wote

  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania BBC, ESPN na CAF wenyewe wote wanatambua hii ni fainali ya pili ya Simba katika mashindano ya CAF

    Nilidhani hili tulishalimaliza zamaaani ila naona bado kuna watu wanakataa kukubaliana na huu ukweli. Sitasema mengi ila nitaambatanisha vyanzo vitatu vya kuaminika ambavyo vyote vimekiri kuwa Simba ilicheza fainali ya CAF Cup 1993. Hii hapa chini ni article ya CAF baada ya mechi ya pili ya...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wakujiita manabii si wakutane wote pamoja wakusanye 50% ya mapato yao wasaidie masikini, waingie kila hospitali wawatafute wagonjwa mahututi wawaponye

    Until then, mimi bado nitaendelea kuwaita hustlers walioweza kuishinda system kufanya shughuli za uchumi bila ya kulipa makato. HONGERA KWAO! YESU SIO DINI, DINI SIO YESU, YESU NI NJIA.
  3. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Neno "tutakinukisha" ndiyo tayari kimeshanuka ,media kubwa duniani mabalozi ,wawakilishi wa umoja wa mataifa! Wafadhili wote waifuatilia kesi ya lisu

    Labda neno kitanuka kwa tafsiri ya CCM ni kubeba bunduki na kuingia mitaani kupigana ,lakini ukweli ni kwamba tayari kimenuka ! Mataifa yote yaliyokuwa yanaamini Tanzania kuna demokrasia na haki ,wanashangaa wananyimwa hata haki ya kuingia mahakamani ! Mahakama inazingirwa na vikosi vya jeshi ni...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake wote Tanzania mngekuwa kama Mke wa Mwijaku hakika Sisi Wanaume zenu tungewapenda Kunakotukuka

    "Wala sina wasiwasi na yaliyomtokea Mume wangu na kwa msichokijua Mimi nilijua mapema kabla yenu na nikazungumza nae na kumalizana nae na sasa tunaendelea na Maisha pamoja na Mapenzi yetu huku tukiwashangaa tu mnaoshadadia na kuzungumzia Kutwa hili jambo. Nampenda mno Mume wangu Mwijaku hata...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Hakuna aliye juu ya sheria na wote tunatakiwa kuendesha shughuli zetu za kisiasa, tukizingatia amani na usalama wa nchni ni kipaumbele

    Niwatake viongozi wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa, "Tuzingatie taratibu na sheria za nchi, Uchaguzi huu uwe ni fursa ya kuimarisha zaidi umoja na demokrasia yetu ili tupate viongozi bora na walio imara. Kamwe tusiruhusu uchaguzi huu kuwa chanzo cha migogoro, chuki mivutano na uvunjifu wa...
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania India yaamuru Wapakistani (waislamu) wote waondoke!

    nchi ya India inaenda kuwafukuza raia wote wa ktk islamic republic of pakistani. uislamu hauwezi ku- coexist na indian way of life …
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mrembo kuzaa na mwanaume masikini ni mapenzi ya kweli, bahati, hajui kukataa, ushirikina au ni kitu gani ?

    Mabinti warembo / Visu / Pisi Kali huwa wana demand kubwa, atafatwa na wanaume wa aina nyingi, yeye ni kuchagua tu Inapotokea mwanamke mrembo kampenda hadi kumzalia mwanaume masikini huwa ni kipi . Mapenzi ya kweli Ni cha wote Ushirikina / Ndumba Bahati ama kuna cha ziada
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania UTHABITI na UJASIRI ni pale utakapopokea kiume UKOSOAJI kwa moyo wote kwa kiasi kile kile unavyopokea SIFA

  9. J

    JamiiForums Tanzania Endapo Quran ya Kiarabu Ingetafsiriwa kwa haki na bila Chuki, basi wakiristo na Waislamu wote wangeadhimisha Ijumaa Kuu (Good Friday)

    Napenda kuongelea Ukumbusho wa kifo cha Yesu ambao Yesu aliwaagiza wanafunzi siku ile anafanya nao Karamu ya mwisho (Alhamis Kuu baada ya jua kuzama) NB kwa kalenda ya Kiyahudi, tayari waliisha anza Ijumaa Kuu ambapo alikufa saa 9 mchana. Katika Luka 22:19-21 yesu akawambia hivi "Fanyeni hivi...
  10. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini pakstani inawafukuza mamilion ya wa afghanistan? Wakati wote ni jamii moja na majarity ni dini Moja?

    Wa afghanistan wanateseka Sana nchini pakstani Wanafukuzwa ila hawataki kuondoka wanasema wakirudi maisha yao yanakuwa hatarini Hata hivyo pakstani imewabeba kinguvu na kuwarudisha kwa maelfu! Ninachojiuliza dini ya kiislam inahamasisha muislam mpende muislam mwenzako na hizi nchi asilimia...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika 2095 wote hatutokuwepo, tupendane

    Ninaomba niende moja kwa moja, hatuna budi kumtanguliza MUNGU Kwa Kila jambo. Ninauhakika ww unayesoma UJUMBE huu, unaye comment, UJUMBE huu, unayedai haki, unayedai amani, mwaka 2095 wengi hatutakuwepo, hivyo tukiwa duniani tuishi Kwa upendo, kuvumiliana, kusikilizana, kuheshimiana, Kwan...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote

    Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote
  13. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya hawa mabinti wa kibongo celebrities, yupi hasa ni MVP kuliko wote?

    Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa Tanzania kuna wanawake ambao pasipo kuangalia mazingira ya walipotoka, ila kwa sasa wapo kwenye daraja la juu sana, both kwenye upande wa umaarufu, pesa, high networth connections etc Na kila mmoja ukimtizama na harakati zake, unakuta kwamba sio za kitoto...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jux anafanya wanaume wote wa Tanzania tuonekane wastaarabu kwenye mapenzi

    Mimi sio hansome,sina hela,sina six pax,sina umaarufu wowote ila tangu january mpaka sasa nimeshatindua mabinti zaidi ya 19,na mwaka bada mbichi kabisa Siku ya msiba wangu nitatia aibu sana kwa rundo la watoto msibani kwangu. Minajijua siendi mbinguni kwadhambi moja tu ya uzinzi Sasa mdogo...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Binadamu wote tupo kwenye ‘Death row’

    Wafungwa waliohukumiwa kifo huwa wanaitwa ‘Death row inmates’, na mara nyingi hawajui watatekelezewa hukumu yao lini. Sasa tofauti ya wafungwa wa ‘Death row’ na binadamu wote kwa ujumla ni ipi hasa? Bila shaka uhai ni adhabu kwa kosa flani tulilofanya huko nyuma..
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema. #𝙆𝙖𝙯𝙞𝙉𝙖𝙐𝙩𝙪𝙏𝙪𝙣𝙖𝙨𝙤𝙣𝙜𝙖𝙈𝙗𝙚𝙡𝙚
  17. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa asanteni kuthibitisha kuwa Oktoba 2025 kama Uchaguzi Upo; Samia NDIO, Wabunge wa CCM Wote NO

    Hamfai na hamna sifa ya kurudi. Hilo mnalithibitisha wenyewe ndani ya bunge. Kila anayezungumza anasifia kila jambo kuwa Rais Samia kafanya yeye sasa nyie mmefanya nini kutumiza wajibu wenu? Msije mkasema wajibu wenu ni kupiga makofi kwa kila kiletwacho na serikali. Yale ya wajibu wenu...
  18. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwaua simba wote mbugani ua swala wote, kinachofuata tunakijua?

    Hellow wakuu Tulifundishwa kuishi kwa kutegemeana kwa mazingira, Kila kiumbe kina nafasi yake ktk ecosystem Ukiwaua swala wote itatokea competion ya kufa mtu among predators, vitoweo vitaisha simba wataanza kufa mmoja mmoja kwa kupigania au kukosa chakula Urafiki na umoja wa simba utayumba...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania Nakipongeza chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti juu ya UCHAFUZI. Binafsi nitatumia uwezo wangu wote kuhakikisha nakuwa sehemu ya kuuvuruga

    Naapa kwa Mungu lazima niuvuruge Uchafuzi mkuu wa mwaka 2025. Nikiondoka na roho hata moja tu ya mchafuzi nitakuwa na amani kubwa moyoni. Kubwa sana! Nikipongeze Chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti. Sasa huko mitaani kazi yetu itakiwa nyepesi sana maana itakuwa ni kazi moja tu ya...
  20. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania WANAUME WOTE TULIOOA TUSAMEHEWE

    Habari ndugu wanajukwaa Kwanza nianze kwa kusema hamna watu wanapitia changamoto nyingi za kimahusiano kama wanaume waliooa. Kwasababu wanawake wengi wanaamini mwanaume alieoa ni mtu ambaye ana uwezo wa kubeba majukumu yake na mtu wake ipasavyo hivyo anaweza kumhudumia na yeye kama akiwa nae na...
Back
Top Bottom