Sote ni mashahidi dhidi ya umoja, umadhubuti, umakini na umahiri wa serikali sikivu ya CCM iliyoundwa na inayoongozwa na makada kindakindaki wa chama cha mapinduzi DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU, kwamba imebeba chachu ya maendeleo halisi Tanzania.
Kabisa inaonyesha wananchi wana shauku na...
Nyuzi zote hizi ni wale chawa washamba washamba wa mama anaupiga mwingi, na ni kikundi maalumu kinachojaribu kutaka kuangalia upepo wa watanganyika, bahati mbaya kabisa hatujaona uzi wowote unasifia kuupiga mwingi Mo 29
Nyuzi zote hizi zinalengo la kutaka kutuliza mioyo ya walioumizwa na...
Huu si mpango wangu mimi, bali ni kanuni halali ya Mungu Muumba mbingu na Ardhi
Kwa Mfano waliomteka Mdude wanafahamika na. mmoja wao ametunukiwa Uwaziri, Au wale waliohusika n.a. kutekwa kwa Polepole wote wamejulikana wakiwemo wastaafu n.a. Wafanyabiashara waliowatuma
Mungu wa Mbinguni...
Hii ni historia na kumbumbu muhimu kwa Rais Samia kwa kujali afya ya watanzania hususani wa hali ya nchini.
Nimeshuhudia zoezi la kuwapatia wananchi bima ya afya likiendelea nchi nzima ikiashiria ule mkwamo wa miaka mingi wa kubishania kwenye podium au bungeni umeisha na sasa ni real deal.
Mwaka jana niliandika uzi hapo chini
https://www.jamiiforums.com/threads/nimeishi-na-mwanamke-miaka-mitatu-bila-kupata-mtoto-nifanyaje.2376687/
Japokua msaada sikuupata kutokana na mtu wa hapa jf lakini nawashukuru wote, pamoja na wengine waliochangia kwa masihara.
Ukiwa na jambo lako...
Makamu Nchimbi kwanini "Bodyguards" wake wote ni wanzanzibari je ni uoga wa machawa wa Mama?
Yaani wenyewe hawana imani kiasi kwamba wanafikiri ana muhujumu Mama hivyo wapambe wa Mama wamehakikisha amezungukwa na wazanzibari tupu.
Je tumefika huko ? tumekuwa tukisikia tu lakini angalienei...
Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ?
Maana mnaenda kinyume na wale wanaopinga vitendo hivyo vya kuuliwa na kutekwa je mnapiginia haki za kutekwa? au mna magonjwa ya akili ? katika utafiti wangu mimi sielewi hawa watu...
Ni ngumu sana hapa Dar es salaam kumjua mwanake wa mtu.Kibaya zaidi hao wanawake wenu tukiwasimamisha na kuwatongoza wanasema hawajaolewa na wala hawana watoto,Sasa kosa langu hapo mimi ni lipi?
Mwanamke ambaye anajua kabisa ameolewa na ana watoto na mume nyumbani kwake lakini mwisho wa siku...
NCHI MOJA MATAMKO KIBAOOO KILA WAZIRI AKIJA ANABADILI SERA
je nyie hamuoni mnageuka MIUNGU WATU?
Ridhwani tuambie je umemaanisha wanaonza kazi yaani First appointment ndio hawaruhusiwi kubadili vituo au kuhama au unamaanisha WOOTE hata wa zamani katika.maeneo yao?
Nakukumbusha tu kupitia Bunge...
Habari JamiiForums
Siku zinakimbia, miaka inageuka, na umri unasogea.
Nakumbuka ni kama juzi tu Mh. Lowasa alivyotikisa Tanzania kwenye kampeni za Urais 2015.
Ni kama juzi tu tangu hayati Magufuli na itikadi zake, pamoja na misimamo mikali kwenye uongozi.
Miaka inakimbia, watu waliozaliwa...
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kufahamu kuwa Rais anaongoza taifa kubwa na lenye idadi kubwa ya watu Afrika Mashariki.
Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu
Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga.
Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
amani
bora
dini
dini ya kweli
hawana
huruma
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kuishi
kujitenga
kuoa
kuoana
kwa wote
mafanikio
mifumo
mipaka
n.k
nani
ndani
ndoa
nje
pamoja
sana
siri
siri ya mafanikio
ukiona
upendo
wao
wote
Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa.
Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
Serikali imetangaza rasmi kuanza utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote katika awamu ya kwanza. Katika awamu hiyo, kitita cha huduma muhimu za afya kitatolewa na skimu za Bima ya Afya kwa gharama ya shilingi 150,000 kwa kaya yenye watu wasiozidi sita.
Akizungumza kuhusu mpango huo...
Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja...
Dokezo kuhusu Dini ya Uislam
Kumekuwa na watu wengi kuupinga uislam kwa nguvu zote ila nasema hili na najua wengi litawafikia "mara Mia ufanye mambo yako kuliko kuingilia mambo ya dini ya kiislam na mbaya hauna uhakika wa chochote mnachosema sasa basi we nyamazenu tuuu msirundike maneno...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amejitetea juu ya ushindi wake katika uchaguzi wa urais, akisema kuwa ushindi wa asilimia 72 si ule aliyotarajia. Amefafanua kwamba chama chake kina wanachama zaidi ya milioni 21, kati ya hao milioni 18 wakiwa wapiga kura waliyojisajili, na kama wote wangepiga...
Niseme wazi. Hata wakati wa utawala wa chama kimoja, ilikuwa nadra kwa mgombea urais kushinda karibia aslimia mia. Hii ilitokea hata wakati ambapo mgombea husika alikuwa akigombea na kivuli kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Julius Nyerere na waliofuatia kabla ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi ambao...
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Hamis Ulega, alimkumbusha aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kuhusu agizo la Spika wa Bunge linalokataza kuwachokonoa chokonoa viongozi wastaafu, Bungeni Julai 3, 2027, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu maelekezo ya Spika wa Bungeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.