wote

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mwanasheria wa Yanga SC Patrick Simon muda wote ulikuwa hujui kuwa Nyaraka za Yanga SC zimegushiwa hadi Hukumu ya Mahakama ilipotoka Juzi?

    Kama Yanga SC wamekuamini kabisa ukawa Mkuu wao wa Sheria kuna mahala naona unaenda Kuharibu pakubwa.
  2. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Familia yenye 5 generations wote wapo hai.. kila mtu na mama yake. Bibi wa bibi unamwona yupo hai

    Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu. Kama hela ipo kuzaa mapema raha sana.. wote wamezaa wakiwa early 20s.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaonya wana Simba SC wote kuwa tujitenge na huu Mtego na yanayoendelea Kwao, bali tuijenge Timu yetu kwa Msimu mpya

    Na nyie mliokuja PM kutaka niseme chochote tu kuihusu Yanga SC na kinachoendelea iwe mwanzo na mwisho sawa?
  4. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Ujumbe muhimu kwa wanawake wote

    Huu ni ujumbe muhimu kwa wanawake wote, unaanza hivi..... Ikiwa una mwanaume(umeolewa) maishani mwako, mtunze na umheshimu kwa kila njia. Ikiwa wewe ni mseja , ishi maisha yako kwa ukamilifu. Ikiwa unatamani wanaume hovyo hovyo , utachukuliwa na mbwa mwitu wakali. Huo ndio ujumbe wenyewe...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nabii mdogo kuliko wote

    Anaitwa Nabii Jeremiah Jr toka Zambia ndie nabii mdogo kuliko wote kwa sasa mwenye upako akitenda miujiza
  6. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashahidi wa ICC walipotezwa kwenye viroba?

    1. Kama mnavyokumbuka vurugu baada ya uchaguzi Mkuu 2007/08 zilisababisha mauaji ya watu kadhaa. Kesi ikapelekwa Mahakama ya ICC-The Hague, 2. Watuhumiwa wakiwemo - Uhuruto na wengine wakaitwa kwenye kesi - The Hague kufika kwenye mashahidi ni ama upokee mlungula na ukaushe au uharibu ushahidi...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS sasa wanapigana mmoja mmoja, hakuna kundi au kamandi, wamesambaratika, kipigo kiko pale pale

    IDF sasa inapiga hawa magaidi wa uislamu waliojichokea ambapo wamesambaratika mmoja mmoja, hawapo makundi tena, hamna kamandi. Kila mmoja anapigana kivyake.............. Lieutenant Oriel Mashiach, commander of the Sabar Battalion in the Givati Brigade, provided some insight to Maariv on Sunday...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Simba wakifungwa mechi moja tu, wachee na kocha wake wote wataondoka, mwakani wanaanza upya tena

    Simba imefanya usajili mkubwa sana. this season, kuna MVP kwenye mid field na MVP defence. top striker mbele pale. amazing lakred nyuma pale. Issue ni mechi moja tu mkifungwa tempo nzima ya timu inakufa. vita inaanza. mangungu out I always say tatizo la simba ni mashabiki. they have best...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

    Wanabodi, Hebu shuhudia Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo... 1. Nyomi!. Kiukweli kabisa watu ni wengi ajabu, sijui hata walitoka wapi, mabasi yote yalijaa, watu kwa makundi wanatembea kwa miguu, tumekaa foleni masaa 3!. Hii maana yake Bulldozer Mwamposa, ana nguvu za upako wa mvuto...
  10. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Kula sana bata hata kuku wote lakini kamwe usiwasahau ndugu zako

    KULA SANA BATA HATA KUKU WOTE LAKINI KAMWE USIWASAHAU NDUGU ZAKO. "Kama MUNGU amekujalia uwezo mzuri wa kiuchumi, weka nguvu kwa ndugu zako pia. Usiwasahau ndugu zako kwasababu ipo siku utawahitaji na usipowahitaji wewe basi tutawahitaji sisi kwaajili yako. Siku ukiumwa au kupata matatizo...
  11. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Mungu wetu ni Mungu wa rehema

    Tuombe, Eeeh Mungu Mwenyezi Muumba Mbingu na ardhi pamoja vyote tunavyoviona na tusivyoviona, Tunakushukuru kwa zawadi ya uzima na afya njema, Tunakusifu na kukuabudu wewe kwa kuwa hakuna mungu kama wewe, Baba tunakuomba ubariki kazi za mikono yetu, tusipungukiwe na chochote, -Utusamehe makosa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Wakuu wa Mikoa wote simamieni mfumo wa Kidijitali wa kuwatambua Madereva Bodaboda na Bajaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki vyenye uwezo wa kuzuia jua na kuwakinga na mvua wanaposubiri wateja. Mhe. Mchengerwa ametoa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tukiruhusu zile enzi za giza kurudi tumekwisha. Tuliponea chupuchupu, kidogo tutekwe wote abaki peke yake

    Chonde chonde Rais Samia hata kama wamekuudhi vipi tafadhari tusiridi enzi zile za giza maana wawekezaji wataanza kukimbia tena tukose ajira kwa maelfu ambazo zipo sasa. Mahoteli yaliyofungwa kipindi kile yote yanafanya kazi sasa. Ukienda pale Manzese watu wanachapa kazi usiku na mchana mana...
  14. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Walimu wote waanze na mishahara sawa, mwalimu wa science kuanza na mshahara mkubwa ni dharau kwa walimu wengine

    Leo tena nimekuja kulalamika, Hivi mwaka 2019 serikali iliona nini? Ilijisikiaje au kwakuwa head alikuwa mwalimu wa science akaona awabebe wenzake? Najua lengo ni kuwatia motisha walimu wa science, Sawa. Lakini je ili iweje? Kwa faida ipi? Shule ni zile zile, Wanafunzi wale wale, Tena wakifika...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji karibu wote wa Yanga wana Offer mezani

    Mzee wangu yupo karibu sana na yanga, kitu watu awajui ni kwamba. First 11 ya yanga. wote wanaoffer mezani. so usishangae PACOME- Al ahly, Aziz - pirates, Bacca -AS Far, SA , max - SA , job - Europe, Yao - morocco , lomalisa - SA, Diarra - morocco, hadi Aucho ana offer mezani.. i suspect...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kwa Wasabato, Bikira Maria ni Mama Mtakatifu, Aliyekula Chakula kutoka kwa Mwenyezi Mungu, aliyebarikiwa kuliko wote, aliyetuzalia mwokozi wetu!

    Wadau hamjamboni nyote? Mama yetu Mtakatifu Bikira Maria ndiye Mama wa Bwana wetu Yesu Kristo/Nabii Issa Ndiye mbarikiwa pekee anayekubalika na Wakiristo.na Waislamu Ndiye Mbarikiwa pekee aliyekula chakula kilichotoka mbinguni kwa kutolewa na Mungu wetu Mkuu Ndiye Mbarikiwa pekee aliyezaa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa ndiyo utawajua Watanzania walivyo Wanafiki baada ya kwenda Kwako Nyavuni kuanzia Leo nao Wote sasa Watakugeuka na Kukucheka pia

    Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamebariki kifungo cha mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina cha kutohudhuria vikao 15 vya Bunge mfululizo kwa kosa la kumtuhumu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuwa alilidanganya Bunge kuhusu sakata la kuagiza sukari nje. Hatua hiyo imefikiwa baada ya...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukisema kuwa Ligi Kuu ya Tanzania ni ya Samjo Samjo / Ujanja Ujanja mnabisha haya sasa msikieni hapa Tanzania One wa muda Wote Juma Kaseja

    "Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja. Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge? Tafuteni hii Clip ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

    Leo hii Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani, Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja, Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha, Akasema hivi unakumbuka ziara za...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri viwekwe vigezo vya elimu, viti maalumu n.k Muda wa kuchangia usifanane kwa wabunge wote. Nilitamani Dr. Kimei aongezewe muda.

    Muhimu bunge likatunga kanuni kutofautisha muda wa kuchangia wabunge kulingana na sifa ya eiimu na makundi yanayotoka. Kwa mfano wenye elimu ya PhD wakawa na muda mrefu tofauti na wale darasa la saba, mbunge wa jimbo akawa na muda zaidi ya wale wa viti maalumu. Hatusitahili kuchuka kila kitu...
Back
Top Bottom