wote

  1. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Wale wote mliowahi kumegewa, poleni sana

    Humu ferooz kalia sana kwa Boss Juma nature ndio kama yule mwanao kabisa wa damu ana hasira mbaya na boss kwa uhuni aliokufanyia. Alafu mchizi solo thang ana poza hasira kwa mwanae ferooz asichukue maamuzi magumu maana mwana ana ahasira na Boss ila unyonge wa kuhofia ajira una mhold back. Ila...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Media inayojitambua kupewa Maelekezo ya Kiutendaji na Rais wa Nchi ni Dharau ya moja kwa moja kwa Tasnia na Kufifisha pia Uweledi wao

    Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile.
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 - 25 ijayo katika nyanja ya utawala bora, elimu na afya kwa Watanzania wote

    Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru sana MWENYENZI MUNGU atupaye afya,nguvu,neema na kibali siku hadi siku kwenye majukumu yetu yote. Pili nitumie uwanja huu kulishukuru jukwaa la Jamiiforums kwa namna yao ya pekee sana wanavyoelimisha jamii katika nyanja zote za maisha. Tatu na mwisho...
  4. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

    Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka.......... mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania John Bocco ndiye mfungaji wa muda wote wa ligi kuu Tanzania bara

    Jamaa hawezi itwa striker hatari ila amemake historia kubwa. Magoli 155.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Migogoro mingi inayotokea maeneo ya kazi inatokana na wanandoa kutotimiza wajibu wao wa kupeana tendo la ndoa

    Nikiwaambia 'banduaneni' kila wakati kama nifanyavyo ili muwe na Furaha na Wachangamfu muda wote mnaniona Muhuni...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Bunge liazimie Bwawa la JNHPP libadiilishwe jina liitwe Magufuli hydro project power. Marais wote walishindwa aliweza JPM pekee

    Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake. Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji. Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji. Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili. Hayati Magufuli...
  8. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Love kwa wale wote ambao hamchoki kuwapa tafu waliokwama kimaisha

    Niwe mkweli kabisa saa sita hii usiku nimekuwa inspired na uzi wa Robidinyo ambaye ameeleza changamoto ya kutokuwa na kazi au biashara jinsi maisha yanavyokuwa magumu. Nikajikuta nataka kuwapa respect wale wote ambao hamchoki kutoa msaada kwa ndugu na jamaa zenu waliopata changamoto za hapa na...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu kuwa Watanzania wote mmeshajiandaa Kuzipokea hizi CHADEMA mbili zijazo Moja Original na nyingine Academia

    CHADEMA ORIGINAL Freeman Mbowe Godbless Lema Joseph Mbilinyi CHADEMA ACADEMIA Tundu Lissu Peter Msigwa John Heche Ni suala la muda tu na nawaombeni kama hamtojali wekeni Kumbukumbu ya huu Uzi kwani tayati Moto unawaka.
  10. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania MABABU ZETU WATAENDA MOTONI WOTE?

    Habari wanajukwaa,hasa wafia dini. Kabla ya kuja dini afrika mababu zetu waliishi kwa Mila na desturi zao,hawakumjua yesu Wala muhamad, na sisi tuliomjua yes na muhamad tumemjua kwa kusimuliwa na kukaririshwa ,hivyo tumekuwa umma wa yesu na umma wa muhamad??JE MABABU ZETU WALIOKUFA BILA KUWAJUA...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahalifu wote Watukutu wakishindikana kwa Kutotoa Ushirikiano wakipelekwa Kituo cha Oysterbay hutoa Ushirikiano huo kwa dakika chache tu?

    Nasubiria Majibu yenu ya upesi kwani kuna Mtu kaniibia Kuku wangu Bandani kule Kwangu Bagamoyo Mkoani Pwani.
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mvumbuzi wa Chipsi Mayai/ zege, chakula cha kipekee cha kitaifa cha Watanzania wote hajapewa tuzo ya kitaifa?

    Mataifa mengi huwa na vyakula vyao vya kipekee ambavyo ni kama sehemu ya utamudini wao kitaifa. Wako walio na piza, mabaga, taco, shawarma, matoke, githeri, kimchi n.k. Nafikri kwa sisi Tanzania Chipsi mayai ndio chakula cha kipekee kinachotuunganisha kiutamudini Watanzania wote kama taifa na...
  13. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania NI WAZI KUWA NDENGE ILIYOMBEBA MAKAMU WA RAIS ILIANGUKA NA KUUA ABIRIA WOTE.

    Rais wa Malawi ametangaza rasmi kupatikana kwa mabaki ya ndege na abiria wake wote wakiwa wamefariki.
  14. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati na vyuo vikuu itolewe kwa wote watakaoomba

    Miaka ya nyuma, yaani 1995 na kurudi nyuma, elimu ya vyuo vya kati na vyuo vikuu vya serikali, iligharamiwa na serikali kwa asilimia 100. Miaka ya 1990, kufuatia utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi (“Structural Adjustment Programme”), mpango uliofadhiliwa na Benki ya Dunia (“World Bank - WB”) na...
  15. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo yenye huduma bora za mikopo ya Elimu ya juu, na kuweka utaratibu mzuri wa marejesho Kwa wote hata kwa ambao hawapo sekta rasmi

    UTANGULIZI. 👉Lengo kuu la HESLB ni kutoa msaada wa kifedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuhakikisha kuwa wanaweza kukamilisha masomo yao bila kikwazo cha kifedha. Dhamira yake ni kuongeza upatikanaji wa elimu ya juu na kusaidia kuboresha ubora wa elimu nchini Tanzania. 👉Baada ya kumaliza...
  16. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wanafunzi wote sekondari zaidi form 4 pamoja na walimu wa biology

    Nimekuandalia notice nzuri sana za biology ambazo zina kila maudhui yanahitajika kwa ajiri yako ndani yake topic zote zinazotoka kwenye practical
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wa kupima mkaa karibu wote vipimo vyao vya makopo ya bati yamekandamizwa katikati?

    Mimi ni mmoja wa wanaonunua mkaa kwa kupimiwa lkn kila nitakapoenda nakuta makopo yao yamekandamizwa katikati ni kwanini?
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laanza kukumbwa na ukata wa askari mfano yaliyoikuta Ukraine. Ndio sababu wanashambulia na kuhama maeneo. Askari wote 15000 wametumika

    Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina upungufu mkubwa wa askari. Kwa mujibu wa mtandao huo wa ufuatiliaji vita imeelezwa kuwa askari wote...
  19. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania HIVI WANAUME WOTE WALIOOA WANAKUTANA NA HAYA MASWAHIBU AU NI BAADHI YA WANAUME HUKO KWENYE NDOA ZENU?

    Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka mitatu iliopita nadhani ni diploma ya uwalimu ila bado hajeajiriwa sasa huyu mwanamke nifull jeuri...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu wenye sifa nzuri kama uzuri na uhandsome au utajiri husemwa kwa mabaya? Je, ni wivu kwa waliokosa sifa hizo?

    Habari za jumapili! Ni wivu katika jamii au ni jambo gani? Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika, Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k? Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti...
Back
Top Bottom