wote

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hii ndo aina ya watu ambao utawakuta JF online muda wote

    hawa huwa wanafanya kazi za kukaa wapweke muda mrefu mfano: Kuuza mapazia, kuuza mabegi, kuuza cover za simu n.k hawa watu utawakuta maranyingi wamekaa dukani kusubiri wateja. mtu kama MIN -mi atakua anafanya kazi ya kuuza duka la dawa kwasababu anaonekana ni mdau wa afya. hivyo muda wa...
  2. Red black

    JamiiForums Tanzania Natamani sana hawa guest wote 43k wangekuwa registered members hapa JF

  3. buzitata

    JamiiForums Tanzania Ni nani atafanikiwa kumfunga paka kengele ili tusiangamie wote?

    Habarini kwa kipindi kirefu nimejaribu kufuatilia hali ya ndani ya nchi yetu hasa suala zima la afya pamoja na kukithiri kwa rushwa ila nimejikuta nikipata hofu kubwa juu ya nini kitafuata kwa kila mwanajamii tusipolitatua tatizo hili kabla hali haijawa mbaya zaidi Kwa kipindi cha hivi...
  4. Red black

    JamiiForums Tanzania Iani Dialo from kenya Radio presenter wangu Bora wa muda wote huyu jamaa ana IQ kubwa sana.

    Aliwahi kufanya kazi EA redio katika kipindi cha EAST AFRICA DRIVE ndinga mpya town akiwa na David rwenyagira. Jamaa ana madini sana.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Askofu George John: Wote mnaomlaani na kumtakia mabaya Rais Samia haiwezi kumpata

    Wakuu, Askofu kalambishwa asali :Alien: "Kwa wale wote wanaotamka mabaya juu ya Rais, sikia: Hakuna neno lolote kwenye Biblia linalosema unaweza kumtamkia Rais neno lolote, wala kumlaani kwa jambo lolote, haiwezi kumpata. Haimpati! Jambo lolote baya halimpati Rais. Sasa kwa wale ambao...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa Ma-RC kuweka kambi Dodoma kufuatilia Hotuba ya Waziri Mkuu kwa zaidi ya Mwezi sasa?

    Nipo hapa Dodoma, Wakuu takribani wote wa Mikoa tupo nao mitaani tunakutana Bungeni tu, nilipowauliza wanafanya nini wametujulisha kuwa walikuja hapa zaidi ya wiki tatu zilizopita kwa ajili ya kusikiliza hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu. Miaka ya nyuma ilikuwa kawaida wakati wa Hotuba ya Waziri...
  7. Setfree

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump atoa ujumbe mzito kwa Wayahudi!

    “To our wonderful Jewish American community and to Jews celebrating in Israel and around the world this week, I want to wish you a very happy Passover.” “This week we recall this ancient proof of God's faithfulness and are reminded that with true faith, eternal hope, and the power of prayer...
  8. Jchris14

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapiga pull wote

    Wakuu salamu popote mlipo, pia poleni na heka heka za kila siku maana kwa ground mambo ni magumu sana, tuendelee kujitafta. Nirudi kwenye key, kwa ufupi sana:...... "wewe legendary kama uliweza kujinasua na kutoka kabisa kwenye mfumo wa kujichukulia sheria mkononi, hakika siti yako ipo mbele...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Dunia sasa imeelewa Iran haruhusiwi kuwa na nguvu kashindwa vita ameamua kuumiza wote tukose Kwa kufunga Harmouz Hadi Tanzania wataumia Us Wanayo yao

    Hadi Leo Marekani Wana jicho la tai la kuona mataifa hatari Kwa Dunia miaka kadhaa Ijayo . Iran ni majawapo ya mataifa hatari ambayo Us ametusaidia kulipungizia nguvu zake zenye Nia mbaya. Kitendo Cha kuanza kushambulia majirani zake wote ambao walikuwa hawajamrushia hata jiwe inaonyesha...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka

    Wanaukumbi. 🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill Baada ya hapo wataanza kuwalipua. IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia...
  11. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba kabla ya Wazungu kuja Waafrika wote walikuwa wanaishi porini kama wanyama

    Nigeria pekee ina makabila 400, Tanzania ina 120. Hizi nchi mbili tu zina jumla ya makabila 520+ leo hii Bado Africa nzima, kuna maelfu ya makabila. (Hapa naongelea Africa ya watu weusi- Sub Saharan Africa) Kila kabila lilikuwa na culture yake Hizi narrative kwamba Waafrika walikuwa wanaishi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania G. Msigwa na Wafanyakazi wote wa Wizara chini Yako Nawasalimia Ndugu Zangu

  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mlimani City wale wanaoonekana si wote binadamu. Nimeshtushwa last week

    Kwenye lango la kuingilia survery ile sehemu ya kukaguliwa na kuchukua ticket kulikuwa na mistari mitatu ya magari. Kulia, kati na kushoto. Gari zilikuwa nyingi kati na kushoto. Kama zimepanga foleni ya kupita vile vigeti vya ukaguzi na kukata ticket. Kidogo nlishangaa why wameacha gari moja...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa utaje top 3 ya nyimbo bora kwa muda wote utataja zipi ?

    Tangu uzakiwe mpaka unaanza shule ukijumlisha nyimbo zote ulizowai kusikia kuanzia mabata madogomadogo yanaogelea, napenda kuhesabu namba, hadi nyimbo za bongofleva nyimbo za dini zote, nyimbo kutoka tz na nje ya Tanzania. Katika zote ukiambiwa utaje 3 bora utataja zipi Mimi kwa harakaharaka...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya USA Israel na Iran wote wameishiwa ADS imekua piga nikupige

    Ni hakika kabisa pande zote mbili katika vita hii ambayo USA akishirikiana na Israel kupigana na Iran,pande zote mbili zimeishiwa Air Defense Systems,kilichobaki hivi Sasa imekua ni piga nikupige. Ni kweli zipo chache zilizofichwa sana lkn naamini sehemu kubwa sana ya hizi ngao zimekwisha...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waliofanya usaili wa LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya Ajira 17/12/2025 walifeli wote?

    Kuna watu walifanya interview za LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya ajira Serikalini 17/12/2025 oral ila hadi leo majibu hayajatoka hata kwa mtu mmoja. Tunachowaza ni kwamba walifeli wote au nini kinaendelea? Pia soma ~ Sekretarieti ya Ajira: Tumeboresha Mfumo wa Ajira Portal, ambao hawakufaulu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19

    Halima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19. Amegoma kwenda CCM sasa atubu kwa uwazi kabisa kuhusu Covid 19 kabla hajakubaliwa kurudi kama mwanachama wa kawaida. Bila kutubu asiruhusiwe
  18. Vien

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke Hubeba DNA za Wanaume Wote Aliowahi Kulala Nao? Mtazamo wangu ni huu

    Kuna kauli imekuwa ikisambaa sana mitandaoni siku hizi, kwamba mwanamke akishalala na mwanaume, hata kama hakupata mimba, basi hubaki na DNA yake mwilini. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa kama amekuwa na wanaume 5 au 10, basi anatembea na DNA zao wote, na huenda hata watoto atakaokuja...
  19. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote wapenda HAKI na amani ni muda sasa wa kuamka kudai kuachiliwa kwa Lissu tena kwa nguvu zote na mamlaka kutwambia yuko wapi Polepole

    Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
  20. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Na huyu ndio yule Mdudu anaependwa zaidi Duniani kuliko Wadudu wote Ila ana vituko

    Picha inajieleza.
Back
Top Bottom