wote

  1. R

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kuona China anayeikalia Taiwan na Russia aliyevamia Ukraine anailaumu USA kuivamia Venezuela

    Russia imeivamia Ukraine, inaua watu, uchumi etc etc China "inaikalia" Taiwan kinyume na matakwa ya wananchi wa Taiwan. Leo wanatoka na matamko ya kuilaani USA. Moral authority hawana kuisema USA!
  2. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Haki Huinua Taifa...na Utawala wa Samia...

    Mwandishi wa Mithali inasema hivi: Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu ya watu wote (14:34). Msemo huu ukiuangalia kwa haraka unaweza kukosa kuelewa una maana gani. Ila ukiangalia kwa karibu unaweza kuona ni kwanini "haki huinua taifa". Nimeandika hivi majuzi nikiendeleza tafakari iliyofanywa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nadhani mtu mwenye furaha kuliko wote duniani kwa leo ni María Corina Machado- mpinzani wa Madulo

    Huyu binti alipitia kipindi kigumu kama cha Lisu na Chadema kwa ujumla. Alipitia vipindi vigumu kama vya Lisu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwamba mnaomba marais wote wanaoua raia wasio na makosa wachukuliwe kama Maduro?

    Hii ni hatari sana. Mmefikia hatua mbaya sana. Yaani mnataka Afrika isaidiwe na mmarekani ili madikteta wote wag'olewe kwa nguvu kama ilivyotokea kwa Maduro? ... ...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wanaibuka kwa zamu , na hawalandani japo wote ni wa kaya moja

    Huyu hehe kaibukia madhabahuni kwenye mkesha akatapika nyongo za mafumbo kisha karudi mafichoni.. Nina hakika alikuwa na ulinzi heavy Sana na mbinu za kivita mpaka alipofanikiwa kurudi mafichoni Mwingine mkubwa kuliko yeye akaibuka kwenye salamu za mwaka mpya.. Lakini hadhira haikumpokea vema...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  7. Pakome

    JamiiForums Tanzania Ninyi Watanzania, hao wageni mnaowapa siri na kuchafua nchi yenu ndio hao wanaowasubiri mfe wote ili watawale ardhi yenu kwasababu ardhi yao imeshajaa

    Moja kati ya wendawazimu unaofanywa na baadhi ya Watanzania ni kuungana na wageni kwa lengo la kudhalilisha nchi ya Tanzania na kuingiza kwenye machafuko Wendawazimu hao wamepofuka wala hawajui kuwa wageni hao wanatafuta soko la silaha na ardhi ya ziada Hao wageni wanaoungana nao wanataka...
  8. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Wana CCM wote tujaze Ile form ya Tume ya uchunguzi inaeleweka vizuri sana

    Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29 Tumeijaza kabla hatujatawanyika kwenda kwenye majukumu ya kujitafutia riziki hii form siyo ngumu inaeleweka watanzania tujaze. Unaweza ukajaza hata ukiwa kwenye boda Wana CCM na watu wa vyama vyote tujaze Ile form inaeleweka...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kisa cha rais Mkapa na spika mstaafu Anna Makinda

    Mkapa wakati akigombea urais 1995, alikuwa hafahamiki sana. Hivyo wanaccm wengi, ikiwa ni pamoja na Anna Makinda walikuwa wakiwaunga mkono "Boyz II Men" (nick name ya Kikwete/Lowasa & Co) . Wakiwa Chamwino kwenye kampeni za hapa na pale kabla ya kuanza kwa vikao vya maamuzi, Anna Makinda akiwa...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sio polisi wote wanapenda ila wengi wenu watawaponza na familia zenu

    Kuna mapolisi wengine ni wana hofu na mungu ila ni ngumu kuwaona na wanapigwa vita. Nakumbuka kuna mkuu wa kituo pale magomeni alikuwa mtu wa swala tano ,yani hataki kuona mtu kaonewa ila walimuondoa. Kwa mambo ya ajabu yaliopo hapa tanzania mlitakiwa nyie muoneshe mfano sio kuwafurahisha...
  11. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Kama Qur’an ni ya watu wote kwanini ilishuka kwa Kiarabu?

    Watu wenge duniani hawajui kiarabu Tafsri si qur’an halisi Upande wa Qur’an (Uislamu) Qur’an inachukuliwa kuwa ni Qur’an halisi tu ikiwa ni Kiarabu Tafsiri = “maelezo ya maana,” si Qur’an Swala na baadhi ya ibada lazima ziwe kwa Kiarabu WHY? Kwa nini ujumbe wa ulimwengu wote uwe umefungwa...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje marais wetu wote wakawa wakatoliki na waislamu tu?

    Baada ya machafuko ya Octoba 29 ndiyo nikagundua kuwa kumbe tangu nchi ipate uhuru marais wote wa Tanzania walikuwa ni Wakatoliki na waislamu. Hii iliwezekana vipi, ni bahati mbaya tu au imeandikwa pahala kama makubaliano? Je, itakuwa hivi hadi lini?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Samuya na Lissu wote wako gerezani

    Lisu kazuiliwa na gereza na analindwa na askari magereza tu ili asije akachoropoka. Umma na dunia yote wako naye kwa sala na maombi. Tuzo na nyadhifa zinamfuata huko huko gerezani. Kuta za gereza hazimfanyi Lisu kutokuonekana wa hazimnyimi usingizi. Samuya yuko gereza la kukataliwa na...
  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Maraisi wazalendo wote Duniani wanashindanishwa kwenye tuzo ngumu na za kibabe hapo utamuona Mrusi, marekani, India, Tanzania, Afghanistan

    Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli. Huwezi ukagusa maslahi ya marekani halafu ukabaki salama Huwezi ukagusa waya wa mrusi halafu ukabaki salama Huwezi ukagusi...
  15. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

    Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa. Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania David Kafulila awatakia Watanzania X-MAS njema

    Katika kusheherekea sikuu ya X-Mass hivi ndivyo alivyoandika katika ukurasa wake wa X zamani Tweeter Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini kati ya Sekta ya Umma(Serikali ) na Sekta Binafsi (mtu au kampuni) PPPC Bwana David Kafulila amesema:- Ni siku muhimu sana, hasa katika Ukristo...
  17. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kusikia hawa wanaharakati wetu kikinuka wanakimbilia Uganda, wote ni Kenya tu

    Nachoka mimi babu yake mwandambo! Kuna kikundi gan kenya kila sku wanakimbilia uko
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sheikh: BAKWATA sio ya Waislamu wote ni ya Wasunni tu

    Sheikh ponda atoa maelezo kuwa Bakwata sio kwa ajili ya kila Muislamu bali ni ya Wasunni tu https://www.instagram.com/reel/DSpOXVaAhne/?igsh=NHZkYzNjcG5wcm5z
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Watajeni wote waliotekwa au kuuawa Enzi Nyerere akiwa Rais

    Mara kadhaa nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa enzi za Mwalimu Nyerere akiwa Rais watu "wengi" Sana waliuawa au kupotezwa. Sasa kabla ya waliofanya kazi na Nyerere wote kufa, ni Bora watu wanaowafahamu waliouawa zama Julius Nyerere alipokuwa Rais wa nchi yetu, wawataje watu hao...
  20. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Tanzania Leaks: Makanisani usiku wa leo kagueni watu wote wanaokuja na vibegi

    Ni taarifa kutoka Tanzania Leaks, lakini tusiipuuze. Hawa wanaojiita GenZ japo ni vibaka au panya road wanaweza kufanya lolote.
Back
Top Bottom