Magari sita ya wizi yakamatwa Njombe

Fao La Kujitoa

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
396
966
Mkuu wa polisi Njombe Hamis Issah amewaza kukamata watuhumiwa wizi wa magari pamoja na magari sita ya wizi. Kukamatwa kwa majambazi hayo ilitokana kwa kufuatilia gari moja ambalo liliibiwa Njombe na kupeleka kupatikana kwa hayo magari mengine 6.

Pongezi kwa jeshi la polisi.
 
..."kaa mkao wa kujibu maswali, na wewe ukijibu majibu tofauti na wewe utakuwa sehemu ya wizi wa gari..."

Kwa vitisho hivi magari yataishia kupigwa mnada
 
Back
Top Bottom