wote

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwa sasa kuna kiongozi wa dini asiyefungamana na maovu ya kisiasa na kusimama na Mungu wakati wote anapojaribiwa?

    Zamani tulifundishwa tusiwaseme vibaya viongozi wa dini; tukaishi na huo utamaduni na kutufanya kushindwa kulijenga kanisa la kweli na uislamu wa kweli. Kutokana na kufundishwa kuwa waongo mbele ya viongozi wa dini ilituwia ngumu kuwakemea pale wanapokosea. Tukawa tunakwenda kanisani na...
  2. JamiiForums Tanzania Mashabiki wote wa Yanga mnaoamini kuwa April 20 Simba Watapigwa tumieni hii fursa ya kutajirika

    Ni muda wa kuweka kando tambo za Kimaskini , ni muda wa kuachana na ufukara. Tukutane kwa khanjbay tupige hela, sio hela ya kitoto, tutapiga hela ndefu huku tukishangilia kono la nyani lililotutoa kwenye ufukara. Enyi madogo, Frank Wanjiru, Labani og, Half american na wengineo tumieni fursa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wabunge/wawakilishi wote wa baraza la mapinduzi Zanzibar wanakuwa wabunge wa Bunge la JMT?

    Naomba kufahamishwa hapo na wataalam, na wanaokuwa sehemu ya Bunge la JMT wanazingatia vigezo gani au wanapatikanaje. Cc Pascal Mayalla
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Kiongozi wa kweli habagui anaowangoza. Huwezi kuwa na vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini

    Niwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako. Huwezi kuwa wewe una vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini. Binadamu ana haki ya kufikiri, anaweza akayona ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumikia April hii 2024 kwa tarehe itakayotajwa!

    Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itaanza kutumikia mwezi huu wa April 2024 katika tarehe itakayopangwa ===== Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya Mwisho wa Mwezi wa Nne...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume lazima muelewe kuwa kuna wanawake wanawazidi kwa mbali kiuwezo iwe wa akili, uchumi na maono

    VIJANA WA KIUME LAZIMA MUELEWE KUWA KUNA WANAWAKE WANAOWAZIDI KWA MBALI KIUWEZO IWE WA AKILI, UCHUMI NA MAONO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli NI kweli wewe ni mwanaume lakini elewa wapo wanawake wanauwezo zaidi yako. Hilo ukubali au ukatae lakini ndio ukweli huo. Wanaume wengi hujikuta...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kusema wanaume wote hawajatulia ni potofu

    Habari ndugu zangu, nije kwenye hoja yenyewe nimeona Uzi wa cacutee nataka nimjibu kuhusu hii dhana walionayo ni kweli kuna wanaume wasiotulia na wapo pia ambao wametulia. Zipo sababu za wanawake kudhani kuwa wanaume wote hawajatulia Ni aina ya wanaume wanaodate nao, ni ngumu kudate na mwanaume...
  8. JamiiForums Tanzania Sijaona viongozi wa Serikali wakiizungumzia Rufiji kama ilivyotokea sehemu nyingine zilizopata majanga

    Habari JF Kama ilivyo Kichwa Cha habari hapo Juu Roho inauma sana Sijaona Hata kiongozi mmoja mwenye nyazifa kubwa Kuizungumzia Rufiji, wakati huu mapango wa mafuriko kama kule Bwana la nyerere walifungulia maji ili kunusuri Kuta kubaomoka,vipi mbona Hakuna hata hamamatsu yoyote Kuhusu watu Wa...
  9. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu NHIF kwa wote

    Salaam wana JF, Wakati ndugu zetu waislamu wakisherekea siku kuu ya eid el fitri, natamani tujadiliane kidogo kuhusu swala la Bima yq afya kwa wote. Kiukweli, nachukua fursa hii kuipongeza serikali kwa kuona umuhimu wa kuja na mpango wa bima ya afya kwa wote, maana watanzania wengi ambao...
  10. JamiiForums Tanzania Unaambiwa hao wote hapo nyuma ni usalama

  11. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Heri ya Sikukuu ya Eid el Fitri

    Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote Duniani . Hii hapa ndio Taarifa yake
  12. JamiiForums Tanzania Hii hapa mizinga ya Israel yenye uwezo wa kufuta ukanda wote huo, haipigiki, ndio maana Iran wameufyata

    Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata kujikuna..... Kingine ifahamike wanajeshi wa Israel hupokea kiapo cha "Samson Option", kwamba kama...
  13. JamiiForums Tanzania Watoto wote watatu wa Griezmann wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa leo

    Antoine Griezmann ana watoto watatu na wote wamezaliwa April 8 miaka tofauti, hivyo basi leo wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa. Wakwanza ni Mia Griezmann alizaliwa April 8 ya mwaka 2016. Wa pili ni Amaro Griezmann yeye ni wa April 8 ya mwaka 2019. Wa tatu ni Alba Griezmann yeye alizaliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Bashungwa Awaondoa Wataalam Wote Wanaosimamia Ujenzi wa Barabara ya Kibaoni - Mlele

    BASHUNGWA AWAONDOA WATAALAM WOTE WANAOSIMAMIA UJENZI WA BARABARA YA KIBAONI - MLELE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa wataalam wote wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya Kibaoni - Sitalike, sehemu ya kwanza ya Kibaoni - Mlele (km 50) kwa kiwango cha lami kutokana na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanaosema lile ni goli na wanaosema sio goli wote wana hoja, matusi ya nini?

    Kumeibuka mabishano makubwa baada ya goli la Aziz Ki kuonekana halikuwa goli, hasira na ghadhabu za wanayanga ni za kiwango cha kimataifa, sijui ingekuwaje kama ngoma ingepigwa kwa Mkapa na matokeo yangeishia kwa Yanga kutolewa kwa penati. Wapo wanaosema lile ni goli kabisa, limevuka mstari wa...
  16. JamiiForums Tanzania Nini kesho ya mbuga ya Selous?

    'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?' Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Misemo iliyoanza kutrend hapa JF na kuwafikia watanzania wote

    1. Single mother Watanzania wengi walikuwa hawajui single mother ni nani 2. Wanaume wa dar 3. Mizagumuo 4. Kataa ndoa 5...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wote waliolilia goli la Azizi Ki wa Yanga dhidi ya Mamelod, je mmeangalia mechi ya Asec vs As du Tunis katika hatua ya penati?

    Kama umeangalia hii mechi hutakuwa na sababu za kuhoji kwa nini goli la Yanga lilikataliwa. Katika mechi hii ya ASEC VS AS du Tunis, mchezaji wa ASEC (POKU, km sijakosea) kapiga penaliti na mpira kugonga nguzo na kudundia ndani na kurudi nje lakini ule mpira ulikwa umeingia ndani 💯% na goli...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge furaha matondo ataka kujua ni lini Bima ya Afya kwa wote kuanza

    Mbunge Furaha Matondo Ataka Kujua ni Lini Bima ya Afya kwa Wote Kuanza Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya mwisho wa mwezi huu wa Aprili kwa tarehe itakayotajwa. Dkt. Mollel amebainisha hayo Aprili 3, 2024...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Akili ya Zitto Kabwe kuwa sheria za uchaguzi zinakidhi haja ni "Tukose wote"

    Anajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki. Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…