wote

  1. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wote wa JF msijifanye hamjamsikia aliyewawekeni Mfukoni mwake Injinia Hersi Said hasa juu ya hili......

    "Unamkuta mwana Yanga kama Frank Wanjiru na Daudi Mchambuzi wanaropoka sana huko Redioni, katika Runinga ba Mitandaono kuisema vibaya Yanga SC yetu ila ukiangalia kama Mwanachama amechangia Pesa yoyote unakuta hakuna. Yanga SC hii sasa tumedhamiria kuachana na Wapuuzi kama hawa ambapo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wenye nia njema na taifa na uwezo wa kuwa marais, wekeni nia mapema 2025 mliokoe taifa lenu

    Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa. Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi. Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali za nchi hii kwa maendeleo ya watu wote

    Habari! Huu uzi ninauandika nikiwa na jazba na ghazabu. Nimefanya kazi mgodi wa GGM(GEITA GOLD MINE), kisha nikafanya Mgodi wa Bulyanhulu uliokuwa ukimilikiwa na Barrick kisha Acacia. Ardhi yetu imemeza matrilioni ya fedha. Nimefanya kazi kwenye hifadhi ya Serengeti kwenye hoteli ya kitalii...
  4. JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri limepangwa na Kikwete! Tunashukuru kuwaondoa wote waliowekwa na Marehemu

    Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo... Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani.
  5. JamiiForums Tanzania Prof.ndalichako amrisha watoto wote waliotimiza miaka 7 waingie shule walizo jirani nao.

    Matakwa ya rushwa ndogondogo za kipuuzi yametapakaa katika shule nyingi nchini kama njia ya kujipatia chochote Kwa wahusika, N.b,matatizo yao au mapungufu madogo madogo yatatatuliwa polepole baadae!
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekana Askofu Gwajima ndiye mtanzania anayeishi maisha ya furaha kuliko wote

    Huyu jamaa mimi nimeshindwa kumdefine, haeleweki hatabiriki kiufupi huyu huwezi kudeal nae anajua kicheza namba sita kila sehemu yupo Kazi iendelee
  7. JamiiForums Tanzania Lissu amtetea Job Ndugai, asema lazima kuna jambo

    Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu! Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku...
  8. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe si muumini wa kudai katiba mpya, ACT wote mnaona sawa?

    Niulize swali hili ni kwa wanachama wote wa ACT-wazalendo wenye mawazo mema na taifa hili kama taasisi, hivi ni kweli mnakubaliana na ulaghai wa anakifanya bosi wenu? Yaani vyama vyote vikubwa vya upinzani vinataka mchakato wa katiba mpya lakini Zitto Kabwe anaamini tume huru ya uchaguzi ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Je, mkopo wa tril 1.3 wote umetumika kujengea madarasa? Vipi kuhusu madarasa yaliyokuwa yanajengwa kwa tozo za miamala? Ukaguzi ufanyike tupate ukwel

    Ni suala ambalo watanzania bado linawaumiza kichwa maana kwa tozo tunazokamuliwa alafu tukaambiwa na Ummy Mwalimu kuwa tozo zinatumika kujenga madarasa, zahanati vituo vya afya na kununua vifaa tiba. Ghafla bin vuu tukasikia ili kukabiliana na uhaba wa madarasa mkopo wa Uviko upatao tril 1.3...
  10. JamiiForums Tanzania CCM wote ni walewale, lakini kwangu mimi Naona afadhali kuongozana na Rais Samia kuliko aliyepita

    Nchi sasa imepumua, hakuna kupotezwa, hakuna kutekwa, hakuna kutukanwa,hakuna kufokewa hakuna uongo, hakuna vitisho, hakuna kubaguliwa hakuna kunyanyaswa kwenye nchi yeti wenyewe. Kama ukiniuliza kati ya wawili hao mimi ni bora samia.Yule jamaa hakua mtu. Hofu inapungua taratibu kwa sababu...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako: Wanafunzi wote 907,802 waliofaulu, Watajiunga kidato cha kwanza

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema Wanafunzi wote wa Darasa la Saba 907,802 waliofaulu Watafanikiwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2022 kutokana ongezeko la Madarasa. Amesema Serikali imewezesha ujenzi wa Madarasa mapya elfu 15 Nchi nzima kwa mkupuo huku...
  12. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 kaa mbali, wapinge na wadharau watu wote wenye tabia za ki-antsocial

    Watu wenye tabia za ki-antsocial huwa na tabia zifuatazo. 1.Hawajali haki za wengine. 2. Huwa ni wenye hila(Manipulative). Wanafanyafanya ujanja ili wakutake advantage. 3. Waongo. Ni watu waongo waongo ili wafanikishe mambo yao au kucover uovu wao. Uingo wa kujirudiarudia 4. Hawajutii makosa...
  13. JamiiForums Tanzania Mola wangu Mlezi usinifedheheshe siku watapofufuliwa wote siku ambayo haitofaa mali wala watoto, ila wale wanaomjia ALLAH kwa nyoyo safi

    Msamehe baba yangu kwani hakika yeye ni miongoni mwa wapotofu.
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nawatakia Heri ya Christmas na Mwaka Mpya Watanzania wote, nawaomba 2022 tuzidi kuwa Wamoja

    Nawatakia Watanzania wote Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya. Tusherehekee kwa furaha, amani, utulivu na kiasi. Tuendelee kuwa wamoja katika mwaka 2022, tukifanya kazi kwa weledi wa hali ya juu, kwa uzalendo na kwa nidhamu, ili tuendelee kupiga hatua mbele zaidi kimaendeleo.
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Heri ya Krismasi watanzania wote

  16. T

    JamiiForums Tanzania Ianzishwe kampeni ya "CCM Haina Wenyewe Bali ni ya Wote"

    Hali ya wanaCCM kuogopa kujiita wanaCCM kujiita wanaCCM imerudi tena baada ya baadhi ya wanaCCM kwa makusudi kabisa kuamua kunajisi taswira na jina la CCM mbele ya jamii. Jamii imeanza kupata uelewa na mwelekeo tofauti kwa CCM baada ya aliyekuwa katibu wake was itikadi na uenezi Nape Nnauye...
  17. JamiiForums Tanzania Krismasi ni sikukuu ya wote, tutoe kwa wengine na tushereheke pamoja. Merry X-Mas!

    Wanabodi, Hizi ni salamu zangu za Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa kwa ajili ya Krisimasi kwa Wanabodi wetu. Merry Christmas And Happy New Year!. Japo makala hizi ni za lugha yetu adhimu ya Kiswahili, kwa vile kesho ni sikukuu ya Krisimasi ni sikukuu ya kutoa, ili kuwezesha na wengine...
  18. 4

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu kanigusa,nami ngoja nishiriki na ndugu zangu wote wa jamii forum

    WATU wa Mungu jf niwasalimie kila mtu kwa imani yake Bila jali mitazamo yetu tofauti ila ni imani Yangu sie ni Ndugu tu, Usiku wa kuamkia leo nimeguswa na yule ajuaye nini makusudi yake kunifanya niwe hai leo, na nini kusudio lake kunileta duniani ,nami ni vyema share nanyi baraka hizi Ni...
  19. JamiiForums Tanzania Mtoto wa shangazi ana kiburi kwenye kufata sheria zangu nyumbani kwangu, nitatue vipi?

    Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja, Sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner. Sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke akiingia peponi, wanaume wote hatuna dhambi

    Nimejaribu kuwaza sana mpaka nimefikia kusema hivyo bhasi nina uthibitisho kuhusiana nahili Mwanamke vs mwaume Tuanze na MAUMBILE Mwanamke Kaumbwa na viungo vyote lakini hajaridhika, kapewa kope anaona hazitoshi kaamua kuongeza za kwake za bandia aonekane mzuri, kapewa nywele asilia na za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…