Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Mwamba apewe Maua yake tu,apewe heshima yake tu.Atambulike na watu wote angali hai kuwa ndiye Mwamba aliyetumia ujana wake wote Kuitesekea na kuijenga CHADEMA kwa jasho na Machozi.Ametumia Muda wake wote kwa ajili ya chama.
Inasikitisha sana unapoona Mwana CHADEMA...
Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki
Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia waongeze maombi mengi kwaajili yake
Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul.
Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema kinagaubaga tujue muongo ni nani kati ya Lissu na Wenje.
Njoo baba hadharani ukate mzizi wa fitina...
Watanzania maskini wengi wao wamekuwa wakipitia wakati mgumu na manyanyaso wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto wanaofanya kazi viwandani hali hii haikubaliki na inaminya haki za msingi za binadamu.
kuna ushahidi mkubwa kuwa kuna watanzania wengi wananyanyasika viwandani na kufanyishwa kazi...
Njaa mbaya sana kosa yootee sio njaa
KUNA wah walienda kwa mwenyekiti WA chadema wakitaka agombee tenaa.
Wale jamaa ukiangalia kuanzia sura zaoo na maneno yao. utaona Hawa jamaa waganga njaa
Walishtuka wakahisi mbowe akiondoka maisha yao na maslahi yaoo yatakuwa hatarinii
Siasa mchezo...
Sabato Njema Wakuu!
Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa kwa kuangukia pua haitakuwa historia nzuri kwa Mhe. Mbowe.
Nina uhakika Lisu atamshinda Mbowe kwa...
Wahenga walisema ukweli huwa una tabia ya kuchelewa lkn siku ukifika huwa uwongo unakimbia kama giza kwenye mwanga.
Waathirika wa kusingiziwa kuwa ni wasaliti ndani ya chadema hatimaye leo wameibuka kidedea na kinara wa kuchafua wenzake ameonekana.
Zitto, Prof. Kitila, Dr. Slaa, Msigwa, mzee...
Leo nilikutana na bwana mdogo mmoja akaniomba nitazamie shule aliochaguliwa kwenda kidato cha kwanza.
Cha ajabu nikakuta wanafunzi wote 230+ wamechaguliwa kwenda secondary moja yani ni kama kuhamisha shule nzima kwend secondary moja.
Je hii imenifanya nitafakari Sana namna selection...
Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
angalizo
dhidi
hatua
hela
kampuni
kampuni ya lbl
kuhusu
kutapeliwa
lbl
mapema
matangazo
mbona
naomba
serikali
side hustle
utapeli mtandaoni
wajinga
wengine
wote
Mpo wazima!
Awe Chawa wa CHADEMA!
Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule.
Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani.
Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni...
Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema.
Tukirudi nyuma, hatuwezi kusema Nyerere aliacha uongozi kwa sababu aliishiwa fikra sahihi na ghafla Mwinyi...
Mwaka 2015 wakati Lowassa anaenguliwa kugombea urais ndani ya CCM ukumbi mzima ulilipuka na kuanza kuimba 'Tunaimani na Lowassa' maana 80% ya Wenyeviti wa mikoa CCM walikuwa upande wake.
Lakini baada ya Magufuli kuteuliwa kugombea wote waliokuwa upande wa Lowassa walitangaza kuvunja kambi na...
Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ?
1.Dr slaa
2.Zitto kabwe
3.Amani kabourou
4.Prof Safari
5.Mchungaji...
Ukweli ndo huu wewe kama unajiona unapendwa mwambie wife naomba tuuze hii nyumba au kitu chochote Cha thamani. Akiuliza sababu mwambie nadaiwa nilikuwa nimekuficha Kwa muda mrefu.
Kaa na msimamo huo hata wiki Kisha leta wateja wa mchongo waje wazuge zuge kununua Kisha mshindwane bei
Utaona...
Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia...
Kuna habari inavuma mitandaoni kwamba Lissu amepanga kufukuza viongozi wote wa kanda, mikoa, na wilaya, pamoja na wajumbe wa mkutano mkuu kwa sababu ni team Mbowe.
Hizi habari ni za kweli?
Je haogopi kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye, na akafukuzwa Chadema, kama Augustine Mrema...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama wakati na muda wote.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana.
Chama kinahitaji Kiongozi na viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.