Jamani hili ni swali naamini jibu lake unalo mwenyewe, huku mitaani Vijana,Wadada,Kinamama,kinababa,Wazee wote wenye uelewa wa mambo ni washabiki wa Chadema,hata humu jukwaani bila kusahau Viongozi wa dini
Lakini ukienda upande wa pili kule ufahamu wa mambo ni mdogo sana,naamini hata nyiye...
Kwa uchungu mkubwa ulio ndani ya moyo wangu nawaomba binadamu wenzangu ambao mmebahatika kuwa kwenye system hasa mining sector au hata sector nyingine
Naomba mumshike mkono ndugu yangu hata kwa kujitolea kwanza uku akiendelea kuwa na uzoefu na mazingira na kazi
ELimu yake ni diploma in...
Wale mtakao pendelea kujadiliana na kutoa mawazo katika masoko ya forex na jinsi ya kukabiliana nayo upande wa kutengeneza code za Expert,Indicator,Library na n.k karibuni.
Uchambuzi wa masoko ni uwanja mpana wa kupeana ujanja wa kuboresha au kubuni kukabiliana na masoko.
Hizi ni moja software...
Najaribu kutafakari hawa wazungu ijalishi ni wachina,wazungu wenyewe mpaka waarabu wa saudia na wahindi.
Vuta picha wakija afrika bila chochote na sisi twende kule kwao na vyote vyetu itakuwaje
Wakuu hii ni thread ya kujua machimbo ya wachina nguo viatu vyombo mashuka Kila kitu yaani mchina alipo na sisi tupo tumechoka kupigwa Kwa kigezo Cha kuitwa washamba hivyo washamba Sasa tumejanjaruka tunawaambia nyie mawinga Mali mtaipata shambani Ili muache kukaa kariakoo mkiibia wananchi pesa...
Halafu unaambiwa lazma wali uliwe (ufunge harusi).
Utaenda wapi?
Zingatia: Hakuna mambo ya NONE of the above (wala kataa ndoa haipo🚮🚮).
NB: Muda mwingine inabidi jichomoe akili kidogo, usiwe siriaz kupitiliza🤣
Kuna watu wanataka Kanuni zifuatwe ili ukiwasikiliza vizuri utagundua wanachagua kanuni gani zifuatwe na zipi zisifuatwe. Sasa embu tuliangalie hili suala la Kanuni na adhabu zake kwa umakini.
Yanga wanasema adhabu ya timu kutotokea uwanjani ni kunyang'anywa pwenti 15 na/au kushushwa daraja...
Goli la Aziz Ki lilivyokataliwa eti wakaenda CAS kuomba pwenti tatu.ujinga wa hali ya juu.
Nimeanza kufatilia mpira sijawahi kuona goli lililokataliwa na refa uwanjani akapewa mezani.
Pia sijawahi kuona mechi ikiyoahirishwa na mamlaka inayosimamia mpira timu mojawapo ikaomba pointi...
Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo;
1. Dr Remmy Ongala
2. Marijani Rajabu
3. John Komba
4. Baraka Mwinshehe
5. Banzastone
6. Saida Karoli
7. Papii Kocha
8. Profesa Jay
9. Shilole (Shishi baby)
10. Rose Mhando
11. Lady JayDee
12. Nikki wa II
13. Joseph Mbilinyi...
Ni muendelezo wa nia na dhamira njema ya CCM na mbeba maono wa waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha taifa kua imara zaidi katika umoja, amani na mshikamano, na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Kwa wakazi wa mkoa wa...
Wanawake wanatabia moja ya ajabu sana.
Wakiona mwanaume umeoa basi kila mwanamke atakusumbua na yeye kuwepo kwenye nafasi yako ili mradi kuleta matatizo ndani ya familia kisa mwanamke mwenzake kaona kaolewa.
Kuwafanyia wanawake wengine fake life kupitia mitandao ya kijamii yani wanawadanganya...
Jenga picha wewe sasa hivi ni boss fulani upo nje ya Dar, Arusha, Mwanza, Mbeya au nje ya Tanzania kwa majukumu ya kikazi na familia, alafu unakuja likizo na kuamua kutembelea pahala ulipokulia kisha unakuta Kijiwe kiko empty, wana wote hawapo.
Wengine wamekufa, wengine wapo jela, wengine...
wazee na Vijana wa JF
Nauza kiwanja kiko Kibamba shule 👉 Ibwegere
size mita 20 kwa 20
Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda
Bei elekezi 4,000,000 Tsh
Simu ziite 0744-033-555
Moms consulting, tunafurahi kuwahudumia na kuwakaribisha kwa huduma zetu za Uhasibu(Accountancy), Kodi(Tax), Ukaguzi(Audit), Uwezeshaji wa Biashara (Business facilitation), ufuataji wa sheria za Biashara(Business compliance), Kuanzisha Biashara na taasisi zisizo za kifaida (Business and Not for...
biashara
huduma
kitaalamu
kodi
kufuata sheria
kuhudumia
kuongeza uelewa
mbalimbali
tayari
uhasibu
ukaguzi
unatafuta
ushauri
ushauri wa biashara
uwekezaji
uwezeshaji
wafanyabiashara
wote
Je Wewe Ni Mwanamke Unaesumbuliwa Na Chunusi Sugu Kwa Muda Mrefu
Uso Wako Umeharibika Kwa Chunusi Kubwa Na Ndogo Na Zinakufanya Ukose Kujiamini Kusimama Mbele Za Watu....
Si Hivyo Tu Pia Umefanya Mabaka Na Madoa Kiasi Cha Uso Kukosa Nuru ...
Vile Vile Uso Una Mafuta Mengi Na Umefanya Vitundu...
Mchana umetoweka, usiku umeingia!
Wakati wa usiku, tunapokwenda kulala na kufumba macho yetu, hatuna uwezo wa kujua yanayotokea katika ulimwengu wa roho au hata kimwili. Ndiyo maana ni muhimu kumkabidhi Mungu maisha yetu kila usiku kabla ya kulala, ili atulinde na kutuepusha na mabaya.
Yesu...
Kwasababu huyu wajina wangu Majaliwa katupatia hoja mezani, lazima tuijadili, kwa akili za wazi kabisa
Nchi yetu sasa ina watu kama milioni 70 ambao asilimia 50 (Milioni 35) wana umri chini ya miaka 24, na Milioni 8 kati ya hao ni vijana wa miaka 15 mpaka 24.
Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa...
CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu.
Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake.
Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
Series inaitwa Game Of Thrones mpk sasa inashika nafasi ya kwanza Duniani kuwa series iliyoangaliwa sana na watu na kuweka kupewa rate ya juu.Rate 9.2⭐ ikiwa na misimu 8 ndani yake.
Stori inamhusu binti ambaye anataka kuukomboa ufalme wa ukoo wao ambao ulipokonywa kwa mda mrefu lakin kumbe pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.