wote

  1. JamiiForums Tanzania Mambo yameanza huku nianze kukera watu karibu tunywe kuna warembo kama wote yani

    Yaan leo aliyekaa nyuma yangu hapa ni Yale mambo Nataka Mimi nyama nyingiiiiiii mchuzi kwa mbaaaaliiii Toto limeshanijoin ***** linaagiza tu now ni 340$ kabisa Dadek
  2. H

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini Bima ya Afya kwa wote inashindikana Tanzania!!

    Habarini, Kwanini lakini kitu cha muhimu kama hiki hakitiliwi maanani? Watu wanapanga kuandamana kwaajili ya masilahi ya wanasiasa badala ya maandamano kwaajili ya BIMA YA AFYA KWA WOTE kwani ndiyo shida ya Watanzania walio wengi. Ni bora wapinzani mkawekeza kwenye matatizo ya wananchi siyo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wote wa Mbaga na wenye mpango wa kujiunga na darasa lake

    MASTURBATION/PORN ADDICTION “ DON’T DESTROY LIFE FOR 5 SEC PLEASURE. ” SIDE EFFECTS OF MASTURBATION/PORN × It makes you weak physically and mentally. × Your body shape gets worse. × You feel tired all the time. × No confidence – You always feel low. × You walk with your head down. × You...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini marubani wote duniani wanapenda Ipad katika matumizi ya ndege.

    Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani. Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung. Kashafika level ya kurusha ndege. Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
  5. JamiiForums Tanzania Natamani wananchi wote turudishe kadi za vyama vya siasa. Kusiwe na chama

    Wakuu Sina uwezo mkubwa kujenga hoja Bali hapa nitajaribu. Ni suala la vyama vya siasa, hapa nikiweke pembeni CCM na chadema. Kuna zaidi ya vyama 10 na nakumbuka vilishiriki uchaguzi wa 2025 oct. Vyama hivi zaidi ya Kumi ukitoa CCM na chadema ni vikundi vya wahuni. Ni afadhari hawa wawili...
  6. JamiiForums Tanzania Jana ilikuwa Hatari mademu kama wote

    Ndo narejea home sasa , hizi tatu sum kwenye majakuzi Hatari ni Hatari Nitoe hangover niwape mkasa, ukijisahau wanakanya balls 😀
  7. JamiiForums Tanzania M7/7 Salute kwa wapigania haki wote wa Tanzania popote walipo!

    Kwa mara nyingine tena, wapigania haki wa Tanzania tumeonesha nguvu yetu kwa watawala haram very clearly. Hakuna ubishi kwamba sisi hatuna hata manati, lakini (for more than a week now) tumewalaza na viatu na kuwaandamanisha nchi nzima mazafakas wenye bunduki na vifaru. Na hii ni episode one tu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania TAARIFA RASMI: Maandamano ya Amani kwa Wasafirishaji wote Nchini, Sambaza ujumbe huu Kila Jukwaa na kila mtandao

    Ndugu Madereva wa Bodaboda, Bajaji, Daladala, Mabasi ya Mikoani, Wamiliki wa Magari, na Vijana wote wa Tanzania, Salamu za amani na mshikamano. 1. UTANGULIZI Hii ni taarifa rasmi kutoka kwa waandaaji UWADAR na vyama vyote vya wasafirishaji nchini kuhusu maandamano ya amani yatakayofanyika...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Taifa moja linaweza kuwa mbumbu wote?

    Jibu ni ndiyo, hii inaanzia katika familia unaweza kuta familia moja ya watoto 8 wote wakawa vilaza, inaenda mtaa wote ni vilaza, unaenda wilaya wote ni vilaza, unaenda mkoa wote ni vilaza, unaenda nchi nzima wote ni vilaza Najua vilaza wenzangu mtakuja kunishambulia, Hebu tufananishe taifa na...
  10. JamiiForums Tanzania Wito kwa wana diaspora wote wapenda haki

    Maxence Melo Kama inawezekana, uwekeeni pin huu uzi ili uweze kubaki juu wakati wote. Ndugu wana diaspora wa Kitanzania, hususan kwenye nchi za Ulaya Magharibi, Scandinavia, Marekani, Canada, na hata Kenya pia, katika kuhakikisha tunamwajibisha Samia, tusimuache aishi wala kusafiri kwa faraja...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini waislamu wote wanawaita waKristo makafiri??

    Swali hili linakuja baada ya kugundua kuwa asilimia 100% ya waislamu husema kuwa wanamwamini YESU KRISTO ambaye wao wanasema ni Issa bin Maryam lakini wanawaita waKristo makafiri wakati hao waKristo(sisi) msingi wa Imani yao ni YESU KRISTO. Kwa maana hiyo waislamu hudai waKristo(sisi) Wana Imani...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Siglada Mligo ni Mbunge na nusu anapigania Watanzania wote!!

    Mbunge Siglada Mligo ni Mbunge anapigania Wananchi wa Tanzania pamoja na kupewa vikwazo mbalimbali za Taarifa na Miongozo kutoka kwa Wabunge wa ccm!!!! Watanzania tumuunge mkono Mbunge huyu!!!
  13. JamiiForums Tanzania Alie tunga wimbo " ALISEMA NYERERE VIJANA WOTE MLEGEA " ni Genius wa viwango vya juu sana. Wapinzani wanapaswa kujifunza kwa huyu mwamba.

    Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA". This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu they don't listen. Wakati Nyerere anatoa hiyo kauli wengi wetu hatukuwepo au hatukumsikia live...
  14. JamiiForums Tanzania Well done JWTZ kwa kuwaondolea wananchi mashaka ya kiusalama na kuwahakikishia Amani na Utulivu wa kudumu waTanzania wote.

    Ama kwa hakika mmesimama vema na imara kwenye nafasi yenu, na mnatekeleza wajibu wenu wa kikatiba kwa weledi wa kiwango cha juu sana na kisasa zaidi. waTanzania wana imani kubwa na utendaji kazi wenu wa viwango, na baada ya taarifa yenu maalumu juu ya hali ya kiusalama nchini, imani ya wananchi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni Lushoto Karibu kwa uwekezaji wa KILIMO Cha umwagiliaji mda wote,

    Kijiji cha Lunguza Kata ya Lunguza Wiraya ya Lushoto Mashamba yapo 0772582186, bei Kati ya laki na nusu, laki mbili mpaka laki tatu kutegemeana na shamba , yapo ya kumwagia kwa pump na yapo ya kutumia maji yanayotoka mlimani bila pamp ,
  16. JamiiForums Tanzania Kama kupata hela ni rahisi kiasi hicho, watu wote wangekuwa mabilionea, Shtuka!

    Mtu anae bet always anakuwa na pressure na msongo wa mawazo Bora hizo buku buku uzichange upate mtaji..ufungue ata genge la kuuza nyanya.
  17. JamiiForums Tanzania Je, anguko la kijamii, kisiasa na kiuchumi la Mzee Wilbroad Peter Slaa ni fundisho kwa wasaliti wote?

    Ama kwa hakika, mkataa pema pabaya pana muita. Mzee huyo baada ya kujilimbikizia fedha na mali za kutosha akiwa kuhani wa kanisa, akaisaliti nadhiri yake ya sakaramenti ya upadre na kuachana na kazi ya uinjilishaji na kutimikia kwenye sakaramenti ya ya ndoa, kwa tamaa za mwili. Akiwa huko...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru, umeme ni WA grid ya Taifa unakatika masaa 5, usalama wa nchi u wapi?mwizi wa RASIRIMALI akiukata anatuua wote

    Miaka 60 ya kujitawala, Taifa linategemea umeme wa Grid ya Taifa Ikipata itilafu kama ya Jana Taifa Zima kasoro ikulu tunakuwa gizani. Kwa Nini kila mkoa usiwe na CHANZO chake cha kuzalisha umeme IKITOKEA IMEKATIKA mkoa unawash? Mwizi wa RASIRIMALI alkipitia hapo si atatumaliza wote kasoro ikulu?
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa mashuhuri kuliko wote Tanzania yupo Gerezani!

    Mwanasiasa mzalendo na anaependwa kuliko wote yupo jela. Hilo ni tatizo kubwa
  20. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wote Wangeruhusiwa kuendelea Kupewa vibali kufanya Mikutano ya Hadhara Majimboni Mwao ili kupokea kero za Wapiga Kura wao na Kutoa Mrejesho

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo. Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…