wote

  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Karibuni wote tuombe sala ya usiku - Mungu atulinde

    Mchana umetoweka, usiku umeingia! Wakati wa usiku, tunapokwenda kulala na kufumba macho yetu, hatuna uwezo wa kujua yanayotokea katika ulimwengu wa roho au hata kimwili. Ndiyo maana ni muhimu kumkabidhi Mungu maisha yetu kila usiku kabla ya kulala, ili atulinde na kutuepusha na mabaya. Yesu...
  2. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Waziri Majaliwa haina mgogoro, amekosea tu kuwataja degree holders, VETA ishauriwe kwa vijana wote chini ya miaka 26

    Kwasababu huyu wajina wangu Majaliwa katupatia hoja mezani, lazima tuijadili, kwa akili za wazi kabisa Nchi yetu sasa ina watu kama milioni 70 ambao asilimia 50 (Milioni 35) wana umri chini ya miaka 24, na Milioni 8 kati ya hao ni vijana wa miaka 15 mpaka 24. Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa...
  3. Bams

    JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu ya CCM, ya Utu na Kazi, Imewapa Agenda ya Awali Wapinzani.

    CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu. Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake. Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
  4. Carbon 4real

    JamiiForums Tanzania Hii ndo series bora ya muda wote

    Series inaitwa Game Of Thrones mpk sasa inashika nafasi ya kwanza Duniani kuwa series iliyoangaliwa sana na watu na kuweka kupewa rate ya juu.Rate 9.2⭐ ikiwa na misimu 8 ndani yake. Stori inamhusu binti ambaye anataka kuukomboa ufalme wa ukoo wao ambao ulipokonywa kwa mda mrefu lakin kumbe pia...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wale wote walio single

    Katika uhalisia wale wote walio masingle wamekuwa na upweke sana kwenye jamii hata hivyo ni kundi kubwa lenye mchango mkubwa kwenye jamii katika nyanja mbalimbali. Kwa kutambua uwepo wao na mchango wao mkubwa katika jamii huu ni Uzi maalum kwa wale wote walio masingle hawajaowa wala kuolewa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote waandamizi wa BODI YA LIGI KUU YA NBC na TFF wanatakiwa kujiuzulu leo hii kwa kushindwa kusimamia hili sakata la mechi ya watani wa jadi

    Kwa hasira kali! Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba. Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi...
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Sherehe ni za wanawake wote ila Mabango yote yana picha ya mwanamke mmoja tu!

    Nilitaraji basi kuwe na Mabango ya wanawake wengi walio wahi kutoa mchango wao kwenye hili Taifa. Ila inaonekana mwanamke ni mmoja tu ni Mama, Wengine wote labda ni wanaume kwa mujibu wa chawa. Ilipaswa kuwe na picha za wakina Bibititi Mohamed, Spika wa Bunge wa kipindi kile Anna Makinda,vna wa...
  8. matairi Bora ya scania

    JamiiForums Tanzania Matairi ya brands zote yanapatikana karibuni wote

    Habari, Ofa ofa karibu ujipatie matairi Kwa punguzo la bei mwezi huu wa ramadhani. Matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo yote yanapatikana Kwa bei za kizalendo kabisa karibu ununue. Kwa wale wa mikoani mzigo tunatuma Kwa uaminifu mkubwa pia Dar es salaam tunafanya delivery.call...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Warembo wanatumia karibia mwezi mzima kuenzi siku yao. Huu muda wote wakumbushane usawa wanaoutaka wautumie pia kuchangia katika matumizi equally

    Kama umeajiriwa/umejiajiri haina haja ya kumpiga vibuti bwana yako kila mara. Kama umeajiriwa/umejiajiri toa kwa moyo na jitihada as much as bwana yako anavyozitoaga ili kukidhi bills na costs. Kama bwana yako hana kwa muda huo, fanyeni usawa wa kumvumilia ukata wake na sio kumdharau na...
  10. matairi Bora ya scania

    JamiiForums Tanzania Karibu wote tuwahudumie mzigo upo wa kutosha

    Habari zenu wapendwa, Karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali Kwa bei ya punguzo la mwezi wa Ramadhani bei zetu ni nafuu kabisa . Matairi ya brands mbalimbali na size zote yanapatikana mikoani tunatuma pia Dar es salaam, Tanzania tunafanya delivery Kwa uaminifu mkubwa. Location Vingunguti...
  11. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mnaouza viungo vya mapishi muwe mnatuuliza maswali wateja wenu sio wote tunajua kupika!

    Nilichokitoa hapa ni aibu natamani nimfate muuzaji aje tule wote haiwezekani aniuzie nyanya za kachumbari kumbe mimi nahitaji nyanya zakupikia!, nyanya inakimbizana na samaki kwenye sufuria ndo nini hiki sasa!. angeniuliza unahitaji za kachumbari ama zakupikia angepungukiwa nini..?😠 Na wengine...
  12. matairi Bora ya scania

    JamiiForums Tanzania Karibuni wote

    Habari, Ofa ofa karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali na size zote Kwa bei ya punguzo ya mwezi wa ramadhan. Tunauza matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo zifuatazo ni baadhi ya brands ambazo zipo. 1.CENTARA 2.TRANSTONE 3.TIMAX 4.SAFERIN 5.RUADLUX 6.DOUBLECOIN 7.VALIANT...
  13. matairi Bora ya scania

    JamiiForums Tanzania Karibuni wateja wote wa matairi ya magari makubwa na madogo

    Habari, Karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali na size tofauti za brands zote. Tunauza matairi ya magari makubwa na madogo. Bei zetu ni nafuu sana mikoani tunatuma Dar es salaam tunafanya delivery mzigo upo wakutosha karibuni wte. Location Vingunguti karibu na sido Dar es salaam...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake muelewe; kwa Sisi Wanaume watoto wote sio Sawa. Tunawapenda na kubariki wale wanaotusikiliza

    WANAWAKE MUELEWE; KWA SISI WANAUME WATOTO WOTE SIO SAWA. TUNAWAPENDA NA KUBARIKI WALE WANAOTUSIKILIZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kutuzalia Sisi tunaweza kukushukuru Sana lakini linapokuja suala la Upendo wa Baba kwa Mtoto ni kipengele kingine. Yaani Baba kusema sasa huyu ndiye mtoto...
  15. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Wasomi wote wasio na ajira Tanzania kazanieni wazazi wenu walioko kwenye ajira walipwe mshahara mzuri na wachukue mafao yanayopatikana baada ya miaka

    Wakuu Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira 1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
  16. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki , angekuwa hapa kwetu Tanzania mngempa hiyo nafasi?

    Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash...
  17. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Wanawake wote humu mna la kujifunza hapa

    Mambo yanapokuwa magumu kwenye maisha wanawake zetu hawa huwa na kawaida ya kurusha lawama kwa waume/wanaume zao na kupelekea wakati mwingine psychological implosions among men. Nawaambia leo. Hata kama huoni kwa macho yako ya kawaida, wanau.e hutoa jasho lao la mwisho kwa ajili yenu...
  18. majoto

    JamiiForums Tanzania Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote

    Wakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa kwenye mapenzi; waliolelewa nje ya famili na wakachukia familia; kaa chini utafakari. Hapa si quote...
  19. Faana

    JamiiForums Tanzania Tuvalu: Ifahamu nchi yenye urefu wa Kilomita 12 na mtaa mmoja raia wake wote wanafahamiana

    Ina urefu wa Kilomita 12 Ina kituo kimoja cha polisi Ina sehemu moja tu ya kupata huduma za mawasiliano Ina bank moja tu Ina hotel moja tu Raia wake kwa sehemu kubwa wanafahamiana wote Airport yake hutumika kwa football pia Karibu Tuvalu
  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Arusha Mjini - Siyo Gambo wala Makonda - CCM iwatose wote.

    Ni dhahili kuwa wote wawili wana makundi makubwa ndani ya CCM * Kundi la Makonda pekee halitoshi kuipa ushindi CCM; Lkn pia kundi la Gambo pekee halitoshi kuipa ushindi CCM. * Kundi lolote litakalojibagua na kuunga mkono upinzani ni wazi kuwa CCM itakuwa na hali ngumu sana; * Kwa msingi...
Back
Top Bottom