wote

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

    Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030. Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Serikali tangazeni tar 27 na 28 kuwa siku za mapumziko kwa wote na wanafunzi wakae nyumbani kuondoa kabisa huo 'usumbufu' mnaosema

    Wakuu, Kusema watumishi wa umma wafanyie kazi nyumbani huku sekta nyingine zinafanya kazi kama kawaida ndio mmepunguza nini? Kwanza tunajua serikali hainaga utaratibu wa ku-work from home. Hiyo ni holiday ya moja kwa moja. Akifunga vitu ijumaa atakuja kuendelea jtatu pale alipoishia. Lengo la...
  3. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Kijana unaishi kwa dadaako huna mbele wala nyuma, unalala dago, halafu unatuvimbia wapangaji!

    Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa tukiamua kumpa hi dogo aniitika kwakujisikia sana. HIVI inakuaje mtu asie na mbele wala nyuma anakua na...
  4. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mliosoma EMS na Private schools, na huku maofisini tupo wote na tunawazidi mishahara mnajisikiaje, kuzidiwa na sisi wa St Kayumba?.

    Eti nyie wazazi mnajisikiaje yaani watoto wenu wamesoma kwa gharama kubwa, halafu huko maofisini walipoajiriwa wanazidiwa Mishahara na watoto wa ST KAYUMBA. Hivi hamuumii kama watu waliochoma Chanjo ya corona, wakituona ambao hatujachanja tunaishi vizuri?. Maana huku ofisini naona watu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Makinika, aliyetoa kauli kuwa " wachawi wote walishakufa" alilenga kutupumbaza!

    Hellow!! Ni UKWELI kuwa wachawi na wasio wachawi hufa maana hiyo ni Amri Toka Kwa muumba kuwa Kila mwanadamu shart arudi mavumbini. Sasa juzi hapa Mzee mmoja mtani wangu katoa kauli kwenye umati kuwa, Wachawi "WOTE" walishakufa, asee kuweni makini ndugu wananchi wenzangu, hivi Kweli huko...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ukishinda Uenyekiti CHADEMA Taifa pitisha Ubatizo wa utakaso kwa Wala Rushwa wote ndani ya chama...

    Mpo salama! Ni hakika Kesho Lisu anashinda. Ubatizo wa Utakaso "Baptism of purification" ndio Jambo pekee ambalo Lisu itampasa aanze nalo. Hakuna haja ya kugombana, kuvunja Chama. Mshindi amepatikana sasa ni Muda wa kuwekana Sawa. Wale wenye shutuma za Rushwa na waliofanya Rushwa wafanyiwe...
  7. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

    Je, Kikwete ametupa dongo kwenye familia ya Magufuli na Mkapa? Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka; "...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu. Je, ni nani hao...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Lissu, na wanaCHADEMA wote wakiwamo Chawa na hata wabangaizaji. "Mbowe aachiwe uenyekiti hadi atakapojichokea!"

    Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu. Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa. Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa. Kwamba alipo ni heri chama kife ila hang'oki hata iweje! Looh! Roho za namna gani hizi? Kwamba ni kwa sababu anajitolea mno...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ghafla bin vuuu wote, Kila mara, wanaandika kuhusu Dodoma.

    Wanashindana Sasa kuleta threads za kilichojili Dodoma. Awali walisema huko hakutrend, hakuna habari ya kuchukua lakini ajabu servers zinajaa sababu ya threads zao zihusuzo Dodoma. Aisee hili lidude liitwalo ccm ni balaa Kwakweli.......
  10. N

    JamiiForums Tanzania Magambo kutoka Geita, kawafunika wote waliopewa mikopo na serikali

    Nipo hapa nafuatilia mkutano mkuu wa CCM. Magambo ndie msanii peke yake aliyeimba vizuri, msanii asiyebana pua, rapper kutoka mchangani lakini amewafunika wote jukwaan, kawafunika woote hao wasanii walipewa mikopo na serikali. Amewazid wote mpaka huyo almas, na tembo na kiba APEWE mkopo haraka...
  11. Small letter

    JamiiForums Tanzania WITO: Natoa Wito kwa wanachadema wote Watakaoumizwa na Vitendo vya rushwa Wajiunge na CCM harakà

    CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote, Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa? Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wafahamu kwa Majina Makamu Wenyeviti Tangia Kuasisiwa Kwa CCM 1977. Ujue Kwanini Ameteuliwa Mzee Stephen Wasira na wote wamezaliwa kabla ya Uhuru

    Ndugu zangu Watanzania, Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5. Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu. Ni...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Shida ilianza pale Pacome na Chama wote kuanzia Sub

    Ni siku ya 18/1/2025 ambapo Yanga ilipoteza points dhidi ya MC Alger na kutofuzu robo fainali . Wana Uto walilia sana
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa boarding jiheshimuni! Serikali inaweka kumbukumbu za wanafunzi wote Tanzania. Msijiharibie future

    Wanafunzi JIHESHIMUNI sana serikali haipotezi kumbukumbu kamwe daima dumu mkifanya Boko kwenye shule yenu au mwaka wenu basi kizazi chenu kinawekwa kwenye kumbukumbu za kutoajirika au kuajirika kwa scrutiny kubwa sana.
  15. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Wenje ni Muongo na Mzushi na aahidi sasa atamchana chana zaidi kwa faida ya wote

  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni CV za Waandishi habari wote waliomuhoji LISSU tangu atangaze kugombea umakamu !!.

    Husasan wa Media za hapa Tanzania !!. Maana ni aibu aibu aibu aibu aibuu narudia ni AIBUUUUU . Hivi kuna vyuo binafundisha hii taaluma? Au ni ujanjaujanja tu wa MTU, anafika Clouds , ana sauti ya kutangaza, basi anaitwa mwandishi wa habari?. Yaan tuseme, Zembwela akae kumuhoji LISSU?? Hapa...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuondoa Usultani, umalkia na umangimeza wapo na Lissu ili chama kiwe cha Wote. Je, CHADEMA ikifanikkwa tutarajie vuguvugu upande wa CCM?

    Mpo Salama bandugu! Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo. Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia uhalisia wa Jambo hilo sio kweli. Utagundua sio kwamba wanapendwa Bali wanatumia Rushwa na kuhonga...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba naomba muweke mkeka wa wanachama, mashabiki na viongozi wote waliochangia hadi sasa ili tuanze kusutana wenyewe kwa wenyewe

    Kuna watu wanajifanya wanaipenda Simba lakini hadi hawajachangia hata sumni halafu wao ndio wanajiona mastaa wa kuisemea Simba, ukiwaona mitaani ama uwanjani wanajifanya wao ndio Simba kweli kweli lakini kwenye kuchangia timu wako mbaali. Timu yetu imewasilisha hoja ya kuchangia adhabu...
  19. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu mi ni mgeni wa hili jukwaa, ila naomba mnipokea na hii idea... wote mtafurahia...

    Kila mmoja achati kwa lugha anayoijua mradi usitukane... Unaweza kutumia google translator... Mimi naanza.. Nǐmen hǎo ma, wǒ de péngyǒumen. Wǒ de míngzì shì nǐ de zhàngfū
  20. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Je ni Kweli Black men ni wana wanawake wengi zaidi ya Wanaume wengine wote?

    Kwenye kuzurura kwangu duniani kutoka Africa, Ulaya, Asia na Marekani; nimeona watu wengi wakiwemo wanawake weusi, wazungu, waasia wanasema black men most are cheaters na malaya kuliko hata wanaume wazungu na pia wanaume ambao wapo loyal sana na hawacheat ni wanaume wa Asia km Korea, China...
Back
Top Bottom