Napenda hela
Member
- Feb 8, 2025
- 32
- 51
Ninaomba niende moja kwa moja, hatuna budi kumtanguliza MUNGU Kwa Kila jambo.
Ninauhakika ww unayesoma UJUMBE huu, unaye comment, UJUMBE huu, unayedai haki, unayedai amani, mwaka 2095 wengi hatutakuwepo, hivyo tukiwa duniani tuishi Kwa upendo, kuvumiliana, kusikilizana, kuheshimiana, Kwan Tanzania ni yetu sote na tutaicha.
Mliopewa majukumu timizeni majukumu yenu Kwa haki na wajibu, aman, nakumbuka kauli mbiu ya Hayati Benjamin William MKapa, alisema uwaz na ukweli utakuweka huru
Asante