India yaamuru Wapakistani (waislamu) wote waondoke!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,419
Reaction score
17,735
nchi ya India inaenda kuwafukuza raia wote wa ktk islamic republic of pakistani.

uislamu hauwezi ku- coexist na indian way of life …
 
Haiwezakani waislam wa India ni 280m wengi asili yao ni Pakistan, wote itawapeleka wapi hata yenyewe haina uwezo wa kuwasafirishsa, hao tulishsa wazoea wanarimbana badaye wana tulia tu.
 
nchi ya India inaenda kuwafukuza raia wote wa ktk islamic republic of pakistani.

uislamu hauwezi ku- coexist na indian way of life …

India Ina raia over 250 millions waislamu, hao je watawafnaya nini? Wanajisumbua tu
 
nchi ya India inaenda kuwafukuza raia wote wa ktk islamic republic of pakistani.

uislamu hauwezi ku- coexist na indian way of life …
Jukwaa la siasa kabisa. Weka nyama dadavua key aspect kubwa all trades zimekufa
 
Acha waje zaidi bongo
Tunao wengi tu

Ova
 
Back
Top Bottom