1. Usimpigie mtu simu kwa zaidi ya mara mbili mfululizo. Ukishaona simu yako haipokel'ewi basi elewa kuna sababu ya msingi acha subiri akupigie pindi atakapoona ulimtafuta.
2. Rejesha pesa ulizokopa bila kusubiri kukumbushwa na aliyekukopesha. Hiyo inaonesha uadilifu wako na tabia yako. Vivyo...