Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii haifarakani kwa sababu ya dhulma au uhuni wa kiutawala wa kisiasa. Wanaingia mawaziri wakuu na kuondoka...
Mods naomba msifute uzi huu, sina maana ya kuchochea wala kukosoa bali kuonyesha kusikitishwa na matukio ya kupotea, kutekwa na kuuwawa kwa baadhi ya Watanzania huku baadhi yao tukiwa hatujui wako wapi hadi sasa.
Tunawaombea wale wote waliotangulia, na ambao wapo mahali labda wametekwa (hatujui)...
Allyoce Komba, mmoja wa wanachama wa Yanga na wakili wa kujitegemea amefungua shauri kupinga uteuzi wa Karia kuwa mgombea urais wa TFF.
Allyoce Komba ambaye amewahi kuwa mwandishi wa gazeti la Nipashe kila mtu anamjua tabia zake, kuwa ni Yanga lia lia.
Hoja zote zilizowasilishwa na wenzake...
Ila Dereva wa Lori inaonekana kama vile hana cha kupoteza na ameshaamua liwalo na liwe Wakongo (akina Bandeko Nangai) wanasema Azomata Azomate..... Kudadadeki.
Habari za jioni wapendwa,
Huu ni ushauri wa bure kwa wale (waliokwisha chukua & wanaotarajia kuchukua fomu na kuzirudisha).
1. Andaa "press conference" Moja matata sana nyumbani kwako chinja ng'ombe,pika chips,ndizi za kurosti na vinywaji vya kutosha ukiunganisha na pira biriani.
Wote...
Elon Musk anasema bajeti ya serikali ya Trump maarufu kama "Big Beatiful Bill" iliyopitishwa na bunge linaloongozwa na Republicans ni ya hovyo kuwahi kutokwa na itavunja rekodi kuongeza deni la Marekani kwa $Trilioni 5 zaidi. Aanasema nchi hiyo ni kama inaongozwa na chama kimoja cha nguruwe na...
Ninawatakia kila la kheri wanachama wote wa chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaoendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali nchini, kuchukua fomu za maombi ya kugombea nafasi za uongozi katika vyombo vya dola. Hatua hii ndiyo msingi wa maandalizi ya kwenda kwa wananchi, kuwaomba ridhaa...
Album 5 bora za muda wote ni
1. Mapinduzi Halisi - Prof Jay
2. Aka Mimi - Mangwea
3. A boy from Tandale - Diamond
4. Binti - Lady Jaydee
5. Room Number 3 - Mbosso
Mbosso amefanikiwa kuingiza kwenye hii orodha EP yake baada ya kumuangusha Jay Moe n album yake y Ulimwengu ndio Mama.
Hongera...
Iweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee iwe iiwe iiweeeeeeeeeee
Ndani ya serikali ya Tanzania nitahoji na kuuliza kila kitu kinachofanywa na watumishi wa serikali kwenye kila nyanja mbalimbali
ila tusi lanhu kubwa nitakalo watukana wafanya ubadhilifu na majuha ndani ya serikali itakuwa ni...
Hili liko wazi kabisa.
Wana CCM halisi ni wazee wale waliokosa elimu ya jamii ya kutosha.
Wale wazee waliokosa/ kunyimwa elimu wanadhani amani ni CCM na siku wapinzani wakichukua nchi watashika bunduki na mabomu na kuanza kuua wananchi.
Wengine wote ndani ya CCM wapo kutafuta ugali au kulinda...
Siku nyingine muwe mnawaambia hao Waandishi wenu walio katika Payroll zenu wajikite zaidi katika Data and Research Journalism ili wenye Akili kubwa tusiwafharau na tusiwaone Wapumbavu.
Imeisha hiyo.....!!!!!!
Nitakuwa mbinafsi nisipochukua hatua ya kuwapongeza keyboard warriors wote humu nchini hasa hapa JamiiForums kwa kuishia kubwabwaja mitandaoni na sio kufanya matukio maovu kama yanayofanywa na vijana wa nchi jirani.
Ninawasihi keyboard warriors waendelee kulinda amani ya nchi kwa wivu mkubwa...
Kwa zaidi ya asilimia 98 katika hotuba ya leo ya kufunga Bunge kuna uwezekano atatoa vijembe, atajisifu sana na kujaribu kujionesha amefanya reforms nyingi kustahili kufanya Uchaguzi wa kiini macho hapo Oktoba mwaka huu.
Kwa kuwa tunajua kuwa mnaendesha nchi kwa mikopo na misaada, Baada ya...
Mimi kama mganguzi napenda tu kuweka mambo sawa! Mwezi huu ndio utakutana na wagonjwa wengi wenye sukari na presha ! Mwezi wa kujidhalilisha ndio huu ! Na Mimi Sasa nimefungua dirisha kuanzia Leo kutakuwa na huduma ya kuoga dawa kabla hujarudi jimboni na hujakutana na wajumbe wenye roho mbaya...
Wana Simba SC tutazunguka kila Kona, tutasema kila Maneno, tutatafuta Mchawi / Wachawi kila pembe ya dunia, Tutalaumiana mno, tutachukiana sana wenyewe kwa wenyewe ila Leo hii namaliza rasmi Utata kuwa Simba SC hatuwawezi Yanga SC na tusipojitathimini Kimkakati upo uwezekano mkubwa tukaendelea...
Rais wa Yanga SC Engineer Hersi Said kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe wa kuwashukuru Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo baada ya kutwaa Ubingwa wa ligi kuu ya NBC Msimu huu
Injinia Hersi ameandika ✍🏿
"ALHAMDULILLAH!!!
YANGA BINGWA WA NBC 2024/25
Shukran za dhati kwa...
Mchungaji huyu anasema lesso hizo huwa zimetengenezwa kishirikina ili kuwachezea waumini akili, ili wajae kwenye mfumo wa kuwa misukule kama wale jamaa wa ubungo maji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.