe wanatoka Zanzibar

    Kwa miaka mitano na ushee tukiwa chini ya Rais Magufuli tumeshuhudia utamaduni mpya ukijengeka Tanzania. Nchi imepoteza utaifa na sasa kuna ukabila, ukanda na ubaguzi wa kimaeneo! Kwa miaka mitano tumeshuhudia uwekezaji katika maendeleo ukiwa zaidi kanda ya Ziwa na hasa mikoa ya Geita, Mwanza...
  12. JamiiForums Tanzania Uungwana: BAVICHA yatoa Shukrani kwa wote waliochangia pesa za kulipa faini ya Yericko Nyerere Mahakama ya Kisutu

  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kuwajibika kwa kudanganya Taifa lililokuwa na taharuki kubwa

    Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea. Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nimeupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili, kazi ya Mungu haina makosa

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  15. JamiiForums Tanzania Baba Askofu Bagonza: Naendelea kuleta salaam za pole kwa watanzania wote. Poleni kwa msiba mzito. Faraja ya kweli itufunike sote

    Anaandika Baba Askofu Bagonza MASUALA siyo MAJINA Naendelea kuleta salaam za pole kwa watanzania wote. Poleni kwa msiba mzito. Faraja ya kweli itufunike sote. Katika nyakati za kutafuta au kuchagua Viongozi, Baba wa Taifa alikuwa akisisitiza umuhimu wa kuchambua na kuorodhesha masuala kuliko...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu? ====== 37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Mama Samia na wengine wote wamevaa Barakoa

  18. JamiiForums Tanzania Mufti wa Tanzania asema maadili ya Uislamu yanataka marehemu wote wakumbukwe kwa mazuri

    Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zuberi ametoa pole kwa Watanzania wote na walioguzwa na taarifa za kifo cha Rais Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021. Amesema kwa maadili ya dini ya kiislamu marehemu anatakiwa kukumbukwa kwa mazuri. Hivyo ametoa wito kwa watanzania kukumbuka mazuri ya Rais...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote

    Ni wakati wa kumwomba Mungu. Ni wakati wa umoja. Tanzania nakupenda.
  20. JamiiForums Tanzania Nigeria: Rais atoa ruhusa kwa Wanajeshi kuwapiga risasi Watu wote watakaoonekana na bunduki ya AK-47

    Wanajeshi wa Nigeria wamepata ruhusa ya kuwapiga risasi bila kuhitaji kibali, watu wote watakaoonekana wakiwa na bunduki aina ya AK-47, kufuatia agizo la rais Muhammadu Buhari. Amri hii imetolewa kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama, baada ya visa vitatu vya utekaji nyara kati ya Desemba na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…